wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mahari ya Fahyma Yaongezeka, Mashabiki Wake Wamjia Juu kwa Kumchana Makavu

    Fahyma au Fahyvanny ni mwanamitindo na sosholaiti maarufu nchini Tanzania ambaye kwa mara nyingine ameibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudai kwamba uzuri wake umeongezeka maradufu hivyo mahari imeongezeka kwa mwanaume yeyote mwenye mpango wa kumchumbia. Fahyvanny ambaye wengi...
  2. JamiiForums Tanzania Je, uamuzi wa kuwafukuza wahindi Uganda ulikuwa ni mbaya, au utekelezaji wake ndio ulikuwa mbaya?

    Iddi Amin Dada ukimsikiliza kwenye kile kikao alichofannya na waandishi wa habari ili kutangaza lengo lake la kufukuza wahindi wote mchini Uganda, utaona kabisa kwamba lengo lake lilikuwa kurudisha uchumi wa Uganda mikononi mwa waganda wenyewe. Pia aliamini kwamba uhuru wa mwaka 1963 haukuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu mwalimu amemsujudu huyu kijana kuliko anavyomsujudu Mungu wake

    Huyu dogo badae utasikia anapewa Ukuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa, au Kamanda wa Polisi kisha IGP, unajua hii nchi ina us****** mwingi sana sijui tutakomeshaje haya mambo. Huyu Mwl nina uhakika hata Mungu hamsujudiii hivi kama alivyosujudu hapa INATIA HASIRA SANA
  4. JamiiForums Tanzania Licha ya Yanga sc kupata mafanikio ndani ya nchi msimu huu ila ndiyo club inayoongoza kwa mashabiki wake kutokuwa na furaha

    Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu. 1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league wanaanzia kwenye mchujo. 2: Mayele katetema mwaka mzima ila kaambulia ng’ombe hii inauma sana. 3...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, Rais alishauriwa au kuuliza watangulizi wake nia yakuchunguza mienendo ya vyombo vya usalama?

    Samahani kwa wale huenda mtaendeshwa na hisia za kichama na ushabiki pasipo kuwa na uwelewa wa miundo ya vyombo vya ulinzi na mienendo yake. Kwanza nianze kwa kusema vyombo vya ulinzi na usalama ndio dola na dola ndio nguvu ya walio shika serikali. Kwa uzowefu wangu na uwelewa wangu na hata...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga: Haji Manara hajatendewa haki, tunamuunga mkono kudai haki vyombo vya juu zaidi

    Yanga: Tunamuunga mkono manara kudai haki vyombo vya juu zaidi Klabu ya Yanga imesema kuwa adhabu ya Ofisa Habari wao, Haji Manara kufungiwa miaka miwili kujihusisha na soka na faini ya Tsh. Milioni 20 siyo ya haki na adhabu ni kubwa. Yanga wametoa tamko na kueleza kuwa inamuunga mkono Manara...
  7. JamiiForums Tanzania Kim Jong-un wa North Korea atiwa wasiwasi na maputo yaanayorushwa na mahasimu wake

    Wapinzani wa mtawala wa North Korea ambao wengi wao wako korea ya Kusini wamekuwa wakipeleka misaada jamaa zao walioko Korea ya Kiduku kwa kutumia maputo maalum yaliyojajwa hewa ya helium. Misaada amabayo imekuwa ikipelekwa kwa njia hiyo ni pamoja na madawa, barakoa na tembe za Vitamin c...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaharakati Nchini Ivory Coast walaani Mswada wa Kuruhusu Wanaume kuoa wake wengi

    Wanaharakati wa Haki za Wanawake wamesema Mswada unaopendekezwa wa kuhalalisha na kurejesha tena ndoa ya wake wengi kwa Wanaume, ni kurudisha nyuma jitihada za vita vya usawa wa kijinsia Nchini humo. Ndoa za wake wengi zilipigwa marufuku nchini humo mnamo 1964 huku Tume ya Umoja wa Mataifa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mfalme Faisal II wa Iraq aliuliwa 1958 na wanajeshi wake katika mapinduzi

    Ilikua mwaka 1958 Mfalme Hussein wa Jordan aliomba msaada wa kijeshi kutoka Iraq ili kukabiliana na mgogoro wa Lebanon. Mkuu wa majeshi wa Iraq, Colonel Abd al-Karim Qasim aliandaa jeshi. Cha kushangaza alilielekeza jeshi kuingia Ikulu ya Mfalme mjini Baghdad. Mfalme Faisal aliamuru askari...
  10. JamiiForums Tanzania Google yatuhumiwa kuuza taarifa za watumiaji wake kama mitazamo yao ya kisiasa na jinsi wanazopenda

