wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania DAR: Adaiwa kumuua mlinzi wake Pugu, baba yake naye auliwa

    Huko Pugu, Dar es Salaam, kuna tajiri na mganga wa kienyeji, inasemekana amemuua mlinzi wake kwa tuhuma za wizi. Na tajiri huo na mganga wa kienyeji ,ametokomea kusikojulikana. Na wananchi wenye hasira, wamemuua kwa kumpiga mawe, baba wa muuaji huyo. ======================= Mkazi mmoja wa Pugu...
  2. JamiiForums Tanzania Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani

    Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani, point ya 1. Watu wa Kigoma hawana tofauti na Mayahudi wa Israel, tofauti yao ni kwamba watu wa Kigoma wana ardhi ila mayahudi walikosa ardhi. Kigoma ina watu makini sana...
  3. JamiiForums Tanzania Ucheshi mtakatifu kwenye tasnia ya usafiri wa anga

    Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege. Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao. Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka. Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu. Kuna mtu...
  4. JamiiForums Tanzania Wosia wa Gardner lazima uheshimiwe, wimbo wake wa "Do you want a beer" lazima upigwe msibani

    Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu. Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki. https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-
  5. R

    JamiiForums Tanzania Politics of McCarthyism: Siasa anazozitumia Paul Makoda kuwachafua wenzake, kujipendekeza kwa Rais Samia, na kujipa uhalali mbele ya Watanzania

    Neno hili inatokana na senator wa mmarekani U.S. Sen. Joseph McCarthy aliyejipambanua kuupinga Ukomunist ndani ya USA kwa kutumia mbinu za kuwachafua wenzake kwa kigezo cha kuupinga Ukomunist ambao ilikuwa sumu kwa Wamarekani. Akijua kuwa wamarekani hawapendi Ukomunist, basi alitumia ukomunist...
  6. JamiiForums Tanzania Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

    Haya mje wana Kuna dada amemwaga maji huko Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3. Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa Kijana kumpeleka nyumbani kutambulisha, be-hold baba alietembea nae ndio baba mkwe wake Sasa ananiuliza hapa afanyaje...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu Anayejita Dr Sule ushekhe wake una walakini

    We kama ni mcha Mungu kweli inakuwaje anashinda mitandaoni kusimanga watu kama Harmonize? Kama Anaona amemkosea Mungu iweje yeye ashikie bango kesi ya Mungu na Harmonize kiasi cha kusema wamfanyie ushirikina wa Albadir?? Yeye ana utakatifu gani? Na unaposema akifa hamtamzika, kwani usupomzika...
  8. JamiiForums Tanzania Hofu yazidi kutanda, Iran yaanza kutorosha wakuu wake kutoka Syria

    Tatizo Israel hufanya baadaye mnapata matokeo, hivyo haijulikani watafanya wapi au kivipi, hofu imeanza kutanda kote, Iran imetorosha makamanda wake kutoka Syria, pia viongozi wa Hezbollah wameanza kufichwa....... Iran pulling senior officers out of Syria As part of those preparations, Iran has...
  9. JamiiForums Tanzania Majibu ya Serikali Kuhusu Vitambulisho vya NIDA Vyenye Ukomo na Visivyo na Ukomo

    SERIKALI KUANZA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU VITAMBULISHO VYA NIDA VYENYE UKOMO NA VISIVYO NA UKOMO Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate ameuliza swali lililoelekezwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nilishangaa kusikia Rais wa Marekani hukatwa gharama za chakula na mavazi kwenye mshahara wake

    Sikuawahi kulijua hili. Kuna ndugu yangu anaishi USA 🇺🇸 kaniambia Rais wa nchi hiyo hahudumiwi bure labda ulinzi na usafiri na mambo mengine machache. Chakula na mavazi Rais hujinunulia kwa mshahara wake au kuchukua kwa bili na mwisho wa mwezi hukatwa na muuzaji pia hukatwa kodi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dr Samia atamaliza Muda wake, Zahanati na Shule Hata Diwani anaweza kujenga, Tumuombee Aache Legasi ya uhakika 2030 sio Mbali.

