wake za watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tabia ya kulala na wake za watu na athari zake

    Kwanza nianze na salamu. N.k.j.j.m.w. Hii tabia ni mbaya Sana. Wanaume wetu wanateseka Sana wanapojua wamechapiwa. Wengine huamua kuchukua hatua mbalimbali zikiwemo za kichawi. Kumtoa MTU busha nk
  2. Kutongoza wake za watu

    Ndugu zangu ama vijana wenzangu kuna hili suala la kutongoza mke wa mtu ambaye hujui wametoka wapi na mmewe nataka niwape kisa cha mshikaji ambaye alikatwa kisigino maeneo ya Kibaha pale Kwa matiasi kijiji cha Msangani pale pale center. Kama ilivyo kwenye kijiji mtu akija akiwa mgeni lazima...
  3. Rukwa: Waganga 170 wakamatwa, wengine walikuwa wakifanya mapenzi na wake za watu

    Watuhumiwa hao wanadaiwa kuwalaghai wananchi kuwa wana uwezo wa kuwatambua na kuwaadhibu wachawi, kusafisha nyota na kufufua wafu hivyo kusababisha chuki, husuda, na taharuki. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Theophista Mallya, waganga hao wanakuwa na kioo kinachodaiwa kutambua kama kuna uchawi...
  4. Wapaka rangi kucha wanavyofaidi wanawake

    Habari wakuu, Husika na kichwa hapo juu, Katika story za hapa na pale na wanawake wenzangu weekend tukiwa tumejitoa kidogo kufurahia maisha. Mmoja wa wenzetu akasema akiwa ofisini mwenzao aliwaambia kuwa usione wanawake wengi wanapenda kupaka rangi kwa wapaka kucha kuna utamu. Anasema...
  5. Tanzania ya sasa kuna uhaba wa wadada wanaojielewa kwa ajili ya kuwa wake za watu

    Wadau salama, kuna jambo moja naona linazidi kuwa gumzo mitaani, awali nilijua labda ni mtaani kwetu tu lakini naona asilimia kubwa ya wanaume wanalalamika kuhusu hili suala. Nina rafiki yangu mmoja leo ametoka kunitumia sms analalamika kuhusu wadada, nakumbuka sentensi yake moja kaniambia...
  6. Mtazamo wangu kuhusu Usaliti wa wake za watu katika Ndoa

    Amani ya Bwana iwe baby I! Nawasilisha mtazamo Kwa nini tunaoa au kuolewa na je ni kwa namna impendezayo Mungu? Kwenye jibu hapana hilo tarajia usaliti utokee. Pilau ya nyumbani huzoeleka na pilau ya harusini haizoeleki. Na hii mazoea ni katika himaya ya shetani kifikra na kimatendo. Historia...
  7. Wake za watu...

    Hii tabia ya wake za watu kukutana vijana na kukana kua hawajaolewa sio vzuri, nyie wanawake mna matatizo gani, Binafisi mimi siwezi kulala na mke wa mtu kama najua kaolewa ata uwe mrembo kiasi gani. Juzi kati nilikutana na pisi ina namba 8 maeneo ya posta, akanihakikishia anakaa peke yake, na...
  8. Acheni kutembea na wake za watu

    Habari zenu wakuu niende kwenye mada moja kwa moja siku mbili zilizopita ikiwa nipo bandarini mida ya saa tatu usiku baada ya kupakia mizigo kwenye ikiwa nasubiria maji ya usiku ili nisafiri kabla ya kuondoka nikaona niende nikachakate kidogo mbusu maana nahodha kila bandali hakosi jiko...
  9. Kwanini wake za watu wengi wanaongoza kuchepuka?

    Wenye Mko kwenye Ndoa Wapendeni wake zenu. Wake za watu wengi wako desperate sana. Yaani watu wamefunga ndoa kama wamelazimishana mtu yuko na mume wake hata miaka mingi haijapita ila mke unaona kabisa kamchoka mume wake kwa kila kitu hata kama ana mawe (pesa) mingi. Vijana wapendeni wake zenu...
  10. Nilinusurika kubakwa mara mbili na wake za watu

    Strange though might sound, ila wabakaji wanawake wapo, nakubaliana na Biblia kua mke mwema anatoka kwa bwana, mimi binafsi nina wivu sana na naamini karma ipo hivyo endapo nitatembeana mke wa mtu possibly wangu nae pia watapita nae , ingawa sio ulinzi tosha kwani naweza nisipite na wake za...
  11. Mwijaku acha kushika mikono wake za watu unapoendesha kipindi chako

    Wakuu Kwema! Vijana katika utafutaji ni vizuri kuelekezana ili kufanya kazi zetu zizidi kuwa na manufaa. Katika hilo, nimeona nimshauri na kumuelekeza Ndugu Mwijaku kuwa aache Kushika Mikono wake za watu anapoendesha kipindi chake yeye na Ndugu Soudy. Hii tabia anaweza akaiona ni yakawaida...
  12. Kwanini 'Mahausiboi' wakitembea na Wake za Watu huwa ni Wasiri, ila kwa 'Mahausigeli' hugundulika mapema na wenye Waume?

    Inakuwaje 'Houseboi' hata akiwa 'anakukanyagia' Mkeo bado atakuwa 'Msiri' Kwako mwenye Mke na tena kazi ataendelea Kuzifanya ila kwa 'Hausigeli' akishaanza tu 'Kutinduliwa' na Mume hawawezi Kujificha na atajulikana tu upesi na Mke wa Mhusika? Nasubiri tu uzoefu wenu nijifunze zaidi.
  13. Simujanja zimeharibu wake za watu. Wanashinda wanapakuwa picha za ngono na kujifunza uchafu kupitia wassapu

    Teknolojia imekuja na mambo mengi. Sasa hivi kila mwanamama anataka amiliki simujanja. Na akishamiliki simujanja basi anajiona ana kila kitu. Siku hizi wamebakiza kupakua picha za ngono na kutupana wassapu huku wakijifunza uchafu. Wameharibia kabisa.
  14. Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

    Habari za Leo wana Jf wenzangu, Mimi sio mgeni humu. ndani,Nina ID ninayoitumia tangu mwaka 2013 ila kutokana na kitu ninachotaka kukiandika humu basi nimelazimika kufungua ID mpya kabisa. Nimezaliwa miaka 40 iliyopita ktk moja ya wilaya zilizopo kaskazini ya Tanzania, ni mtoto wa 4 kuzaliwa...
  15. Wake za watu mna nini?

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana siku hizi kuhusu wake za watu kutongoza vijana. Mara nyingi mimi kama kijana nakumbana na hii kadhia mara nyingi sana, na hasa hasa kutoka mitandao ya kijamii na mitaani pia. Unakuta mmama mtu mzima anamtongoza kijana bila hata ya hofu na aibu, mama kimtazamo...
  16. Vikoba/vikundi vya michezo vimekuwa chanzo cha wake za watu kuchepuka

    Mambo yasiwe mengi, na mengi yasiwe mambo. Carlos The Jackal nasemaje, wewe kama una mke yaani umeoa, halafu unajua kabisa mkeo kazi yake ya kawaida tu, nasio kwamba wee mwanaume una pesa kivile halafu ana Jihusisha sijui na vikundi yaaan ana vikundi/vikoba/Visheti vingiiiii ila Hela yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…