wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Uume kupoteza uthabiti wake wa kusimama

    Ni nadra sana mwanamume kushindwa kusimamisha uume, tatizo kubwa ni muda wa muendelezo wa kusimamisha uume. Hali hii huweza kusababishwa na matatizo ya kisaikolojia (kujihisi mwenye hatia, hofu, huzuni, na wasiwasi, au majukumu yanayo mkabili). Mara nyingi, hali ya uume kupoteza uthabiti wake...
  2. J

    Ushauri: Kila ninachoomba ananipa isipokuwa muda wake, nifanyeje?

    Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu. Hatuishi mbali sana ila kuonana inaweza pita mwezi mzima...
  3. Kuna Timu inapanga kucheza Mechi 2 au 3 za Kirafiki ili Kutuliza Mashabiki wake na Tano Tano za Wanaojua Tanzania

    GENTAMYCINE nina Ombi langu Moja tu kwa hiyo Timu (niliyoisahau Jina kwa sasa) kuwa naomba katika hizo Timu wanazotaka Kuziomba Kucheza nazo Mechi za Kirafiki Kipindi hiki Ligi Kuu ya NBC inasimama Yanga SC nayo iwemo ili nao Wafungwe Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na waanze Kuzizoea kabla ya...
  4. Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Lebahati (35-37) anatuhumiwa kumtorosha mtoto wa kiume wa bosi wake na kwenda kuishi naye kinyumba kwa miezi mitano mfululizo huku akimlawiti. Kijana huyo aliyekuwa anafanya kazi ya kuchunga mifugo kwa bosi wake Simioni Abel huko wilayani Moshi mkoani...
  5. Kuuawa kwa Prigozhin na Imani ya Afrika kwa Putin na Washiriki Wake

    (1) Prigozhin alikuwa rafiki mkubwa wa Putin tokea utotoni mwao huko St Petersberg na kuna wakati Putin alikuwa anatayarishiwa chakula na mgahawa wa Prigozhin tu; na mara zote Prigozhin mwenyewe ndiye aliyekuwa aneanda kutoa huduma hiyo ya chakula kwa Putin. (2) Mwanzoni mwa mwaka 2022, shirika...
  6. Kuna wakati mwingine sisi wanaume huwa tunahitaji ngono ya kimalaya 'rough sex' kwa wake zetu

    Yani unataka upate kitu cha tofauti toka kwa Mke wako. Ile fujo ya kingono isiyo na aibu. Unamletea na ka beer/ wine ili atoe aibu expecting that in bed she is gona give it all, jamani ile mnafika kwa bed unamshika..anajinyongolota as always, Mvivu, mzembe na ma excuses kibao. The rough sex...
  7. M

    Hivi Mungu amemshindwa kabisa shetani? Mbona shetani inasadikika ni kiumbe wake?

    Kumbe inawezakana kabisa Mungu anawaogopa viumbe wake aliowaumba mwenyewe? Tunaambiwa shetani aliumbwa na Mungu Sasa iweje amemshindwa kumuangamiza mpaka watunishiane misuri na mostly shetani huyu anaonekana ana nguvu kumzidi huyu Mungu. Does it come to our ears as true logic kwamba shetani ni...
  8. Tume ya Uchaguzi iwe na mfuko wake na fedha zake

    Katika mkutano wa wadau wa demokrasia nchini ulioandaliwa na TCD. Joseph Selasini amesema Tume ya Uchaguzi iwe na fedha zake, iwe na watu wake na namna yake ya kuajiri badala ya kutegemea fedha kutoka hazina. Aidha amesema suala la uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ufanyike kwa siku...
  9. M

    Serikali ya Tanzania imebariki raia wake kuibiwa kupitia Makampuni ya Michezo ya Kubahatisha

    Makampuni ya michezo ya kubahatisha yameendelea kuongezeka kwa kasi sana nchini Tanzania kuliko nchi nyingine za ukanda wa Afrika Mashariki. Ongezeko hili linachagizwa na ukweli usiopingika kuwa kumiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha ndio njia rahisi zaidi ya kuvuna pesa kutoka kwa watu wa...
  10. Azam sio huzikamia Simba na Yanga no. Ni timu ambayo wachezaji wake wanaweza kufichwa na kupewa hamasa ili wasihongwe na Timu kubwa

    Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!! Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu. Kama kila...
  11. NHIF yazidi kupata hasara, PIC yaonesha kutoridhishwa na utendaji wake

    KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imeonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa ukusanyaji wa mapato na matumizi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) . “Imekuwa ikifahamika kwamba mfuko huu umekuwa ukipata nakisi mwaka hadi mwaka 2019/20 walipata nakisi ya bilioni 49...
  12. 5

    Tundu Lissu amerudi Ubelgiji kwa daktari wake?

