wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula

    Siasa si ushabiki, wala vita vya kisiasa si lelemama. Haipo shaka aina za kina Lissu, Mbowe na wa namna hiyo ni machampioni kweli kweli. Si haba pia kwa kina Polepole, Kinana, Makamba au kina Membe kwa wakati wao. Kwa hakika nao walijaribu. Wa kuzingatiwa katika vita huwa ni maadui na...
  2. JamiiForums Tanzania Fanya hivi kwa mdogo wako

    Kama una mdogo wako amemaliza chuo miaka ya hivi karibuni jaribu kumtia moyo kwa kumtumia 30,000 au 40,000 bila sababu, yaani mtumie tu, yaani Fanya surprise, ikiwezekana rudia Mara kwa Mara , atakushukuru sana na kipato chako kitaongezeka maradufu
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Imekua rahisi sana kufanya tendo na mpenzi wako muda mfupi tu baada ya kuwa wapenzi?

    Habarini! Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu. Au akakubali leo kesho akaja, hii imeletwa na nini? Kitambo kidogo ilikuwa hadi mkae muaminiane...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

    Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253. Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nimesikiliza hotuba za nyuma kuhusu akiba ya Serikali , zinasoma Bilioni siyo Milioni; Gavana wa BOT na watu wako mnasikilizaga hizi hotuba?

    Kosa la uandishi lililopelekea kosa la matamshi lililotokea kwenye hotuba za Mhe Rais kuhusu akiba ya Taifa limekuwa likifanyika Katika hotuba za nyuma. Hotuba yake ya Juni alisema Tena USD Bilioni 4000+ na siyo Usd Milion 4000+, Juzi Bilioni 6000+ na siyo Milioni. Ukisoma vyombo vya habari...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, nimeukubali msimamo wako. Hongera sana

    Asante sana Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu mpendwa, kwa msimamo wako thabiti ulio tuonyesha tarehe 28 mwezi Desemba mwaka 2021 huko IKULU Magogoni wakati wa kushuhudia kutia saini mkataba wa kuendeleza SGR yetu kipande cha tatu kati ya Makutupora Singinda na Tabora. Kusema kweli, hotuba...
  7. JamiiForums Tanzania Wabunge wameufyata kuhusu bosi wao? Wako upande wa nani?

    Hii ni kali ya mwaka.Yaani wabunge tunaowajua kina Msukuma, Kibajaji, Kingu, Kigwangala na wengine kimyaaa. Huwezi kuniambia kauli ya Spika juzi alivyounanga utendaji wa Mama kuhusu mikopo na serikali yake ungetegemea wabunge hawa waufuate kiasi hiki? Wanaogopa wakimgusa bosi wao wakirudi...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ni stori ya maisha yangu. Nini ushauri wako kwangu?

    Wanajamvi naomba nipate ushauri wenu kwa hili. Kwa sasa nipo kweye 35 kasoro sikni nimepata ujuzi katika fani kama tatu hivi hapa namanisha elimu ya diploma ya utawala biashara lengo kuu tangu awali niwe mjasiriamali lakini baada ya masomo nikajiegesha kwenye kampuni fulani ya ulinzi ili nipate...
  9. JamiiForums Tanzania Nani ni mteja wako? Mbinu za kumtambua mteja wa biashara yako

    Mfano umepanga Kukutana na mtu ambaye humjui sura kwa jambo la msingi Stend ya Mabus ya Magufuli,Mbezi. Baada ya kupanga kuwa mtakutana pale, ghafla ukapoteza simu na namba yake huijui. Kwakua tayari mlikuwa mmepanga kuonana unaamua kwenda tu. Baada ya kufika, unakuta kuna watu wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa wadada: Huwa mnafanyaje mpenzi wako akiwa na hii tabia?

    Habari. Ni mpenzi wako, na kila mtu anajua status ya afya ya mwenzake. Wote kwa pamoja hamjaamua kuwa na watoto. Lakini tatizo unakuta hapendi kutumia kinga hata kama anajua upo siku za hatari. Hata akitumia katikati lazima alalamike hadi aivue tu, na hapo atakuahidi ata pull out ila hafanyi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ambao Mama hawezi kuwafukuza, wanafunguka, anaoweza kuwafukuza wako kimya, na hata hawamtetei wala kummunga mkono?Unagundua nini?

