Kwa nini ni vigumu sana watu kuacha kuamini mungu wakati 99% wanaamini mungu kwa sababu tu walizaliwa na wazazi waamini mungu(wenye dini) ila sio kwamba walianza kuamini mungu kwa sababu walipata uthibitisho kuwa mungu yupo?
Pia ukizingatia binadamu wote wanazaliwa atheists ni ajabu baada ya...
Hawa watu wawili sijui waliwezaje kuwadanganya na kuwalagahi mamilioni ya Wamarekani kuweza kuwaamini!
Ahadi zote kubwa kubwa Trump alizowaahidi Wamarekani hadi wakamchagua kwa kishindo hajatekeleza hata moja na zaidi sana ameenda kinyume chake na hakuna maelezo yoyote anayowapa Wamarekani...
Mimi kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya kazi za matajiri wengi sana ikafikia mahali Matajiri wale wakawa wananialika kwenye shuhuli zao
Sasa kawaida binadamu kuna wakati tunazungumza mambo mengi
Siku moja nikachomeka swala la Ibada
Nikawauliza kuwa kuna shutuma kuhusiana na matajiri kuwa...
Habarini wadau
Je kuku wakubwa km jogoo au koounaweza kumpa change zote na kweli ikawa tiba ama kinga kwa Magonjwa.
Maana nina mpango wa kununua makoo mengi ili niwafanye kwa ajili ya kuuza mayai tu tray moja ni 15K. Sasa nimepiga hesabu naona kunua makoo ni rahisi kwa mazingira niliopo...
Huwa na mazoea ya kwenda bar flani kugida sasa Kuna mdada huwa ananihudumia
Leo kaja kukaa karibu yangu ananihudumia vizuri kama kawaida maswali yakaanza sasa
Kwanini unakunywa beer ?
Nikamjibu tu napenda akaniangalia usoni akasema wewe muongo
Ila unaonekana hauna mwanamke hilo sikumjibu...
SAMIA NA ANGUKO LA KATIBA: KAMA HAMKUTAKA NIWAUE WATOTO WENU KWANINI MLIWARUHUSU WAINGIE BARABARANI KUFANYA MAANDAMANO YA KUNIPINDUA?
I. USULI
“Ukiona serikali ambayo haitaki kukosolewa, tambua kuwa hiyo si serikali nzuri. Serikali inayokataa kusikia sauti za watu wake inaelekea kwenye udikteta...
Vijana wa sasa sijajua au ndio kizazi chenu cha wakati.
Ila sisi wakubwa wenu mnavyo jionesha kuwa mnashindwa kutafutana mtaani mpaka kwenda kwenye media yani niliona kijana mmoja kuna kipindi kimoja mpaka nika jisikia vibaya sana.
Umfahamu wala hakufahamu mnaenda kuokotana kama madanguro...
Hii tabia tulikuwa tujaishtukia ila sasa wameshtuka hawa viongozi mnaowasema kuwa wana wanonea wivu.
Mnazunguka nchi zao kuomba mazungumzo wakiwagomea mnawadanganya kuomba picha ya pamoja kawasilisha kwa binti msumi.
kumbe mnaenda kwenye magazeti na media uchwara kuhadaa watu sijui mumeongea...
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.
Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati
Najua hii ndio sifa tuliompa mtu mweupe ili kuficha asili yetu wenyewe ila ukweli ni kuwa sisi waafrika kwa kiasi kikubwa ni moja ya jamii katili na ya ovyo kuwahi kutokea katika uso wa sayari hii ya bluu.
Wananchi wengi wanakasirika sana kuambiwa kukaa ndan kwa sababu wanakosa kufanya biashara zao, ukwel ni kwamba itakapotokea mtu anataka kuandamana tena basi wananchi watadeal nae moja kwa moja kwa sababu hawataki kuwekwa ndan tena
Hivyo wanaharakati angalieni siasa mnazofanya saaahv msije...
Najiuliza au nauliza ? Hivi wafanya biashara wakubwa ufata Nini ccm?
Au utumia kichaka hicho kama sehemu ya kufichia maovu Yao? Ccm ni chama au genge la wahalifu wanaojiunga Ili kufichaovu Yao?
Ni nani aloyeccm ambae ni mzarendo wa kweli? 😭
Ccm ni lama au chama Cha majambaziiii
Wakuu,
Watu wote wanaopinga kile kilichosemwa na na Father ni maqdui wakubwa wa nchi wenye nia ya kuficha uchafu wote uliofanywa na serikali.
Yaani kwa lugha rahisi unaweza ukasema wanaopinga hoja za Dr. Kitima ni kama wametolewa ubongo na kuingiziwq kimba kumkichwa hata wasielewe kile...
Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa serikali itamalizana na kila mtu kwa uwazi siyo kupitia wawakilishi wa upinzani na wanaharakati ambao wanapokea bahasha na kupotea.
Serikali ifanye mikutano na kufungua ofisi za ufuatiliaji kero za wananchi kwa uwazi siyo kwa uwakilishi...
Nimeona maoni watu wengi juu ya neno mwanaharakati na matumizi yake. Neno mwanaharakati linatumika kujenga taaswira mbaya juu ya jitihada wapigania haki za watu.
Mwanaharakati ni mtu anaetetea aina flani ya mtizamo na kupinga kila kilicho kinyume chake. Kwa Maana hiyo mtu yeyote mwenye...
Kuna kikundi unaweza kusema kina watu wengi ila kinawatu wachache sana ambao ukitaka kujua wanshindwa kurudisha majibu pale ukiwajibu hakuna respond kukuonesha huyu account ni mtumiaji .
Hii inafanywa kwenye mitandao ya kijamii pale watawalawa wachafu utashangaa wakikanusha unaona like nyingi...
Hutoamini najua walahi. Sababu ni watu unaowaamini na kuwategemea. Venye venyewe wasema kikulacho kinguoni mwako. Sijui walahi. Wamalize hili wanajambo lao nawe. Nye Nye Nye! Watu wabaya nye. Mwacheka usoni wageuka watupa mikuki. Polo polo polo magonda anza kutroti hewala. Kama waweza jipange...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.