wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

    Kama msimu huu unaoisha tulianzia round ya kwanza tukiwa ranked number 15 kwa ubora afrika na kupata bahati ya timu 5 zilizokuwa juu yetu kuvurunda kwenye domestic leagues zao tukapata nafasi ya kuanzia round ya kwanza why not mwaka huu? Tuko nafasi ya 14 kwa ubora barani afrika lakini katika...
  2. JamiiForums Tanzania Tupia utabiri wako kuelekea kufungwa kwa dirisha la EPL leo jumapili

    Leo jumapili 22/05/2022, dirisha la EPL litakuwa linafungwa huku bingwa akiwa bado hajapatikana. Man City na Liverpool watakuwa wanawabia ubingwa. Huku kukiwa na tofauti ya point moja tu. Man City itashuka dimbani Etihad kuwakaribisha Aston Villa huku ushindi ukiwahakikishia ubingwa. Liverpool...
  3. JamiiForums Tanzania Ufanye ushiriki wako kwenye mitandao ya kijamii kuwa salama kwako na kwa wengine

    Salaam Wakuu, Natumai nyote mpo salama. Mitandao ya kijamii kwa zama zetu hizi imekuwa mtindo wa maisha na nguzo muhimu ambayo inawasaidia watu kupata taarifa, burudani, elimu, furaha, ajira, marafiki, wapenzi n.k. Mitandao hii imekuwa na nguvu kiasi ambacho imeanza kuzingatiwa kama miongoni...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama haya huyajui, hata tweets za Martin Maranja Masese kuhusu China Civil Engineering Company na kumuhusu Waziri wako Mwigulu huzioni?

    Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu. Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa. Baadhi ya tweets...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

    Nimepita hapo, nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari. Chukua tahadhari.
  6. JamiiForums Tanzania 63% ya wanawake Tanzania wako tayari kupata chanjo ya COVID19

    Taarifa ya NBS imeonesha wanawake wenye utayari wa kupata chanjo ya UVIKO ni wengi zaidi kuliko wanaume. Ambapo 63% ya wanawake ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo wakati ni 53% tu ya wanaume ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo. Kwenye upande wa maeneo watu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama itende haki, haiwezekani ndugu zetu tangu 2016 wako rumande, lakini kesi za kisiasa zinamalizwa haraka haraka, first in first out!

    Haki ionekane pande zote, masheikh walikaa rumande miaka tele, hata Sasa tunapoongea ndugu zetu wanaozea rumande, kesi hizi za kisiasa zinapangwa tarehe za karibu. Mahakama mnakwama wapi? First in first out. Haki ni kwa wote. Tunatarajia kesi hiyo ya akina Mdee na yenyewe ipangiwe miezi...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Niliongea nao wakasema wako tayari kushirikiana na chama, lakini tuwaachie Ubunge

    Mnyika anasema “Baada ya kutokea yaliyotokea nilikutana na Bulaya na wenzake ili dhamira yangu iniongoze, sawa wamekosea, lakini je, wapo tayari kutubu na kurudi?” Anasema, “Nilichokigundua baada ya kufanya mazungumzo nao, mdomoni wanasema wanakipenda Chadema na wapo tayari kurudi na kushiriki...
  9. JamiiForums Tanzania Sema ukweli wako....

    Kiupande wangu sijapata jibu ila nafikiri Mbinguni tutafika tuu kikubwa mkono uende kinywani
  10. JamiiForums Tanzania Jichunguze hapa kama wewe au mtoto wako mnatatizo la Dyslexia

    y’all..... Kutokana na uelewa na muamko hafifu wa elimu ya malezi ya watoto from prenatal to postnatal (Psychology) kuna mambo hua yanawakumba watoto na wazazi bila kuelewa wanachukulia ni swala la kawaida mtoto kua hivo. Wengine wanaweza ihusisha hali Fulani aliyonayo mtoto na maswala ya nguvu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wapinzani Bado Wako kwenye Ndoto ya Kuingia Ikulu wakaamshwe

    Kama kuna vijana wako huko Upinzani wakidhani kuna siku Watachukua hii Nchi na kuingia Ikulu basi wanajidanganya sana labda baada ya miaka 50 huko baadhi ya watu wakiondoka . Kuna sababu mbili tu :- 1.Vyama vyao vinaongozwa na Mamluki na wachumia Tumbo ,Ni either na wana CCM walio vaa mavazi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo sasa Chadema na CCM wako juu ya Kamati ya Prof Mkanda?

