wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya hebu nifafanulieni kuhusu Ugavana, Useneta na Ubunge huko kwenu

    Naomba ufafanuzi kuhusu nafasi za kisiasa za ugavana, useneta na ubunge. Kwa vigezo vifuatavyo. Kiongozi yupi ni mkubwa kuliko wengine, magavana wapo wangapi nchi nzima, maseneta pia na wabunge.
  2. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga awaonya Wakenya dhidi ya kumchagua Ruto, amuita "Mr Promise"

    Kinara wa ODM Raila Odinga na kikosi chake cha Azimio wamewaonya Wakenya dhidi ya kumchagua Naibu Rais William Ruto. Waziri Mkuu huyo wa zamani alimtaja Ruto kuwa ni ‘Bw Promise’ ambaye anatumia ahadi ‘tupu’ kuwashawishi wapiga kura, na kukataa ahadi hizo baada ya kuingia madarakani. "Yote...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dubai kuwapa Wakenya visa ya miaka kumi

    Ndio umuhimu wa kuwa na elimu bora na wachapa kazi, wanang'ang'aniwa kote, mara UK, mara Dubai, ukizingatia diaspora wetu wanatuma hela nyumbani kuzidi mataifa yote ukanda huu, vyuo vyetu vinazidi kuzalisha vichwa na akili kubwa. Waende tu wakapate maujuzi zaidi ili wakirudi wawekeze nyumbani...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona hamueleweki Watz, hii gesi mnayotaka kutuuzia Wakenya ina maana sio yenu?

    Kha! Hizi ni chokochoko bana, kwani gesi ya nani? Ha ha ha!!! Acheni tununue....
  5. leonaldo

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Watanzania kumlaumu Magufuli, Wakenya walimkubali sana

    Licha ya kuwa wapo watanzania wanamlaum Rais John Pombe Magufuli kwa mambo kadhaa lakini huko nje ya mipaka yetu Kuna watu wanamkubari Sana kwa jitihada zake za kuliletea taifa letu miradi ya kutukuka na kuheshimika kimataifa katika kipindi kifupi alicho kaa madarakani. Somo tujifunze...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utalii wa ndani Kenya waongeza mabilioni kwenye uchumi

    Huu ndio uzalendo wa kweli.... ===== The tourism sector rebounded last year supported by locals, as the industry pulled out of a painful two-year period since it was hit by the pandemic. The tourism sector performance report 2021 shows that the industry earnings jumped 65 percent to Sh146.51...
  7. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Marehemu Njonjo wa Kenya alikuwa mtata sana

    Muda mfupi uliopita nilikuwa nasoma habari kwenye tovuti ya The citizen kuhusu huyu mzee Njonjo ambaye aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa Kenya kwa takriban miaka 17. Kilichonivutia hasa kuhusu habari hii ni uhusiano kati ya Mwai Kibaki na marehemu mzee Njonjo. Mwandishi anadai wazee hawa waliishi...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazawa Wakenya waliohusika kwenye usanifu wa jengo refu kuliko majengo yote Afrika Mashariki na Kati

    Mababu zetu waliopigania uhuru wa Mwafrika pale walipo kama wana uwezo wa kuyaona haya kweli watafarijika kwa kujua jitihada zao zilizaa matunda, wajukuu wao, wazawa wa nchi hii leo wanahusika pakubwa kusanifu miundo mbinu ambayo inaipaisha nchi kwa mwendo kasi. A file image of the Global...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Za chinichini wasaf BET ni ya wakenya, anakula kamisheni

    Ndo ukweli, I kwamba ni yake kwa asilimia 100, sema hawasemagi ukweli, c angesema ameingia ubia na kampuni ya Kenya kwani Nini mbaya. Hongera kwa platinum, Ila natafuta karanga zako na pafyum mtaani sizioni. Imperial Kenya karibuni muwekeze Rais kashafungua njia, muue kabisa na makampuni...
  10. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya, mnaona vipi Muungano wa Tanzania, are Tanganyikans duped?