    Hilo ndio swali ambalo kila mwenye kufikiri sawa sawa anapaswa kujiuliza. Ninachokoona mini ni kuwa, Mama ni kama yuko peke yake na ndio maana hata wasaidizi wake (wateule wake), hawatoki hadharani kupambana na kina Polepole na sasa Ndugai. Hawajitokezi kumtetea, wala kuwapinga wanaompinga...
  12. JamiiForums Tanzania Mkeo ni mzazi wako

    Wanaume wote walio-oa, wanatakiwa watambue ya kuwa wake zao ni wazazi wao. Na hii ni kutokana na kunyonya maziwa ya mama (mke). Ndio maana sehemu zingine, mwanaume anaitwa ni mtoto mkubwa/wa kwanza kwa mkewe. Na hii imethibitika katika jamii zetu, mke kuitwa mama fulani (jina la mume). Mfano...
  13. JamiiForums Tanzania Fainali mbovu ya UCL kwa upande wako ni ipi?

    Kwa mujibu wa Football Funnys wanasema Fainali ya Uefa Champions League (UCL) kati ya Spurs Vs Liverpool ndio fainali mbovu kuwahi kutokea katika historia ya ligi ya mabingwa. Spurs alilala 2-0 dhidi ya Liverpool kirahisi mno tofauti na matarajii ya wengi waliodhani itakuwa mechi ngumu! Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Uhusiano wako kazini utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto

    Kama upo likizo na haupigiwi simu kutoka kazini kwako, kuulizwa kutoa ushauri kwa jambo lolote ambalo ni la kitaalamu 'technical'; Juwa ya kuwa wewe ni mzigo kazini, unatakiwa ujiongeze. Kupigiwa kwako simu kutaonyesha umuhimu wako wewe katika hiyo ofisi unayofanyia kazi. Kama utapigiwa simu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Swali: Je ni kitu gani ambacho familia au wazazi wako hawajui kukuhusu

    Hi guys, Mambo vipi? Mada inajieleza. From other social network. Binafsi hawajui kuwa nasota kiasi cha kutaka kurudisha mpira kwa beki. Aha Twende kazi na wengine.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais tupia Jicho malalamiko ya askari wako hayana afya kwa Nchi

    Niliandika asubuhi japo ujumbe haukuwa moja kwa moja kwako,,lakini uzalendo wangu umenituma kurudia tena kuandika,,,Mimi ni mwananchi ambae shughuli zangu hunifungamanisha sana na askari wa majeshi mbali mbali nafikiri toka kipindi cha Magufuli. Binafsi sipendezwi na maneno ambayo yana...
  17. JamiiForums Tanzania Wakati ule wa Nuhu- ndio huu sasa

  18. JamiiForums Tanzania Mbowe, ukitoka jela pumzika siasa. Wafuasi wako wanakusaliti

    Wanaukumbi. Mbowe, rafiki yangu ukimalizana na kesi pumzika kufanya siasa ili upate muda wa kupumzika na kujitafakari upya huku nje hauna watu una wasaliti watupu. Hawakutakii mema. Wanataka ukae jela miaka wakutumie tu kama chambo wenyewe huku uraiani wanapiga hela za wafadhili Kujitoa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa ratiba hii, CHADEMA wako sahihi kutokushiriki

    Tuwekeni ushabiki kando, kinachotangazwa na kupigiwa upatu kama kikao Cha wadau wa siasa hakina Ajenda ya majadiliano hata Moja. Yaani mnafika, wanakaribishana Hadi saa Tano, Chief Hang'her anaongea kama mgeni rasmi. Saa sita wanapiga picha, "kikao" kimeisha picha zimepigwa. Imetoka hio. Kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wako mtandaoni wanapiga domo, Mama Yuko Kazini anajenga nchi

    CHADEMA wimegeuka kuwa Chama Cha Twitter, msemaji wao mkuu ni Mari Sarungi. Wako bize sana mtandaoni kupiga domo. Hawana hoja za maana tena,mijadala yao mikubwa ni mara Tanganyika haipo, mara Ucifu ulifutwa na vitu vingine vya kudandia dandia. Jambo moja ninalopenda sana kuhusu Serikali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…