wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania "Omba omba" na WAsoha Vioo vya Magari wa Dar ni Mradi wa "wakubwa?"

    Omba omba wengi tiulizoea wakitoka mikoa ya Dodoma. na Singida , sasa wanatoka Mwanza na mikoa mingine kasoro Kilimanjaro na Arusha, yaani Hakuna Mchaga omba omba! WAOSHA MAGARI: Hawa watu wanasimama kwenye mata na foleni, pale morroco -kinondoni, hata liwe gari la wanaojulikana ama wasio...
  2. JamiiForums Tanzania Hii Retro Tour inadhihirisha Diamond Plutnumz ni moja ya performers wakubwa sana Africa

    Huyu kijana asingejiingiza kwenye mambo ya uchaguzi kwa kauli zile mwaka jana basi angejaza sana kwenye hii retro tour yake. Perfomance nzuri sana, mziki unapigwa live yaani bila chenga wala auto tune. Vifaa sasa wamejitahidi sana, trombone, saxophone, na sauti iko swaafi sana, yaani murua au...
  3. JamiiForums Tanzania Swali kwa wazazi wenye watoto wakubwa

    Nimekaa hapa nikiwaza baada ya siku kwenda ndivyo sivyo! Soon naelekea kwenye utu uzima mkamilifu, nika waza siku mtoto wangu akiwa mtu mzima wa kujitegemea akisha kuwa na maisha na familia yake , hivi kwenye contact nita m save kwa jina gani . Jina lake la kuzaliwa , ama title yake kwangu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wadau hawa Wakubwa wa elimu wamepotelea wapi ?

    Wadau hawa Wakubwa wa elimu wamepotelea wapi? By Hata Mimi JF member Salaam alaikum, Zamani kabla ya 2010 kurudi nyuma huko tulizoea kuona vitabu vya namna mbalimbali kwa maudhui moja. Namaanisha somo husika kwa darasa fulani linakuwa na matoleo kibao ya vitabu (waandishi na wachapaji) Hii...
  5. JamiiForums Tanzania Mwalimu Jambau wa Singida apewe tuzo ya heshima na NCHI kwa kuvumbua vipaji vya watoto na kuhakikisha wanakuwa wanariadha wakubwa duniani

    Kuna watu wachache sana duniani ambao pesa sio kipaumbele chao cha kwanza maishani. Yaani wanaweza fanya kitu bila kuzingatia maslahi yoyote ya kifedha. Mwalimu Jambau wa shule ya msingi Lighwa huko Singida ni miongoni mwao. Hauwezi kuzungumzia mafanikio ya wanariadha wakubwa toka mkoani Singida...
  6. M

    JamiiForums Tanzania mikopo Kwa wafanyabiashara wakubwa

    habar Kwa wale wote ambào ni wafanyabiashara Wanaohitaji pesa Kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya ki biashara, naomba kuwatangazoa kuwa kuna mikopo ya pesa inayoanzia milioni moja mpaka bilioni Moja. mdhamana ni KADI ya gari, hti ya nyumba au hati ya Kiwanja Toka serikalini. RIBA ni asilimia...
  7. JamiiForums Tanzania AI yaanza kuchukua nafasi za watu Marvel na Disney; wasanii wakubwa wapigwa chini

    Nchini Marekani mwigizaji maarufu wa filamu ya Ant Man and the Wasp, Evangeline Lilly(pichani), amefunguka kuhusu hali ya sintofahamu inayoendelea studios kubwa za filamu kupunguza wafanya kazi na nafasi zao kuchukuliwa na AI. Inadaiwa kuwa Disney sasa imeanza kutumia teknolojia ya AI kuchukua...
  8. JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Watawala wakubwa wanajihisi wao ni WATAKATIFU, Wananchi na wakosoaji ndio tatizo

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na Wanahabari, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mei 6, 2026. https://www.youtube.com/watch?v=1fog9mpal5Q UTANGULIZI Baada ya Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande, kukabidhi vitabu vya ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 23 April, 2026 Ikulu ya Dar...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Bwana Misosi akiwa bado underground aliwezaje kuwapata wasanii wakubwa walioonekana katika video yake "Nitoke vipi?"

