wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kabla haujaweka Picha au Video ya Mtoto asiye wako Mtandaoni, omba Kwanza Ruhusa kwa wazazi wake

    Katika kipindi hiki cha teknolojia ambapo kila mtu anamiliki simu yenye camera na kunampa uwezo wa kupiga picha kitu chochote, wakati unaojisikia, Ni muhimu na vema kujitahidi kuelewa kuwa kuna umuhimu sana wa kuuliza wazazi/ walezi wa mtoto, hasa mtoto mdogo ambaye hawezi hata kusema ndio au...
  2. JamiiForums Tanzania Bi. Titi Awafichua Waalim Wake wa Siasa

    BI. TITI MOHAMED AWAFICHUA WALIOKUWA WAKIMUONGOZA KATIKA HOTUBA ZAKE ZA KUHAMASISHA WANANCHI Makala hiyo hapo chini nimeandika baada ya kusona video fupi ya mahojiano ya Bi. Titi. Haya yaliyomo katika mahojiano haya ya Bi. Titi Mohamed kwangu mimi ni mageni mno kwani sikupata kuyasikia popote...
  3. JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji Mbaroni akidaiwa kubaka mgonjwa wake

    JF SUMMARY Jeshi la Polisi linamshikilia Sabihi Mpando, Mkazi wa Chipuputa kwa tuhuma za kumfanyia Ukatili wa Kingono Mgonjwa mwenye mwenye miaka 17 aliyekuwa akimtibu wakiwa Makaburini. Kaimu Kamanda wa Polisi, Hamis Ramadhani, amesema, Mganga alimlaghai mwathirika na kwenda naye eneo la...
  4. JamiiForums Tanzania Dunia haibagui, wanajeshi pamoja na kutamba wanaongoza kuchapiwa wake zao

    Kila mtu na mnyonge wake! Hakuna watu wa ajabu wanajikutaga kama wanajeshi, kujimwambafy kwingi mara wakiwa bar kujishaua kwingi na vipesa vyao vya kawaida sana. wakipanga mtaani vurugu nyingi sauti za mziki kubwa za fujo hata usiku wa manane, usiombe ndio awe na kijigari kama uniform maana...
  5. JamiiForums Tanzania Ijue dawa ya kuua limbwata tuliyopewa bure na Mungu wetu kwa wema wake

    Hakika hakika Dunia ni watu. Ndugu makomredi na wanafamilia nichukue fursa hii kama mpambanaji na mwanafamilia wa ukweli wa jukwaa hili kusaidiana inapobidi nyakati zote ni muhimu sana sana. Hasa sisi wachatakaji, wazagamuaji, wakali wa msakalanyo, wazee wa kutimba aidha uwe umeoa au hujaoa...
  6. JamiiForums Tanzania Nyie ambao mmeacha kuzagamua wake za watu mmewezaje? Tupeni mbinu ili na sisi tuachane

    Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu? I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior NB: Wake za watu ndio wameharibu hii taasisi ya ndoa kwa kiwango kikubwa maana kila ukimjaribu mke wa mtu imo na wengi hawatuambii kuwa wameolewa.
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanajeshi Mstaafu amshtaki Rais Ruto kwa kutengua Uteuzi wake

    Kapteni Paul Rukaria, amefungua mashtaka dhidi ya Rais #WilliamRuto na Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipinga kutenguliwa Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Biashara la Kenya (KNTC). Rukaria amedai kuwa Rais hakushauriana na Kamati ya Ushauri ya Mashirika ya Serikali kabla...
  8. JamiiForums Tanzania Moyo wa mwanamke pacha wake kuku, wote tiba yao ni vitu

    Hello mambo JF! Muda mchache mambo ni mengi, usisumbuke asili ya tamaa ni vitu kama ilivyo kwa mwanamke na kuku, wote tamaa yao huvutwa na mvuto vitu kama afanyavyo kuku. Hata angeona hatari gani, uchu wake mrushie mchele ndio utajua nguvu ya mchele kwake kuku, vivyo vivyo hivyo mwanamke...
  9. JamiiForums Tanzania Juliana Shonza apokea vyeti kwa kutambua mchango wake katika jumuiya ya wazazi CCM

