Atembea na wake za watu ishirini na sita (26)

Atembea na wake za watu ishirini na sita (26)

Hakika nimeshangazwa sana na kijana mmoja wa mtaani kwangu (jina kapuni) ambaye ametembea na wake za watu ishirini na sita (26).

Anasema kati ya hao 26, wengi ni waliomzidi umri. Na baadhi ni wake (wives) wa marafiki zake, wengine wamemzidi hali ya kiuchumi.

Kesho Ijumaa saa kumi kamili (16:00 hrs) jioni nitakuja na Uzi ambao utaelezea mambo yafuatayo
1. Sababu za huyu kijana kutembea na wake za watu 26 ambao mpaka sasa hao wake za watu wapo kwenye ndoa zao.
2. Mbinu alizokuwa anatumia kuwarubuni wake za watu.
3. Sababu zilizowafanya wake za watu kumpenda/kumkubali kijana huyo.

NB: Sitoweza kutaja jina, majina, wala sehemu wanazoishi wahusika.

Ni wale vijana wa hovyo ambao hata reforms tu hazina maana yoyote kwao.
 
Back
Top Bottom