wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndugu zetu wakenya mmetisha sana, Nganya imekaa poa

    https://www.tiktok.com/@ma3nisisi/video/7526154389866745144
  2. Tofauti ya wakenya na Watanzania

    Ni kiasi cha uelewa wa jambo, umuhimu wake,sikio la kusikiliza na mwisho kabisa kuchakata jambo lenyewe.
  3. Sauti ya wakenya ipo juu sana, ni mwendo ule ule OKTOBA KUTIKI TU

    Wakenya wanasema 20 tena https://www.tiktok.com/@ma3nisisi/video/7526154389866745144
  4. Hawa ndio wakenya ambao chadema wanawasifia kwa kujitambua,

    Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
  5. M

    Hizi kejeli za Wakenya dhidi yetu zina ukweli ndani yake? Kwamba bunge linaenda kuwa la Wachekeahaji na mambumbu!

    Mhimili muhimu kwa maisha ya watanzania kwa ajili ya kutunga na kuisimamia serikali imekuwa kama kihoja. Kwamba watu wa hovyohovyo wanaonyesha nia kwenda bungeni kana kwamba ni chooni. Wakenya wapo sahihi.
  6. S

    Hawa Wakenya wabunge wetu waliosema hawana akili kama sisi Watanzania ndio sasa wanatusaidia ndege za ujasiri wa Tanzania kwenda Ulaya!

    KQ to support Tanzania aviation industry National carrier Kenya Airways (KQ) is in talks with Tanzania to support its aviation industry after it was banned by the European Union (EU). The European Union (EU) banned Tanzanian airlines from operating in its airspace in early June over safety...
  7. W

    Tiktok umekuwa mtandao wa majivuno ya kikabila kwa kizazi cha watoto wa 2000, Tukipuuza tunaandaa taifa litaloshamiri ukabila

    Katika mitandao mingine, ukabila hujitokeza mara chache, ni mambo ya mpito, lakini Tiktok imegeuka jukwaa kuu la majivuno na mashindano ya makabila, Tiktok imekuwa kama kiwanda cha kuchochea ukabila wa kisasa kwa kivuli cha burudani, Tiktok inachochea sana vijana kuona thamani katika makabila...
  8. Mtu Mwenye fikra finyu pekee ndo anaweza kusema wakenya wanaharibu nchi yao

    GT Katika ulimwengu wa harakati za mapinduzi ya kisiasa na kusukuma nchi iende mbele kile kinachotokea Kenya ni sahihi kabisa maana wanaijenga nchi yao. Ndugu zangu hakuna taifa lolote tajiri ambalo halijapitia madhira kama ya Kenya. Wanachofanya wakenya ni kutafuta kuheshimiana ili serikali...
  9. Maandamano ya Gen Z: Jaji Mkuu Mstaafu David Maranga na waandamanaji watawanywa kwa mabomu, raia wasiopungua 16 wauawa

    Hatimaye imewadia Jumatano iliyosubiriwa kwa hamu tarehe 25 Juni 2025, ambapo Gen Z wa Kenya wanatarajiwa kufanya maandamano, Swali niJe, waandamanaji watakuwa salama dhidi ya polisi? HALI ILIVYO KABLA YA MAANDAMANO KUANZA Polisi wametumia waya wenye miba kuzuia lango la kuingia Bungeni kabla...
  10. Nimetamani kupata dada mmoja mrembo wa kikenya wamenikosha sana

    Nikiwa napata lunch mahali, kwenye tv wanaonesha maandamano yanayoendelea huko Kenya, ila kilichonivutia sio hayo maandamano Bali wadada warembo wasioogopa hata risasi...nikajawa na hisia za mapenzi kwa wadada hawa Kenyans have more bigger b*lls than us tanzanians..sisi ni wachumba tu ... Yan...
  11. Wakenya 🇰🇪 Mna Haribu Nchi yenu kwa mikono yenu wenyewe, Vurugu na Mauaji ya Wenyewe kwa Wenyewe sio Suluhu ya Matatizo yenu

    Kwa kinachoendelea hivi sasa na vijana kwa ubishi mkashindwa kumsikiliza Gachagua akiwaonya juu ya mauji kutokea katika hizi vurugu Wakina Martha Karua mpo kimya, waokoeni Hawa vijana dhidi ya kadhia hii inayoendelea. Vurugu sio suluhu ya mnachokitafuta, bado mna nafasi ya kutatua matatizo...
  12. N

