wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mitano tena kwa Samia nini ushauri wako kama Mtanzania mwenye nchi?

    Kauli "Mitano tena kwa Samia" nadhani si ngeni masikioni mwa watanzania walio wengi. Ina maanisha kuwa baada ya kumaliza kipindi cha urais uliopatikana kwa mkono wa Mungu, rais Samia apewe miaka mitano tena ya kuongoza kuanzia mwakani baada ya uchaguzi mkuu. Je wewe kama mtanzania mwenye nchi...
  2. JamiiForums Tanzania RC wa Tanga: Kuna vijana 30,000 wako nyumbani wanalelewa na dada na mama zao. Walipoulizwa wamesema hawatafuti ajira

    Wakuu, Vijana wa Tanga mna salamu zenu huko kutoka kwa RC wenu. =========================================== Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Balozi Dkt Batilda Burian amesema Halmashauri ya Jiji la Tanga bado kuna Changamoto ya Vijana wenye Umri kati ya Miaka 15-35 ambao wanataka kulelewa na Mama...
  3. JamiiForums Tanzania Hakikisha mke wako hana mwanaume mwingine nje, siku akiwa naye hatokupenda tena mpaka atakufa

    Nawasanua wana musije kusema sijawaambia. Nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu, najua ninachokiongea hapa.
  4. JamiiForums Tanzania Yanga msitafute wachawi wachawi wenyewe..wale wachezaji wanarekodiwa wako bar Masaki siku 3 kabla ya mechi mkaona starehee nabado

    Yaaan shida ni maadili YAAN KUNA video zilisambaa kibaoo za Azizi pakome na baadhi ya wachezaji wakiwa bat siku tatu kabala ya mechi Aikutosha ilikuwa mechi nyingine wakaonekana wako bar Moja pale Morocco na wahuni WA like wakichezewa SEHEMU zao. Hii ya masakii pakome alilizwa dollar 5000 na...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe hakuna ugomvi ndani ya CHADEMA wako vizuri. CCM mjipange!

    Kumbe ni kweli umekuwapo mvutano mkubwa kati ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Makamu wake Tundu Lissu. Lakini mvutano huo sio ugomvi kama mnavyo aminishwa na wapiga propaganda wa CCM bali ni kuwa hawajakubaliana kitu kimoja na ni kwa manufaa ya chama. Habari kutoka chanzo cha uhakika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Application yangu hii hapa kwa sasa ni ya android ipo testing naomba ushauri wako..

    Hello wakuu nimetengeneza application ya simu inayohusiana na Real estate jisajili tumia weka comments...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wangu tupe utaratibu wa kuwasiliana na wewe Moja kwa Moja kabla mambo hayajaharibika zaidi nahisi watendaji wako Wanakupotosha hawakwambii ukweli

    Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
  8. JamiiForums Tanzania Jina gani la utani huwa unamuita mpenzi wako linaloshangaza

    Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa baada ya kuona vyeti vyake vya O LEVEL and ADVANCE LEVEL akiwa na ufaulu mkubwa wa mathematics...
  9. JamiiForums Tanzania Kongamano la Ladies In Red

    Kama mchumba, au mke wako amekwenda kwenye kongamano la Ladies In Red wao wanasema na kudai ni Kongamano mahususi la Mahusiano linalofanyika Mbezi Garden Hotel. Mwanaume mwenzangu anza kupiga hesabu zako mapema na tafakuri kubwa ya mahusiano yako. Moja ya wazungumzaji wakuu ni Bhoke kutoka...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni wapiga kura wako; Rais Samia waondolee adha ya kunyanyaswa na SUMATRA

    Jana nimeshuhudia vurugu za kutisha mtaani wakati wa kilichodaiwa kuwa zoezi la kukamata pikipiki zinazodaiwa malipo ya SUMATRA. Hali ilikuwa ya kutisha baada ya bodaboda kuanza kurusha mawe ovyo na kuzua taharuki kwa wapita njia. Bodaboda kisheria wanatakiwa kulipa kodi hiyo kila mwaka kwa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mungu aliagiza tukaijaze dunia. Hii habari ya kuoana imetoka wapi?

