wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

    Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu. Tunaenda kwa maandiko hakuna...
  2. JamiiForums Tanzania Ukirudi kiimani mchungaji aliyemuua mke wake baada ya kugundua ni transgender anahesabika kama ametenda dhambi

    Kuna stori inatrend ya mchungaji kumuua mke wake baada ya ndoa na kugundua ni transgender mwamba akuchelewesha kufanya maamuzi magumu je kiimani mchungaji atapata baraka ama dhambi kwa kitendo Cha kuua mwanaume aliyejibadili kuwa Mwanamke
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar anatangaza kujiuzulu wadhifa wake

    Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar anatangaza kwamba atajiuzulu kutoka wadhifa wake mnamo Juni 15, akitaja jukumu la kibinafsi kwa shirika hilo kushindwa kuzuia shambulio la Oktoba 7 la Hamas. Ikizungumza katika hafla ya ukumbusho wa wafanyikazi waliokufa wa Shin Bet, Bar inasema kwamba baada ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ohoo! CCM waanza kumkana Samia juu ya ubabe wake kwa Chadema.

  5. JamiiForums Tanzania Ngawira ambazo ziliporwa hizo zinabaki kuwa za Allah na Mtume wake. Muhamad aliwajibu waliokuwa wakitaka zigawanywe

    Baada ya kuwa Muhamad na watu wake kupora mali. Walikuwa wanakaa kumuuliza sasa mgawanyo wake unakuaje kila mtu afe na chake. Hapo Muhamad alikuwa anapata wahyi haraka haraka na kuwajibu kuwa hizo wao haziwahusu. Ni za Allah na Mtume tu. Mstari unaohusiana na hilo katika Qur'an. Unapatikana...
  6. JamiiForums Tanzania Rasmi Klabu Ya National Al Ahly Imefuta Kazi Kocha Wake Marcel Kohler

  7. JamiiForums Tanzania Kuna design wife kama anafanya mambo ya hovyo hivi au na wake zenu pia wapo hivo

    .
  8. JamiiForums Tanzania R 4 za Samia na ufafanuzi wake mfupi

    Kila siku tunaambwa R nne za rais. Kwanza, sijui kama anazijua vilivyo hata wale waliomzunguka. Pili, sioni zikifanyiwa kazi. Tatu, sioni zikitafsiriwa kupitia elimu ya urais kwa umma. Nne, ni kamba za kawaida za kisiasa aka usanii. Nazo, waweza kuziona hivi japo hawasemi. Reform kwao ni...
  9. JamiiForums Tanzania Nikimuangalia Lissu na Maria Sarungi namuona Kibwetere alivyowaangamiza wafu wake kwa kukosa maarifa

    Askofu kibwetere alikuwa na wafuasi wake waliokosa maarifa na kumtegemea yeye kwa kila asemalo bila kupima madhara yake mwisho wa siku akawafungia kanisani na kuwachoma moto wakaangamia kwa kukosa maarifa yeye akatokomea kusiko julikana. Hivi sasa hilo jambo naliona kwa wafuasi wa chadema...
  10. JamiiForums Tanzania Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), liko wapi? Mbona haki za wananchi wake zinakandamizwa na polisi?

    Wakuu, Moja ya Kazi yake sio kulinda Katiba ya nchi? Kwanini katiba ya nchi inasiginwa mchana kweupe na wao wapo wanaangalia bila hata kuchukua hatua yoyote? Ni kweli wameamua kuacha polisi kuonea wananchi? Hili si Jeshi la Wananchi? Na wananchi si ndio sisi? Au tafsiri ya wananchi ni...
  11. JamiiForums Tanzania Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?.

    Wanabodi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October, from time to time nitakuwa nafanya makala fupi za uelimishaji umma elimu kwa kujitolea kusaidia kuelimisha umma umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura siku ya kupiga kura. Somo la kwanza ni kuijua thamani ya kura yako. Kitu...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya Gambo kuanza kuishambulia ofisi ya Rais TAMISEMI, rasmi natangaza mazishi ya ubunge wake wa jimbo la Arusha

    Mrisho Gambo ni mwanasiasa ambaye anaishi kwa fitna na majungu. Ili adumu katika siasa lazima amuumize mtu na kumfanya aonekane mbaya. Sasa ameyakanyaga. Baada ya jaribio lake la kumchafua Makonda kuonekana kukwama, jana ameonekana kuihusisha ofisi ya Rais Tamisemi, kule anakosimamia Mwenyekiti...
  13. JamiiForums Tanzania Hawa watu wabadilishane wake zao

    Bila salama wakuu, Nimeona hizi post mbili zimeongozana kwenye screen nikashtuka na nikaona isiwe shida hawa ndugu wabadilishane wapenzi. Na wengine wenye kesi kama hii mnaweza kuexchange tu sio kosa kisheria mkutane hapa kuyajenga Nusratt holoholo
  14. JamiiForums Tanzania Tunakoelekea kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake

    Yes, huu utaratibu wa jeshi la polisi kutofuata taratibu za ukamataji na kwamba wao wako juu ya katiba na sheria za nchi utaisha kwa mwisho mbaya sana. Naona watu badala ya kuogopa na kuwa wapole kama zamani , wanazidi kuchangamka sana na kuwa na confidence dhidi ya uonevu , kimsingi...
  15. JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu ichukuliwe kwa uzito wake, akitiwa hatiani kwa makosa ya uhaini itakuwa mwisho wake kisiasa.

    Kesi ya Tundu Lissu inaweza kuwa ni mwisho wake kisiasa, kwanza kesi yenyewe inaweza kuendeshwa kwa muda mrefu sana akashindwa kabisa kushiriki siasa tena. Mwisho wa kesi anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa kisha akaachwa akae gerezani kwa miaka kadhaa na baadaye...
  16. JamiiForums Tanzania Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake amemchorea ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!.

    Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake ameshamchorea Ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!. Kumbuka Jay Z katoka familia za kimasikini Sana , aliwahi hadi kuuza drugs , n.k Alichokifanya ni kuamua kuukataa umasikini kwa kuhakikisha...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Ukomunisti ya China imewakanyagia chini sana raia wake, wanaogopa nini?

    Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso. 1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja. 2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii. 3. Ni mojawapo ya...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Lissu Hana Familia Nchini na Watoto Wake Wana Uraia wa Marekani.Ndio Sababu Hana Uchungu na Tanzania hata kukitokea Machafuko na kuchinjana.

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwakumbusheni na kuwataarifuni ya kuwa mnapoona Lissu anatoa lugha za uchochezi,ubaguzi na kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini . Ni kwa sababu hana uchungu na Taifa hili, hana cha kupoteza katika Maisha yake hapa Nchini. Hana Damu inayoweza kumuuma...
  19. JamiiForums Tanzania Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca

    Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca. Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana . Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana . Na itakuongezea heshima 35 Yrs Jux 23 Yrs Prisca.
  20. JamiiForums Tanzania Mtu anawezaje Kulea watoto 15, wake 5 na ukoo bado unakutegemea

    Mwamba kazidi hata Idadi iliyowekwa kwa Wavaa kobazi (4). Watoto wanaojulikana kama wote (15) bado wasiojulikana na ndugu wa Mchongo wanaohitaji Msaada kwako. Hapo kwa Mshahara upi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…