wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Mauaji ya Enock yanadhihirisha namna mfumo ulivyo na shida

    Ukatili, impunity ya serikali/uongozi wa ccm TOKA JUU MPAKA CHINI inaanza ku permiate mpaka kwa watendaji wa chini huko vijijini. mauaji ya enock Soma DOKEZO - Kijana Enock Thomas Mhangwaock adaiwa kuuawa kikatili Msituni kwa kipigo kutoka kwa Watendaji wa vijiji vya Uyovu na Lyobahika
  2. TFF: Zawadi ya CRDB kwa Yanga ilikatwa kufidia madeni yao kwetu kama walivyoomba. Sisi ndio tunaidai Yanga

    Taarifa kutoka TFF -- TAARIFA Tunapenda kuuthibitishia umma kuwa Benki ya CRDB ndiyo Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la TFF, na inatekeleza ipasavyo majukumu yake ya kimkataba. Kwa msimu wa 2023/2024 wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank...
  3. D

    AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda. Tanzania. 1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda 2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi 3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France 4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam Kenya 1. Safaricom - Peter Ndegwa...
  4. Y

    Wakubwa naombeni kazi nitakufa

    Habari wana jamii forum, niende kwenye mada, nina miaka 29 nilikua ninafanya kazi taasisi binafsi bahati mbaya ofisi yetu ilifungwa. Baada ya ofisi kusimama nilizidi kupambana kutafuta sehemu nyingine kwa kuhudhuria interview tofauti tofauti lakini sijabahatika kupata. Humu jamii forum kuna...
  5. K

    Wabunge waelewe Wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania

    Wakati Watanzania sio wawekezaji wakubwa Kenya . Wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania na wanunuzi wakubwa na nafaka zetu za kilimo. Cha ajabu wabunge badala ya kuweka nchi mbele wanajiingiza kwenye kiki na uchawa ambao hauna msingi. Wamesahau kabisa ni sawa na kuanza kumtukana mteja wako...
  6. Natafuta sungura wakubwa kiumbo

    REJEA SOMO TAJWA hapo juu natafuta sungura watatu moja dume mawili majike kwa ajili ya kufuga... wawe ni ile mbegu yenye umbo kubwa...waliopo maeneo ya jirani na kahama njoo dm...tupange biashara
  7. Sheikh Kishki: waislamu ni wanafiki wakubwa

    Sheikh Kishki amewachana Waislamu hasa masheikh kwa unafiki wao Anasema kazi yao ni kusubiri maskofu waseme jambo nao waingilie kupambana na maskofu. Kwamba masheikh ni wanafiki badala ya wao kuungana dhidi ya dhuluma wanayofanyiwa waislamu badala yake wanaingilia harakati za maskofu kutetea...
  8. Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane

    Nmekumbuka tu mara 3 kwa wanawake watatu tofauti wasanii ambao nimewahi kuwala. Mmoja huyu kwa sasa anaolewa olewa na kuachika yeye nlimla kipindi hicho kwa tsh 600,000 mpaka asubuhi. Ingawa alianzia na dau la 1,000,000. Nikamwambia ni 600,000 no more no less. Akaniambia nimwache afikirie...
  9. M

    Mkopo kwa wafanyabiashara wadogo, wakati na wakubwa

    Habari Tunajihusisha na utoaji wa mkopo Kwa wafanyabiashara kuanzia million Moja Hadi SHILING MILLION 40 Muda wa kurejesha MIKOPO ni miezi mitatu Hadi miaka Tano lakini Kwa mkopo unaoishia Milioni Tano muda wa kurejesha mkopo ni miezi 12 means maximum F Riba ni asilimia 3.5 Kwa kila mwezi...
  10. Wateja wakubwa wa waganga na manabii uchwara ni wanawake

    Wanawake wamejawa na uovu mwingi kuliko wanaume na ndio vinara hata kwenye ushirikina hata kwenye maombezi wanawake huwa wanaoongoza kuanguka mapepo kutokana matendo yao yanavutia zaidi pepo wachafu , fanya tafiti wateja wakubwa wa waganga au hata manabii uchwara ni wanawake
  11. Maimartha: Jux na Diamond wana urafiki zaidi ya tuujuavyo, Wakubwa mtanielewa