    Watumishi wa Mungu tunaendelea kumwombe Dr Samia Suluhu Hassan ili Mwenyezi Mungu amjalie neema ya kuyafahamu haya na ampe nguvu na ujasiri wa kuyatekeleza kwa Uwezo wa Allah. 2030 sio mbali Dr Samia kwa vyovyotw vile hatakuwa tena Rais wa Tanzania baada ya hapo. Je tutamkumbuka kwa lipi...
  12. JamiiForums Tanzania Kisa cha Mwalimu Genta na mwanafunzi wake aitwaye Lamomy

    Mwalimu GENTAMYCINE: Lamomy Kwanini umechelewa kuja shule? Lamomy: Kwasababu ya maelekezo ya kibao barabarani. Mwalimu Genta: Maelekezo ya kibao yanahusianaje na uchelewaji? Lamomy: Kibao kimeandikwa "School Ahead, Go Slow!" kwahiyo nikaona nisivunje sheria.
  13. JamiiForums Tanzania SIRI Imefichuka Gentamycin Kayatimba kwa Mpenzi wake Baada ya Kwenda Uganda na Kumbe ni Konda kwenye Magali ya Modern Coast

    Haya ni mawasiliano ya GENTAMYCINE na Mpenzi wake natasha B Mwenzetu kayatimba na Rasmi sasa kaachika na Tunajua kumbe alienda Uganda kwa hisani kwenda kufanya kazi kwenye Kampuni ya Magali ya Modern Coast..
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka. Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    11 April 2024 Dar es Salaam, Tanzania (Google translator) Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta Member of Parliament for Rufiji constituency Hon. Mohamed Mchengerwa hand over Tshs 50,000,000 (over...
  16. JamiiForums Tanzania Kila mtu ni mtumwa wa utamaduni wake

    Kama umezaliwa kijijini kwenu, ukakulia kijijini kwenu, ukasomea kijijini kwenu, na shughuli zako zote ukazifanyia kijijini kwenu, ni rahisi kuamini kuwa mila na desturi zenu ndizo bora kuliko zingine zote. Lakini wakati huo huo, kwa watu wa tamaduni zingine, wanaweza wakawa wanawashangaa jinsi...
  17. JamiiForums Tanzania Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi waliwambia Israel kuwa Hamna tena Hamas Gaza angalia Video Hamas wanachofanya

    Wanaukumbi. ⚡️Hamas wamebadili namna ya kupigana vita sasa hivi wanapigana vita vya kuvizia vimejipanga vyema kiasi kwamba walitega kamera kwenye maeneo ya kuua wanajeshi wa IDF na kujua ni wapi askari wanakwenda kutembea na mizinga itaingia wapi na ni jengo gani kwa askari watakimbilia...
  18. JamiiForums Tanzania Je, kwa kisa hiki kijana alipaswa kumwambia mchumba wake kabla ya kumuoa kuwa ana mahusiano mengine?

    Hiki ni kisa cha kweli kimetokea mtaa jirani, je mwanaume alikuwa sahihi kutoa talaka? Iko hivi baada ya kijana kuhangaika kutafuta maisha kijijini aliamua kuzama mjini kusayasaka maisha hata hivyo haikuwa rahisi ikabidi azame kwa Jimama mwenye pesa. Aliishi na huyu Jimama zaidi ya miaka 10...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanandoa hapaswi kuishi mbali na mwenza wake

    Hii inawahusu wale ambao mume anaishi mkoa tofauti na mkewe kwa sababu za kikazi. Sio vyema kuishi namna hiyo. Ikiwa hamuishi pamoja kama wanandoa, mtakuwa na uaminifu kwa ndoa yenu kwa muda mfupi tu, baada ya hapo mambo yataanza kubadilika. Mwili utakusukuma kwenye ukuta, utaanza kutaniana na...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

    1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema. 2. Madege:- Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…