    MHE. JULIANA SHONZA APOKEA VYETI KWA KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA JUMUIYA YA WAZAZI CCM Mbunge wa Viti Maalumu CCM Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Danieli Shonza amepokea vyeti viwili vya shukurani kwa Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Ndugu Gilbert Kalima. Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Songwe...
  10. JamiiForums Tanzania Jamaa aoa wake 3 wa kizungu, aombwa asifanye kazi yoyote akae nyumbani kwa ajili ya kuwastarehesha kitandani

    Huko nchini Marekani Mwanaume aliyeoa wake watatu amepata umaarufu na kutajwa kuwa mfano wa mwanaume mwenye familia bora iliyoshikamana na wake hao watatu wanaoishi kwa amani na mume wao ambaye siku zote hubaki nyumbani wakati wake zake wanatoka kwenda kufanya kazi. Mkewe wa kwanza alifunguka...
  11. JamiiForums Tanzania Ni vizuri mkawafundisha wake zenu kuhusu kufanya Ngono salama, watu wanaisha ndoani

    Ushauri . Hakikisha unamwambia mkeo kuhusu kufanya Ngono salama , maana kuchapiwa sio swala Tena so suluhisho ni kuhakikisha mkeo unamwambia asiende dry Nipo hapa hosptali ya wilaya nimemsindika Jamaa yangu ili wamuingize katika Mfumo wa Gridi ya Taifa . Jamaa yangu kashanasa tiyari.
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uporwaji wa ardhi unaoendelea katika maeneo Iyumbu, Dodoma

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI MHE.ANGELA MABULA NA WATENDAJI WAKE. KILIO CHA WATANZANIA KWA OFISI ZA ARDHI DODOMA – WATU WANAPORWA HAKI ZAO Tunawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kilio, majozi na damu kwa Wananchi wa Iyumbu – Dodoma juu ya uporwaji wa ardhi unaoendelea katika...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uporwaji wa ardhi unaoendelea katika maeneo Iyumbu, Dodoma

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI MHE.ANGELA MABULA NA WATENDAJI WAKE. KILIO CHA WATANZANIA KWA OFISI ZA ARDHI DODOMA – WATU WANAPORWA HAKI ZAO Tunawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kilio, majozi na damu kwa Wananchi wa Iyumbu – Dodoma juu ya uporwaji wa ardhi unaoendelea katika...
  14. JamiiForums Tanzania Askari Polisi sita wafukuzwa kazi Arusha

    JESHI la Polisi Mkoani Arusha limewafukuza kazi askari wake sita katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya jeshi hilo. Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake jana,bila kuwataja majina ya askari hao, Kamanda wa polisi mkoani...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wachepukaji kuna swali lenu huku

    Wanaume wachepukaji nina swali Hv hamuwez kuchepuka tu bila kuwasema wake zenu au kutaja sir na madhaifu ya wake zenu? Si mkutane tu mfanyane na mpange mipango yenu? Wake zenu wanaingiaje hapo
  16. B

    JamiiForums Tanzania NGO'S na upatikanaji wake wakazi

    USAID, UNICEF, SAVE THE CHILDREN, UNDP, WORLD CHURCH SEVIRCE, IRC, WORLD VISION NAKADHALIKA, haya mashirika huwa yanatoa kazi kila siku mitandaoni, na for the past seven years nimekua nikiapppy kupitia portal zao, lakini sijawahi itwa sio interview ya ana kwa ana hata ile online aptitude test...
  17. JamiiForums Tanzania Hali inatisha aisee! Yule mc comedian,mchungaji na kuna kipindi aliwahi kuwa mwalimu amechapiwa mke wake muhaya

    Jumapili ya leo ni mwendo wa kugawa upendo kwa yoyote anayetaka connection aje pm na namba yake tu nigawe upendo basi tuendelee wakuu yaani hawa viumbe hawa bwana sio poa kabisa yaani bwana nimechoka kabisa Kuna yule Mc comedian,mgogo, na kuna kipindi alikuwa mwalimu wa shule ya sekondari baada...
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda akitaka Chuo cha MJNUAT kilichopo Butiama mkoani Mara kujikita kutoa mafunzo kwenye eneo la kilimo kwa upana wake

    Na WyEST, BUTIAMA - MARA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amekitaka Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo Butiama mkoani Mara kujikita kutoa mafunzo kwenye eneo la kilimo kwa upana wake ambao ndio msingi halisi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

    Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mke wa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu. Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaoongoza wake zenu vyema kwenye misingi ya dini na imani Mungu awabariki sana

    Kichwa cha mke☺☺ WAEFESO 5:23-25 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…