    Well kwa huku kwetu kila moja anajivutia kamba kwake, nimeona tupate viewpoint kutoka kwa 254. Muungano haukuwa Takwa la nyerere bali takwa la nchi za kibepari kama uingereza wakihofia nchi za ujamaa zisije zikaichukua Zanzibar na kuwa koloni la ki -socialist!!!!Nyerere kama kijana aliekuwa...
  11. Ramon Abbas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya mna Balaa Nyie: Eti mji wa Nakuru ni mkubwa kuliko baadhi ya majiji ya Marekani kama Atlanta

    Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
  12. ijue historia

    JamiiForums Tanzania Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    Kitabu bora cha UJASUSI na USALAMA kiitwacho "IJUE HISTORIA" chenye kurasa 470 kinachoongelea historia za UJASUSI, UPELELEZI, SIRI ZA DUNIA, UGAIDI na UHALIFU kimeshatoka na kinapatikana kwa sh 25,000 tu. Pia kundi la "ijuehistoria" (WhatsApp group) lipo kwa gharama ya sh 3000 kwa mwezi. Namba...
  13. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya bana...tiketi za SGR zimeisha, mabasi ya mikoani yamekodiwa yote kuelekea msimu wa Krisimasi

    Yaani tuna desturi ya kuchapa kazi mwaka wote kisha tunajiachia msimu wa Krisimasi kwa raha zote, kula bata kwa kwenda mbele, ndio utamu wa kuwa kwenye nchi yenye uchumi bora na ya wachapa kazi. ===================== The standard gauge railway (SGR) passenger service from Nairobi to Mombasa is...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: KRA yatangaza kuchunguza maisha ya wakenya kwenye mitandao ya kijamii

    Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru nchini Kenya (KRA) imetangaza kuwa inaanza kuchunguza mwenendo wa maisha ya raia wa nchi hiyo kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa mengine ya kidijitali ili kubaini iwapo mapato yao yanalipiwa ushuru. Mamlaka hiyo inasema kuwa raia wengi wa Kenya wamekuwa...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera Wakenya kwa kukuza lugha ya Kiswahili Sudan Kusini

    Niko huku Sudan Kusini nasaka mpunga kwenye mishe fulani hivi na nimefaulu kukatiza maeneo mengi na kushududia namna Wakenya wamehusika pakubwa kwenye kubadilisha maisha ya hawa watu waliokua wamezoea vita maporini. Kiswahili kinazidi kutamalaki na kuzagaa, leo hii kuna ushindani mkali baina ya...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

    Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS). Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
  17. Stroke

    JamiiForums Tanzania Dhuluma za Wakenya kwa bandari yetu

    Wakuu, Wakenya wanaiua bandari yetu kimya kimya. Hivi karibuni makampuni kadhaa hapa Tanzania yameanza kupeleka bidhaa zao Bandari ya Mombasa baada ya nafasi za shipping line maarufu ya Maersk kukosekana kabisa hapa nchini. Msafirishaji akiangalia nafasi za kuexport mzigo kwa hapa nchini...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi Wakenya tutazuiwa riadha, haya Mkenya mwingine avunja rekodi

    Jameni tuanze kuachia achia, ila hamna mwendo huo huo mbele kwa mbele. Kenya's Angela Tanui celebrates her victory at Xiamen Marathon on April 11, 2021 Kenya's Angela Tanui has broken the course record to win the Amsterdam Marathon, Netherlands. She clocked in at 2 hours 17 minutes 57...
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wazoa mamilioni Boston

    A Collage of Benson Kipruto (left) and Diana Kipyogei crossing the Finish Line in Their Respective Races at the 2021 Boston Marathon. WBUR.ORG Kenyan athletes showed their dominance and superiority after scooping medals at the 2021 Boston Marathon held on Monday, October 11. Diana Kipyogei won...
  20. Guus

    JamiiForums Tanzania Wakenya msione aibu, leteni Harambee Stars kwa Mkapa

    Leo tarehe 17 mwezi wa 9, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limekataa kuuidhinisha uwanja wa soka wa Kasarani kutumika katika mchezo baina ya timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) na Mali wa kufuzu fainali za kombe la Dunia. CAF wamegoma kuuidhinisha uwanja huo, katika mchezo unaotarajiwa...
Back
Top Bottom