    Baada ya kamata kamata ya makosa ya uhaini na uchochezi tunaona Tundu Lissu amekuwa kimya na hasemi chochote., tunaulizana kama labda amerudi kwa daktari wake belgium kupata matibabu maana tumemzoea akichakarishiwa kidogo anapita mlango nyuma kisingizio ni daktari wake amempigia simu arudi...
  13. R

    Wabunge na Mawaziri wasomewa tamko la TEC; hakuna aliyeweza kuzuia wala kuhoji uhalali wake. Waungana na waumini kukaa kimya

    Wabunge na mawaziri pamoja na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wamefika katika makanisa mbalimbali NCHINI leo kushuhudia usomwaji kwa waumini maazimio na tamko ya TEC. Katika hatua hiyo hakuna kiongozi yeyote aliyeripotiwa kupinga badala yake wote wamepiga makofi na kuwaombea maisha...
  14. KUMBUKIZI: Abajalo Vs Sparrow, Van Dame anachukua maamuzi ya kijasiri, Louis Mfede anausimika Ufalme wake, Kally Ongala anaamua Mechi

    Ukiniuliza kule Ulaya ni Mshabiki wa Timu gani basi ni wazi kuwa ntakujibu Mimi ni Mshabiki na Mfuasi wa AC Milan. Ukija Bongo ukiniuliza basi ntakwambia nipo Yanga, lakini pia ni mshabiki lialia wa Tangu na Tangu wa Club Deportivo Abajalo maarufu kama Abajalo Mnyama Mkubwa yenye Maskani yake...
  15. Tuna nini cha kuwafanya DP World na wakala wake?

    Wakuu, Naona Kama watanzania hatuna Cha kuwafanya Hawa DP World na wakala wao kwasababu Sisi ni waoga Tunaogopa kutoa sauti zetu kukemea Mambo yasiyo mazuri kwenye nchi yetu wenyewe. Hatuna ushirikiano Mfano, tumewaachia watu wachache watutetee akina mdude, hatuwezi kuwa wamoja kama nchi...
  16. CCM iko kwenye Autopilot, mwelekeo wake unatuchanganya!

    CCM ndiyo chama chetu kinachotuelekeza kwenye dira ya kisiasa nchini, tukiweka maanani matamanio ya wananchi waliowengi. Hadi sasa ndimi za watu wengi hazijapumzika kuzungumzia suala la Bandari na DP World. Leo nimekutana na rafiki yangu, kada, wa siku nyingi, na amewahi kuwa mbunge wa CCM...
  17. I

    Uungwana ni vitendo - serikali ya Italy yawalipia bill ya chakula wananchi wake huko Albania

    Katika jambo ambalo si la kawaida serikali ya Italy imelazimika kuwalipia bill ya chakula wananchi wake wanne waliokula chakula katika hoteli moja huko Albania na kuondoka bila kulipa. Hii ilitokana na Waziri Mkuu wa Albania kumlalamikia mwenzake wa Italy kuwa wananchi wake walikula bila kulipa...
  18. Inawezekanaje mke kumnyima mume wake unyumba?

    Habarini wandugu, Moja kwa moja kwenye mada yetu. Rafiki yangu mmoja aliniuliza `Hivi King Jody umewahi kunyimwa unyumba na mke wako? Nikamjibu hapana, hata mara moja, nikamwambia nipo kwenye ndoa kwa zaidi ya mika 10 sijawahi nyimwa hata mara moja hata kama tumepishana kauli nikihitaji napewa...
  19. Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

    Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu. Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe...
  20. Director wa RayVanny atuhumiwa ‘kumuiba’ mtoto wake na kutokomea naye, mzazi mwenzake abaki analia

    Mpigapicha na Muongozaji Video (Director) wa Msanii Rayvanny anayefahamika kwa jina la Eric Mzava anatuhumiwa kuiba mtoto wake na kutokomea naye huku akimuacha mzazi wenzake akihaha kumtafuta. Akisimulia stori hiyo, mama wa mtoto ambaye ndiye mzazi mwenza wa Mzava anasema: “Mzava ni mzazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…