wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais hataniwi, Wakenya mwacheni mama yetu tumieni AI Kwa ajili ya baba yenu

    Rais hataniwi kamwe, Ila Magufuli aliweza kumtania Jakaya, hata alipozingua alimsemelea kwa kaka yake selemani. Wakenya mwacheni mama yetu tafadhali, mnatumia AI kuonesha mama yetu azungusha Nini? Itumieni kwa baba yenuuuu
  2. O

    Russia Deal Turns Bitter ,Hakuna Fidia kwa Wakenya

    Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi ameibua mjadala mzito baada ya kufichua kuwa serikali ya Kenya iko kwenye mazungumzo na serikali ya Russia kusaidia kurejesha Wakenya wanaodaiwa kupigana vita upande wa Urusi. Akizungumza na Citizen TV leo, Mudavadi alisema kuwa hali ni mbaya zaidi...
  3. Urusi haina mpango wa kuwarejesha Wakenya wanaopigana vita ya Ukraine

    Serikali ya Urusi imesema hakutakuwa na mpango wowote wa kuwarudisha nyumbani Wakenya wanaodaiwa kuhudumu katika jeshi la Urusi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Musalia Mudavadi na Waziri mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wamesema mataifa hayo mawili hayakuwa sehemu ya mikataba iliyotiwa saini na...
  4. Rostam Aziz: Wakenya lazima mbadilike, someni alama za nyakati, Kenya sio mkubwa kuliko wenzake wote

    Mfanyabiashara Rostam Azizi ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG). https://www.youtube.com/watch?v=k6BN7BQ7LQc ============================== Pia soma ~...
  5. O

    Operation Safisha Nairobi, Eric Omondi awaita wakenya Uhuru Park, lengo kuu kubadilisha Nairobi

    Kenyan comedian Eric Omondi ametoa wito kwa Wakenya kujitokeza kwa wingi this Saturday at Uhuru Park kwa kile ameita “Operation Safisha Nairobi.” Lengo kuu ni kuunganisha nguvu na wananchi kusafisha jiji la Nairobi, ambayo imekuwa ikikumbwa na changamoto za taka na mazingira machafu. Kupitia...
  6. Wakenya kukaza mshipi zaidi bei ya vyakula ikipanda

    Kulingana na ripoti iliyotolewa Ijumaa na Shirika la Kitaifa la Takwimu Kenya (KNBS), Februari 27, bei za baadhi ya vyakula zimepanda. Kati ya Januari na Februari mwaka huu, bei ya sukuma wiki ilipanda kwa asilimia 2.4, huku ile ya kabeji na viazi kila moja ikiongezeka kwa asilimia 4.0. Sekta...
  7. O

    Wakenya kuteseka kupata passport, yet people with questionable integrity kutoka mataifa mengine kupata kwa haraka- are our passport credible?

    A law firm has written to the Director General of Immigration Services, citing Article 35, demanding details on how 28 foreign nationals including Wicknell Chivayo and Sudanese individuals linked to RSF allegedly obtained Kenyan passports. Despite facing international sanctions and integrity...
  8. Krismasi hii wakenya wamejua kuvaa.

    Wakenya mambo yao.
  9. Mdahalo wa BBC kuuliza wakenya wanataka nini, wakina Karua mwishowe wameumbuka

    https://youtu.be/ombHjfUoaiQ
  10. Wakenya mnawaangusha wasanii wenu

    https://www.tiktok.com/@nickibigfish/video/7581171984571108664?is_from_webapp=1&sender_device=pc
  11. Nimeulizwa swali kwanini wakenya wako vizuri kwemye riadha sina jibu

    Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama...
  12. A

    Maoni ya wakenya kuhusiana na taarifa ya CNN

  13. S

    Mbona ni kama Wakenya wameshinda Tanzania akili?

    Kama umewahi kuishi na Wakenya, utagundua wengi wao wana matumizi mazuri ya ubongo. Je, Watanzania tunakwama wapi? Au kwa sababu lugha ya kujifunza ni Kiswahili? Au ni vichwa vyetu tu?
  14. Je, ni kwanini Wakenya wanaonesha Moyo mkubwa wa kuunga mkono mapambano ya kidemokrasia Tanzania, Ila majirani wengine kimya?

    Katika siku za hivi karibuni, mitandao ya kijamii imejaa sauti kutoka kwa Wakenya, hasa vijana, wakionesha mshikamano wa dhati na Watanzania wanaopaza sauti dhidi ya mifumo ya ukandamizaji, ukiukwaji wa haki za binadamu na matumizi mabaya ya madaraka. Hali hii imezua mjadala mpana: kwa nini...
  15. UN imekatalia gaza pekee. Sudan na pengine wapo kimyaaa!!

    Kuna wakati trump aliwa diss sana sana UN, ni namna gani wapo bias na wanafiki Sasa ndio naelewa kwanini This is what we call paid activism, wanafurahia pesa za mafuta hawa🚮🚮
  16. G

    Tanzania tuliwasaidia Waganda kumuangasha Dikteta Idd Amini. Je ni zamu ya Wakenya kuwakomboa kutoka kwa Museveni?

    Historia Huwa inajirudia Baada ya Dikteta Museven na mwanae kuishiwa hoja za kisiasa anataka atengeneze tatizo la nje Ili wanachi waondoe focus kwenye changamoto za utawala wake wa ovyo. LEngo ni kutaka kuwaonyesha wananchi wake kwamba yeye ndo mzalendo Kwa kudai madai ya mfalme ujuha au...
  17. R

    Waziri Mkuu Musalia Mudavadi aonya Wakenya kuvuka mipaka kushiriki siasa za nchi jirani

    Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewataka Wakenya kuepuka kuvuka mipaka ya nchi kwa ajili ya kutafuta haki au kushiriki katika siasa za mataifa jirani, akionya kuwa uhuru wanaoufurahia nyumbani, hususan uhuru wa kujieleza, haupo kila mahali. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa...
  18. PostGE2025 Jumanne Muliro azikataa Video za mauaji kipindi cha maandamano zinaosambaa mtandaoni, adai zimetengenezwa

    Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno...
  19. Wakenya ndio ndugu na marafiki wa kweli wa Tanganyika

    Hapo vip!! Katika nchi za afrika mashariki na Afrika kwa ujumla,sijawahi kuona nchi inayoipenda nyingine kama kenya wanavyoipenda Tanzania na watanzania kwa ujumla. Nadhani hii nature kati ya kenya na Tanzania utaiyona kwa Marekani,uingereza,ujeruma,canada na Israel ila pia hii ya kenya kwa...
  20. Seneta Cherargei aunga mkono utekaji nyara wa wakenya

    https://m.youtube.com/watch?v=Fb0NXm8zczM Katika hotuba yake amesema, mkiwapata wakenya wafinyeni alafu warudishe tuwamalizie
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…