    Nauliza tu kwa sababu sikuwepo hapa mjini kwa muda Jana Mbowe kasema kutakuwa na Kamati ya watu 20 kutoka Chadema na CCM itakayoratibu hali ya siasa nchini Naomba ufafanuzi!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna haja ya kumwambia mpenzi wako kuwa upo off mood bila ya kumpa sababu yoyote ya msingi?

    Hii tabia naona inataka. Kuota mizizi kwa mpenzi wangu, Mara nyingi ninapompigia kumjulia Hali, maana tunaishi mikoa tofauti amekuwa akinijulia kuwa yupo off mood,bila ya kunioa sababu ya msingi. Nashindwa kumuelewa kwamba anakuwa anamaaniaha Nini?kwamba nisimsemeshe au ni Nini? mwenye uelewa...
  14. JamiiForums Tanzania Shusha BEI ya bidhaa zako kabla hujalazimishwa kushusha na Mpinzani wako

    Katika biashara kila mfanyabiashara anafanya biashara yake kwa namna alivyowekeza pesa zake,muda na akili yake eneo hilo. Baada ya kujua pesa aliyowekeza,muda aliotumia,gharama zote mpaka bidhaa inamfikia mteja ndipo mfanyabiashara hupanga bei ya bidhaa zake. Wafanyabiashara wengi 80% sio...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa Uwaziri

    Kwa nini Samia hakutaka kuwa wazi tu kuwahusu hao jamaa na kuamua kutudanganya eti watapewa kazi maalum ilihali sivyo?! Ukweli humweka mtu huru na kwalo Samia ingetosha alipowateua wengine na kuwaacha kina Lukuvi na wenzake angekaa kimya na kuendelea na hamsini zake. Hilo la Lukuvi na Kabudi...
  16. JamiiForums Tanzania Maswali muhimu unapokuwa mbali na Mwenza wako

    Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa mwenza wake huko Alipo; 1. Upo wapi Mpenzi-Hili swali wachepukaji hawalipendi sana, bila kujua ni...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwafikia wateja wako kirahisi

    Bulk sms ni mfumo unaomuweza mfanyabiashara,taaisisi au kampuni kuwa na uwezo wa kuwatumia watu wengi sms kwa wakati mmoja(hadi sms 1M) Ikiwa na Sender ID Ya kampuni ama taasisi yako Mfumo Huu ni wa kisasa na ni wa haraka sana Ambao unakusaidia kuwafikia wateja wako Kwa urahisi zaidi kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Umasikini ni tabia inayotakana na uwezo wako wa kufikiri

    Kama uwezo wako unafikiri kidogo, ata katika kutatua changamoto zako zinazokuzunguka utazitatua kidogo; na hatimaye utakuwa masikini. Kama wewe ni muajiriwa, na umerizika kuwa na chanzo kimoja cha mapato; yaani mshahara, mfano wa laki 5; na unautumia mshahara huo wote na kuishia kwenye matumizi...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume una njia zote za kufupisha ahadi ya mpenzi wako, kama utaamua

    Wikiend iliyopita, nilikuwa nimejichokea kiaina; nikaona bora niende zangu 'club' moja ya karibu angalau nipate kinywaji kidogo, huku nikiburudika na mziki pamoja na kuosha macho kwa watoto wazuri. Baada ya kuingia club, mhudumu akaniongoza mpaka kwenye meza moja ambayo haikuwa na mtu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa wabunifu na wadau wa ubunifu: Hudhuria wiki ya ubunifu katika mkoa wako

    Habari wana Jukwaa, Sambamba na UZI HUU niliouleta kuhusu Wiki ya Ubunifu Mkoa wa Njombe, nimeona ni vyema nikaleta masasisho kuhusu matukio kuelekea Wiki ya Ubunifu kitaifa itakayofanyika Dodoma. Hapa nawaletea orodha ya Mikoa ambako kuna matukio yatafanyika, Taasisi zinazohusika kuyaandaa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…