Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,707
- 4,578
We kama ni mcha Mungu kweli inakuwaje anashinda mitandaoni kusimanga watu kama Harmonize? Kama Anaona amemkosea Mungu iweje yeye ashikie bango kesi ya Mungu na Harmonize kiasi cha kusema wamfanyie ushirikina wa Albadir?? Yeye ana utakatifu gani? Na unaposema akifa hamtamzika, kwani usupomzika wewe unampunguzia nini ? Na hao mliowazika kwa dua nyingi mna uhakika wameenda peponi? Na kama wewe ni mtu wa Mungu unaonaje kumlingania imani kwa hekima? Hivi ndio mnafanya waislam waonekane wachawi na washirikina, hebu ishi Maisha yako achana na dogo, By the way, unaweza kutuambia hiyo Jinsia ya Mungu kama ni ipi?? Acha hizo