    Google na kampuni nyingine za teknolojia zimeshutumiwa kukiuka kanuni za ulinzi wa taarifa za Ulaya(GDPR) ambapo wanatoa taarifa za watumiaji kwa mamia ya watangazaji. Wadai wamefungua madai hayo kwa mamlaka za Uingereza na Ireland kwa niaba ya Brave na Open Rights Group. Brave inadai...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa huwa wanajua wazi kabisa wake zao wanapigwa nje ila wanajikausha

    Wanawake ni watu wa kutongozwa na wao pia huwa wanatongoza. Wanaume kibao tu huwa wanajua wanapigiwa wake zao lakini inabidi wakae kimya. Maisha ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu yanachangamoto.
  12. JamiiForums Tanzania Yaliyomfika Rais Ali Hassan Mwinyi katika utawala wake 1985 - 1995

    Kwa hakika kipindi cha utawala wa Mwinyi hakupungukiwa na watu waliokuwa wanaona raha kumshambulia. Ilisikitisha kuwa kulikuwa na magazeti yalimpa nafasi Reverend Mtikila kumshambulia Rais. Kuna baadhi ya vijana wa wakati ule waliona wana wajibu na dhima kubwa ya kumtetea Rais pale...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa mitandao ya mawasiliano Tanzania kwa watumiaji wake (kukosa haki ya umiliki wa kile ulichonunua)

    Utangulizi Moja kati ya nyanja zinazo ongoza kwa kunyonyaji wateja wake (watumiaji) katika nchi yetu pendwa ya  Tanzania. Basi huwezi acha zungumzia makampuni ya simu za mawasiliano ya hapa kwetu Tz Zifuatazo ni kelo tunazo kutana nazo watumiaji wa mitandao hii hapa tanzania. 1. Kukosa haki...
  14. JamiiForums Tanzania Sudan yafungua Mpaka wake na Ethiopia

    Sudan imefungua tena mpaka wake muhimu na Ethiopia wa Gallabat ambao ulifungwa Juni 27, baada ya kuishutumu Ethiopia kwa kuwanyonga wanajeshi wake saba. Taarifa ya kamati ya kiufundi ya Baraza la Ulinzi na Usalama la Sudan imesema uamuzi huo umechukuliwa baada ya viongozi wa Sudan na Ethiopia...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi amfukuza Mkandarasi, asitisha Mkataba wake

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameifukuza Kampuni ya Ujenzi ya Associated Investment Service Ltd ya Dar es Salaam kufanya kazi Zanzibar kwa kile alichodai haina uwezo. Pia, alisitisha mkataba wa mkandarasi huyo wa ujenzi wa Shule ya Mtopepo katika Shehia ya Monduli Wilaya ya Magharibi A...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hungary inanuniwa huko ulaya: Kisa inauza mafuta na gesi kwa raia wake kwa bei ndogo, akija raia wa nchi nyingine anauziwa kwa bei kubwa!

    Hungary ni nchi ya ulaya ambayo ilikubali mapema kabisa kulipia gesi ya urusi kwa ruble, na ni nchi pekee kwenye umoja wa ulaya iliyokataa kuiwekea vikwazo binafsi urusi na pia ilikataa kuisaidia ukraine silaha. Halafu hungary pia hairuhusu nchi nyingine kupitishia silaha nchini mwake...
  17. JamiiForums Tanzania Januari Makamba awajibu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele “Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Wahandisi ERB waendelea kukwama kisa bodi iliyopo imemaliza muda wake. Rais tunaomba uteue Mwenyekiti mpya wa Bodi

    Wakuu poleni na majukumu. Kuna ndugu yangu ameomba kufanya Usajili wa kuwa mhandisi. Amewasilisha report zake katika bodi ya maengineer yaani ERB. Kila akiulizia Usajili umefikia wapi, anaambiwa bodi ya ERB iliyopo imemaliza muda wake. Ombi kwa RAIS, tunaomba uteue mwenyekiti mpya wa bodi, na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana!! Kumbe Makamanda wake walikuwa kwenye kikao na wauzaji wa vifaa vya kijeshi, makombora ya Urusi yakawaangamiza!

    Russia comments on deadly strike on Ukrainian city Moscow said it targeted a meeting of Kiev's military commanders with foreign arms suppliers in central Vinnitsa. Russia attacked the House of Military Officers in Vinnitsa with sea-launched Kalibr cruise missiles, the Defense Ministry said on...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuijua kesho ya Watanzania wasikilize viongozi wake, unaweza kulia

    Hii ndio Tanzania unayo ijuwa Hayati baba wa Taifa huko kaburini ana wish afufuke aje awachape viboko. Taifa alilo lijenga na kuweka misingi yake limetumbukia zama mpya zama zinatisha kuliko zama za ukoloni. Mwalimu ktk moja ya hotuba zake kuna wakati alilisema hili nadhani watu wachache sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…