    Mungu aliagiza tukazaane tuijaze dunia, wala hakusema tuoane. Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?
  12. JamiiForums Tanzania Sababu ambayo rafiki tajiri hakutaki tena(rafiki sio mzazi wako)

    Poleni na majukumu ! Wakuu nimeona ndugu tujadili hili ili tupate uelewa wa pamoja .Kuna dogo alikuwa bodaboda jirani na baa ya mtaani napoishi mimi kidogo nakakipato ka wastani nani broo sana kwa hawa bodaboda kwa maana age yao wengi 18 hadi 30 mimi niko mid forty ,sasa mimi nimejaaliwa ile...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiwa unachagua shule ya msingi kwa ajili ya Mtoto wako unazingatia vitu gani? Ukiachana na performance ya Taaluma?

    Changamoto inayowakumba wazazi wengi wanaotafuta elimu bora kwa watoto wao licha ya vipato vidogo. Ndugu wanajamii, mimi ni mzazi naomba msaada wenu kupata shule bora na yenye gharama nafuu kwa mtoto wangu mwenye umri wa miaka 7 anayetarajia kuingia darasa la 4 mwakani lakini ninampango wa...
  14. JamiiForums Tanzania Huwa unatumia mbinu Gani kumuomba mwenza wako msamaha

    Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa ni kosa la jinai kutamka samahani mbele ya mkeo au watoto hata ukosee vipi na kosa liwe wazi Tunaamini kulitamka hilo neno ni udhaifu Kwa mwanaume Huwa tunaomba msamaha Kwa vitendo sio Kwa kusema na mwanamke ataelewa kabisa kwamba Kwa matendo haya naombwa msamaha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watu huja kwako kimkakati,mvuto wako kimuonekano ni ziada tu

    WATU HUJA KWAKO KIMKAKATI,MVUTO WAKO KIMUONEKANO NI ZIADA TU. Wenye upeo mkubwa wa kuona mbali hili si jambo geni wanaelewa kabisa kuwa mvuto ni kitu cha ziada tena pengine kikawa na nafasi ndogo kwenye kufanya watu waje kwako ila mwenye upeo mdogo atajisifia mvuto wake kuwa ni sukari yenye...
  16. JamiiForums Tanzania Kama unataka kupata ajira wekeza muda mwingi katika utafutaji ajira epuka biashara itakayokula muda wako

    Habari Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa. Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wanawake wa kuoa sasa. Wanawake ambao hawajaathiriwa na feminists, wako wengi mikoani

    Nenda vijiji vya mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mbeya, Ruvuma, Rukwa na Katavi utakutana na wanawake waliolelewa na wakaleleka. Kila mwanaume kwao ni kama mfalme. Hawathubutu kamwe, huona soni na hivyo kutoka ndani mioyoni mwao huonesha heshima ya hali ya juu sana kwa kupiga magoti...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako akikuacha bila taarifa ndo anakuwa anamaanisha nini?

    Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake? Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama binadamu sitaki kuamini kama bado anaishi halafu bila mimi!, Achwa vyote usiombe kuachwa bila taarifa...
  19. JamiiForums Tanzania Je kuna watu wako hai mpaka sasa Kama walivyoahidiwa na Bwana Yesu?

    Reference: Marko 9:1 Luka 9:27 Mathayo 16:28 Mistari yote hio ina ujumbe unaofanana, ya kwamba Maneno hayo yalitamkwa na Bwana Yesu mwenyewe akiwa katika mwili wa damu na Nyama akiwaambia kuna watu watauona ufalme wa Mungu kabla ya kufa.. Kumbuka ishapita miaka elfu 2 mpaka sasa Je, hao...
  20. JamiiForums Tanzania Broo Jinsi unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke wako anakuona ukiwa huna Pesa

    Broo Jinsi Unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke Wako Anakuona Ukiwa Huna Pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…