the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
■India
■Thailand
■China
■Vatican
■Saudi Arabia
■Jamii zilizomo msitu wa Amazon
Hizi ni sehemu ambazo ukienda lazima ukute utofauti mkubwa wa imani yako na utaishia kuwaita waabudu masanamu na mashetani ila pia na wewe wataishia kukucheka kwa namna hio.
Kabla ya muarabu na Mzungu kuja...
Naomba niwakumbushe wafuasi wake kwamba wasifurahie mambo yaliyowasilishwa mbele ya hadhara kwa ajili ya mtuhumiwa, watesi wake bado wanamuwazia mabaya; kumbukeni ana risasi anatembea nayo, hii ilisababishwa na shambulio lililofanywa usiku kweusi kwenye makazi ya wachawi ambayo usiku kucha...
Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti.
Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa.
Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa...
hivi anatuanaje kwanza?
Hivi, inawezekanaje kuukana ukweli wa wazi kabisa kama huu, na ulioleta taharuki, uharibifu, maumivu na usumbufu kwa waTanzania zaidi ya milioni 70?
Halafu eti ng'we ng'wee ng'wee uachwe tu? who are you among others?
You beter watch your back, sheria na katiba ya nchi...
Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi kwamba angeweza kuamua mustakabali wake bila kuwashirikisha Watanganyika wenyewe.
Tanganyika ilikuwa...
Harakati za kujiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa 2027 zimechukua mwelekeo mpya baada ya Linda Mwananchi kumtaja Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuwa mgombea wake wa urais.
Uamuzi huo ulifikiwa Jumamosi, Septemba 26, wakati viongozi wa harakati hiyo walipokutana katika kikao cha uongozi na kusema...
Nimejikuta nawaza kama mzazi umezaa mtoto umemlea kwa kadiri ya Mungu alivyokujalia, mara mtoto anakuwa anajiingiza kwenye maisha ya utapeli na kulikana jina la ukoo wako wewe kama Baba mzazi utajisikiaje?
Wapo watoto wa ukoo wenye jina lao la Nyerere na hawashoboki nalo mfano mtoto wa kike wa...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza Mbowe kwa sasa yuko wapi baada ya kuporwa chama na mnyampaa? Nadhani ni swali la watu wengi pia. Nimeshangaa kugundua jabali la siasa za upinzani nchini anatumia muda wake mwingi Machame. Yaani hajihusishi kabisa na siasa kwa sasa. Watu wangu kadhaa walio...
Tunapo kemea na kutaka sheria na haki kufatwa linaonekana jambo la wapinzani na si la wangine.
Mambo yanayotengenezwa na kuwa na baraka kama utekaji,ufisadi,uchawa,unyamazishaji,ubabe,kejeli na n.k ndio yalifanywa south afrika ili watawala wabaki kwa njia yoyote japo walitoka.
Historia ya...
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, CCM iliketi chini na kujitathimini, kujisahihisha, kujirekebisha na kuweka mikakati ya kufanya vizuri zaidi kuelekea 2030, utamaduni ambao umekua na manufaa makubwa sana kwa chama hicho tawala Tanzania.
Tayari CCM imeanza kujipanga na kujiweka mguu sawa mapema...
Wakuu leo ni jumapili,
Nimepumzika zangu, nikawa nacheki video za zamani za wasanii wa mbele.
Ghafla ikaja video ya Liberian Girl ya Michael Jackson.
Ni video flani hivi haichoshi kuitazama namna ilivyopangiliwa matukio yake.
Ni video ambayo leo imenikumbusha kitu ambacho sikuwahi...
Jukwaa la JamiiForums limekuwa mhimili wa fikra huru, na leo nataka niwashirikishe mtazamo wangu wa kisheria kuhusu mmoja ya migogoro mikubwa ya kibiashara na kimamlaka nchini kwa sasa. Kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara Sandaland dhidi ya Waziri Paul Makonda si kesi ya jinai ya kawaida, bali...
Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me.
One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day.
Single...
baba
binti
kijana
kumuweka
kuoa single mother
malezi ya single mother
mke
mke wangu
mtoto
mtoto wake
pongezi kwa single mothers
single
single mother
single mothers
wake
wangu
watoto
Na maskini ya Mungu,
na wafuasi wake hao pasipokujua ni hadaa na drama, wanakubali kubebwa ufala wa kifikra kisheria, na kujikuta wanaamini porojo na kamba za kisheria kwamba baada ya hapa itakua hivi au vile, fulani hana hatia na blaablaa nyingine useless, na matokeo yake mwisho wa siku...
Sr. Dkt. Sarah Kahumbya Deogratius, Mkurugenzi wa Hospitali ya Kardinali Rugambwa nchini Tanzania, ametajwa kuwa mpokeaji wa Tuzo ya Else Kröner Fresenius ya Ushirikiano wa Maendeleo katika Tiba kwa kutambua kazi yake ya kuimarisha utambuzi wa kifafa na utunzaji wa watoto wenye ulemavu.
Tuzo...