    Kuwafikia Wakenya itachukua Miaka mingi sana

    Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha...
  13. Ni muda Sasa serikali iachie mipaka Wakenya waendelee kutuletea vifaranga. Wazalishaji wa Tanzania wamelala mno

    Kwanza inatakiwa utoe oda zaidi ya siku14 ndo upate vifaranga. Vifaranga vyenyewe wamechakachua ubora hafifu! Ona bei zao wanajipangia wanavyopenda wao. Ukikoswa mzigo Hadi uanze kuwa bembeleza na kuwauliza kwahiyo lini nitapata mzigo !? Company nyingi zipo kitapeli na uhuni mwingi wanajari...
  14. Si kwamba Wakenya hawana aridhi ya kulima mahindi ya kula, hapana ni kwa sababu wana akili sana kwenye kilimo Biashara.

    Sisi tunalima mazao ya urith wetu, Mazao ya kuanza kuapangiwa mara usiuze mara uza, mara usiuze yote, mara Mkuu wa wilaya apiga marfuku kuuza Mahindi nje, mara Mkuu wa mkoa apiga marfuku kuuza mahindi mabichi. Wakenya huwa si kwamba hawana aridhi ya kulima mahindi ya kula wanayo sana ila tu...
  15. Kila Mnoreform aweke ushahidi wake hapa kwamba ni mtanzania kweli, kuna tetesi eti wengi wenu ni wakenya?

    Hata mimi napata wasiwasi pengine kweli, so wasijekuwa wanatwanga maji kwenye kinu Manake wenzetu jirani kwa kutumia mitandao wapo vizuriiii, Unajua kwanini? Threads yenye comments zaidi ya 100 lakini wachangiaji ni 16 tu, hapa lazima tupate mashaka kidogo
  16. A

    Rais kama busara imekuelekeza kupuuza matusi na udhalilishaji wa wakenya imeshindikanaje kuonesha ukomavu kwa Gwajima

    Heading hapo juu inajipambanua vizuri. Kila mtu amejionea na kukusifu kwa namna ulivyoonesha uvumilivu, utulivu, ukomavu na busara dhidi ya matusi, udharirishaji na mashambulizi yanayoendelea toka baadhi ya majirani zetu kama nchi. Hata sisi unaotuongoza tumeyasikia na tumeyaona. Nikiri wazi...
  17. Tovuti ya bunge kuna CV za ajabu alafu baada ya wakenya kuhoji CV sasa kuna taarifa za tovuti ndani ya bunge

    Cv za bunge kusikia mtu kasoma shirika la NASA USA elimu ya ngoma na sanaa ni kawaida. Tupate vichekesho hivi kwenye tovuti za bunge.
  18. W

    Maisha Yamekuwa Magumu” – Asilimia 75% ya Wakenya Wanasema Hali Imezorota

    Utafiti mpya wa TIFA umeonesha hali halisi ya maisha magumu ambayo Wakenya wengi wanapitia tangu Rais Ruto aingie madarakani miaka miwili na nusu iliyopita. Asilimia 75% ya waliohojiwa wamesema hali yao ya kiuchumi ni mbaya zaidi sasa kuliko ilivyokuwa miaka mitatu iliyopita – kabla ya uchaguzi...
  19. R

    Wakenya wamemkomalia Ruto na WanTam, sijui kama atatoboa 2027 uchaguzi wa Rais?

    WanTam ni One term President. Atatoboa kweli 2027 uchaguzi mkuu? au ni ushabiki /slogan za upinzani . Lakini ukiendwa Tweeter, WanTam inatawala kuliko political slogan zinazompa nguvu/uwezo wa kushinda Ruto!
  20. Nini tumezidiana Wakenya na Watanzania?

    Ni ujuha na mihemko tu kusema Watanzania tumewazidi Wakenya kila kitu au kusema Wakenya wametuzidi kila kitu. Uhalisia kuna mambo tunazidiana, haya ni baadhi. Watanzania tunayowazidi wakenya 1. Muziki 2. Mpira 3. Kiswahili 4. Bidhaa za kilimo 5. Madini Wakenya wanayotuzidi Watanzania 1. Ukubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…