    Kati ya matukio ya kisanii ya Bwana Misosi ambayo hatakuja kusahau, akiwa bado mchanga kisanii na ndio ametoa hit song yake ya kwanza "Nitoke Vipi." Ni love aliyoonyeshwa na wasanii wakubwa wa wakati huo ambao wengi aliwataja kwenye ngoma yake na wakajitokeza kwenye video. Kwa msanii...
  10. JamiiForums Tanzania Maadui wakubwa wa Taifa hili kwa sasa

    Kama hukupoteza ndugu yako 29 Oct mwambie Mungu asante, ile siku kwa kifupi ni siku mbaya ni siku ambayo shetani na majeshi yake walivuna haswa damu za Watanganyika. Endeleeni kupumzika kwa amani makamanda, leo mnazingiziwa kila kitu, mlikua na Bunduki, Mabomu, Vifaru, Air to Air missiles, Land...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini dini inauzika sana Kwa wanawake? Maana ndio wahanga wakubwa wa Dini

    Shalom akhbar! Katika ulimwengu wa Leo Ukiangalia wahanga wakubwa wa manabii,waganga na wahanga na kuolewa wanne wanne ni wanawake...unadhani ni kwanini? Simple. Wanawake ni Viumbe wa hisia kuliko logic, na dini inatumia hisia zaidi kukamata watu kuliko logic, kwasababu ukitumia logic ndogo...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini hawa jamaa wa upande wa pili wengi wao ni mashabiki wakubwa wa mamlaka zenye hurka ya ugaidi na uminyaji wa haki za binadamu?

    Eti Echolima1 MK254 loose Nut kwani wale vijana wanachukizwa na ustaarabu wa magharibi na maendeleo yake huku wakishabikia vikundi vinavyohatarisha maisha ya watu duniani kisa vikundi hivi vinasali kama wao? Je ni upumbavu au ulimbukeni? Au vyote kiujumla?😁
  13. M

    JamiiForums Tanzania wakamaria maarufu hupata pesa kupitia codes na referral links, haijalishi mkeka umetiki au umechanika, usijidanganye kuwa mpo boti moja.

    Betting Codes Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wangu, mashamba mengi makubwa ya bangi huwa ni ya viongozi wakubwa

    Ukibisha bisha tu lakini kiuhalisia ndio iko hivyo. Pwani wilaya ya Kisarawe maeneo ya mto Ruvu nikiwa huko kulikuwa na mashamba makubwa tu bangi ya vigogo na yana wafanyakazi kama sisi tulivyo na wafanyakazi kwenye kilimo cha nyanya. Vile napenda kuzurura nikaenda Morogoro tena hukohuko mto...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini pamoja na kutokuwa na uthibitisho bado ni vigumu sana waamini Mungu kuwa atheists wakiwa wakubwa?

    Kwa nini ni vigumu sana watu kuacha kuamini mungu wakati 99% wanaamini mungu kwa sababu tu walizaliwa na wazazi waamini mungu(wenye dini) ila sio kwamba walianza kuamini mungu kwa sababu walipata uthibitisho kuwa mungu yupo? Pia ukizingatia binadamu wote wanazaliwa atheists ni ajabu baada ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wanaomlilia Magufuli na kumchukia Samia, ni wanafiki wakubwa

    Naomba niweke wazi Simpendi Samia kama ambavyo sikumpenda Magufuli ila nschukizwa ns unafiki wa watu wanaomchukia Samia huku wakimlilia Magufuli. Kiongozi yoyote alie tayari kutesa watu, kuziba watu midomo, kudhibiti vyombo vya habari, kufunga jela wapinzani, kuonea watu, n..k kwangu hafai...
  17. JamiiForums Tanzania Ilikuaje Trump na Elon Musk matapeli wakubwa zaidi kuwahi kutokea katika siasa za Marekani kuaminiwa na raia wengi?!

    Hawa watu wawili sijui waliwezaje kuwadanganya na kuwalagahi mamilioni ya Wamarekani kuweza kuwaamini! Ahadi zote kubwa kubwa Trump alizowaahidi Wamarekani hadi wakamchagua kwa kishindo hajatekeleza hata moja na zaidi sana ameenda kinyume chake na hakuna maelezo yoyote anayowapa Wamarekani...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya kuwauliza Matajiri wakubwa kuhusiana na tuhuma za kutokuhudhuria nyumba za Ibada walinijibu kama ifuatavyo

    Mimi kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya kazi za matajiri wengi sana ikafikia mahali Matajiri wale wakawa wananialika kwenye shuhuli zao Sasa kawaida binadamu kuna wakati tunazungumza mambo mengi Siku moja nikachomeka swala la Ibada Nikawauliza kuwa kuna shutuma kuhusiana na matajiri kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kuku wakubwa wa kienyeji

    Habarini wadau Je kuku wakubwa km jogoo au koounaweza kumpa change zote na kweli ikawa tiba ama kinga kwa Magonjwa. Maana nina mpango wa kununua makoo mengi ili niwafanye kwa ajili ya kuuza mayai tu tray moja ni 15K. Sasa nimepiga hesabu naona kunua makoo ni rahisi kwa mazingira niliopo...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

    Mimi sijalipia king'amuzi mwaka wa tatu sasa huduma nyingi natumia mtandao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…