    Mai wa Jesse anasema haiwezekani Mond huyu aliejenga Brand yake kwa Gharama kubwa eti aende tu Nigeria kujichoresha kumfuta machozi na kamasi Jux katika harusi😂😂👋🏼. Hata mimi nimefikiria sana hili jamani, anyways anamalizia kwakusema urafiki wao sio wa kawaida ila neno kawaida mtaelewa wakubwa...
  12. Asili ya nyoka wakubwa imegundulika huko India

    Fosili mpya iliyogunduliwa ya Vasuki indicus huko India imeleta mwanga mpya kuhusu ukubwa halisi wa nyoka huyu wa kihistoria. Inakadiriwa kuwa na urefu wa hadi futi 49 (sawa na mita 15), sampuli hii inapendekeza kwamba Vasuki huenda alikuwa mkubwa zaidi kuliko ilivyodhaniwa awali—akiizidi...
  13. K

    Mitume na Manabii walikuwa maadui wakubwa wa selikari za kipindi hicho, hawa wa leo?

    Ukisoma historia za Dini toka enzi za Mitume na Manabii,Viongozi wote wa Dini walikuwa tofauti na selikari zao za kipindi hicho, sababu ya kuwa na Imani ya Muumba wao, wakazisimamia jamii walizokuwa wanaziongoza na wakakinai ya dunia ,yaani kutokuvithamini vitu vya dunia mali na anasa zake...
  14. B

    Nina ujuzi wa quantum geographic information system (Q. G. I. S), naombeni kazi wakubwa

    Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) . naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote linalohusiana na haya mambo ya GIS? kama lipo, naombeni mnisaide...
  15. MSAADA WAKUBWA

    Habari zenu wakubwa zangu, Nanyenyekea sana nikiamini JF uwa hakuna tatizo linalokosa msaada. Wakubwa nahitaji msaada wenu ni kwamba kuna company flani kubwa tu staki kuitaja ila department niliyokua nafanyia kazi ni Huduma kwa wateja nilikua nafanya kama customer service representative kitengo...
  16. U

    Nashauri Salamu ya “Shikamoo” watoe watoto chini ya Miaka 16. Inaonekana wakubwa wengi hawaipendi

    Hili Suala la Hii Salam ya Shikamoo limekuwa na Ukakasi Kidogo, watu wengi katika makundi ya watu wazima, wazee, na vijana wa makamo wamekuwa hawapendi salamu hii zaidi na zaidi , makundi haya ya watu huwa hawapendi kusalimiwa na makundi ya watu wakubwa wenzao mfanyo mzee kusalimiwa na mtu wa...
  17. Ndoa sio Gereza. Wanaosema Ndoa ni Gereza na ndoano ni wapotoshaji Wakubwa

    NDOA SIO GEREZA. WANAOSEMA NDOA NI GEREZA NA NDOANO NI WAPOTOSHAJI WAKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mapenzi na ndoa msingi wake Mkuu ni UPENDO na MFANANO. Unapotafuta mwenza wako wa maisha huwezi uruka Wala kuupuuza MSINGI huo. Mtu ambaye hufanani naye hawezi kuwa Mkeo au Mumeo...
  18. Tayari mmeshamfungia Ali Kamwe 'Mvua Mbili Kavu' sasa mnaogopa nini Kutangaza leo? Wanafiki wakubwa nyie

    Kama tunajua Nyeti za Mzanzibari Myemeni ndiyo tushindwe kuzijua zenu tena za hapo jirani tu Karume Ilala? Hovyoooo!!!
  19. TFF yampa onyo kali Rais wa Yanga Hersi Said

    TFF imeipa onyo kali klabu ya Yanga kutokana na kitendo cha viongozi wake akiwemo Rais wake Hersi Said kuingia uwanjani na kupiga zogo na wachezaji wa Singida Black Stars baada ya mechi iliyochezwa hivi karibuni baina ya timu hizo mbili. Kitendo hicho kilichofanywa na viongozi hao wa Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…