wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Beijing 1998 umetuharibia wake zetu

    WanaJamvi muhali gani...! Kumekuwa na matukio mbalimbali ya kuhusu mgongano wa jinsi baina ya ME na KE na changamoto kubwa baina yao ni KE kutaka kuonekana. Mwaka 1998 kulifanyika mkutano mkubwa wa akina mama huko CHINA BEIJING na kauli mbiu kuu ni "Haki sawa maisha ni 50/50 hahhahahha na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kihasibu mwanamke anaelenga mali hawezi kufurahia mume kuugua asubiri afe. gharama za matibabu, jamii na ndugu vinaweza humfanya awahi kuomba talaka

    Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi: “Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.” Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

    Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba. Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi. Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
  4. JamiiForums Tanzania Mwamposa: Nilimkatalia Chivayo asihudhurie kwenye mkesha wangu

    "Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa. Walipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji...
  5. JamiiForums Tanzania Msiogope, ni wanandoa au wapenzi wachache sana huwa wanauana

    Tanzania mauaji kati ya wanandoa, wapenzi au ndugu wa karibu kwa mwaka ni kama watu 300 tu nchi nzima, hiyo ni sawa na wastani watu 10 tu kwa mkoa mmoja kwa mwaka mzima. Ukiangalia takwimu hili ni jambo ambalo hata halipaswi kusumbua kichwa na kusababisha vijana na watu wazima kuandika nyaraka...
  6. JamiiForums Tanzania Mchumba wake ni Mngoni, lakini Mama Mkwe mtarajiwa ni Mchaga wa damu. Je, aingie mzima mzima au apige gia ya nyuma?

    Wakuu wa jukwaa hili, natumai mko salama. Kuna jambo zito la kiutamaduni na kifamilia limenileta mezani leo kutoka kwa rafiki myangu wa karibu sana wa kiume. Kijana yuko hatua za mwisho za kwenda kutoa mahari na kuoa, lakini amegundua mchanganyiko fulani kwenye familia ya binti unaomnyima...
  7. JamiiForums Tanzania Formula 1 GP: Max Verstappen leo Kashinda Bahrain GP. Ni ushindi wake wa Kwanza kwa msimu wa 2026.

    Leo imekuja siku ya furaha kwa Max Verstappen baada ya kushinda (P1) Bahrain GP uko Malaysia. Ikumbukwe, mara ya mwisho mwamba kushika P1 ni Abu Dhabi GP, December 2025. Nafasi ya pili ni Kimi na ya tatu Hamilton. Mvua imezingua sana mwanzoni na ilipelekea Russell kua DNF baada ya gari...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya wanawake ndio huongoza kupush ndoa zivunjike ili mgawane mali

    1. Waliozungukwa na marafiki wengi ambaondoa zao zimevunjika au hawajaolewa, aina ya wale wanawake wa mjini ambao wapo huru sana na kupenda maisha ya starehe 2. Kama mkeo ni muumini wa makanisa ya kilokole na wachungaji wake ndio hawa wachumia tumbo na wacheza mazingaombwe, ishi nae kwa akili...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuna kila dalili serikali inahusika na watu kupotea, kutokana na kauli za viongozi wake

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali. Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga...
  10. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi halina taarifa ya kifo cha Mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mke wake waliofariki kwenye ajali ya Helikopta Jana!

    Habari picha hizi hapa! Gazette la Mwananchi wao hawana habari hizi!
  11. JamiiForums Tanzania Sheikh : Wake wa Muhamad,Hafsa et al walikuwa Makafir, na Omar Swahaba wake alikuwa Hanith na anaingiliwa kinyume na Maumbile

    Haya si maneno yangu. Ni maneno ya Sheikh Maulid. Naomba tuweze jifunza kitu kutoka kwa Wataalamu wa Dini
  12. JamiiForums Tanzania Ni very fascinating hapa duniani kila jamii ina idea ya Mungu wake na kila jamii hio ndio inasema Mungu wake ndie sahihi

    ■India ■Thailand ■China ■Vatican ■Saudi Arabia ■Jamii zilizomo msitu wa Amazon Hizi ni sehemu ambazo ukienda lazima ukute utofauti mkubwa wa imani yako na utaishia kuwaita waabudu masanamu na mashetani ila pia na wewe wataishia kukucheka kwa namna hio. Kabla ya muarabu na Mzungu kuja...
  13. JamiiForums Tanzania WATESI WAKE HAWALALI;MSIFURAHI

    Naomba niwakumbushe wafuasi wake kwamba wasifurahie mambo yaliyowasilishwa mbele ya hadhara kwa ajili ya mtuhumiwa,watesi wake Bado wanamuwazia mabaya; kumbukukeni ana risasi anatembea nayo,hii ilisababishwa na shambulio lililofanywa usiku kweusi kwenye makazi ya wachawi ambayo usiku kucha...
  14. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa member wa Sauti Sol, Willis Chimano, amtambulisha Boyfriend wake!

    Dunia inaenda kasi sana!
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo vinavyotuuma wanaume kuchapiwa wake zetu nje ya ndoa.

    Wakuu, kuchapiwa sikia tu kwa wenzio yasikukute. Hizi ndio gharama umemgharamia mkeo alafu muhuni anaenda kuichapa bureeeee. ~ mahari umelipa ~ simu, vocha, wanayowasiliana umenunua wewe. ~ Nguo anazovaa wanapokutana umenunua wewe. ~ Chupi anayoenda kuvuliwa umenunua wewe. ~ perfume, viatu...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti

    Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti. Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa. Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa...
  17. JamiiForums Tanzania Eti kuna mtuhumiwa anajaribu kuukana ukweli huu ambao ni wake mwenyewe

    hivi anatuanaje kwanza? Hivi, inawezekanaje kuukana ukweli wa wazi kabisa kama huu, na ulioleta taharuki, uharibifu, maumivu na usumbufu kwa waTanzania zaidi ya milioni 70? Halafu eti ng'we ng'wee ng'wee uachwe tu? who are you among others? You beter watch your back, sheria na katiba ya nchi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania TBT: Karume alimwambia Nyerere yupo Tayari kuwa nchi moja na Tanganyika, Nyerere alikataa !! Nyerere ndie katufikisha hapa tulipo

    Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi kwamba angeweza kuamua mustakabali wake bila kuwashirikisha Watanganyika wenyewe. Tanganyika ilikuwa...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Linda Mwananchi yamtaja Sifuna kuwa Mgombea wake wa Urais 2027

    Harakati za kujiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa 2027 zimechukua mwelekeo mpya baada ya Linda Mwananchi kumtaja Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuwa mgombea wake wa urais. Uamuzi huo ulifikiwa Jumamosi, Septemba 26, wakati viongozi wa harakati hiyo walipokutana katika kikao cha uongozi na kusema...
  20. JamiiForums Tanzania Kuuliza si Ujinga, hivi huyu Yericko anayedandia ubini wa Nyerere wazazi wake na ndugu zake wanajisikiaje?

    Nimejikuta nawaza kama mzazi umezaa mtoto umemlea kwa kadiri ya Mungu alivyokujalia, mara mtoto anakuwa anajiingiza kwenye maisha ya utapeli na kulikana jina la ukoo wako wewe kama Baba mzazi utajisikiaje? Wapo watoto wa ukoo wenye jina lao la Nyerere na hawashoboki nalo mfano mtoto wa kike wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…