Tabia ya kulala na wake za watu na athari zake

Hawakomi hata usemeje ilhali mzigo unasimama.
FB_IMG_16713922817017769.jpg
 
Kwani si wale wanaume wanachapiwa na wanaume wenzao.

Ukiona unachapiwa mkeo jua Kuna mahali unafeli, kwa hiyo unatakiwa ujiongeze haraka kabla ndoa yenywewe haijavunjika.
 
Kwanza nianze na salamu.

N.k.j.j.m.w.

Hii tabia ni mbaya Sana. Wanaume wetu wanateseka Sana wanapojua wamechapiwa.

Wengine huamua kuchukua hatua mbalimbali zikiwemo za kichawi.

Kumtoa MTU busha nk
Tusichokijua:
 
Kama ni mke watu na unagawa namba yako ya simu hovyo utabanduliwa tu. Wanawake nyie wakati mwingine mnaurahisisha Sana huu mchezo.
 
Kuchapiwa kawaida mkuu. Kachapa pia ni kawaida.
Unakuta umeoa kahaba alafu we upo busy kutafuta hela alafu yeye akiamka ni chai usafi na kushikilia remont zote. Pia anakula anashiba na anapata muda wa kupumzika we ukija upo hoi unadhan nn kitatokea?

Jipe moyo omba dharau usiletewe omba maradhi usileteweee. Mengine mwombe mwenyezi Mungu aepushe na ajalie.

Kama mtu kashaamua kuwa wa hovto ni kaz ngumu sana kumrudisha kwenye mstari. Mtu umemwokota mazingira ya kwenye madanguro sasa unategemea nn ka si miujiza ya mwenyezi Mungu?
 
Kwanza nianze na salamu.

N.k.j.j.m.w.

Hii tabia ni mbaya Sana. Wanaume wetu wanateseka Sana wanapojua wamechapiwa.

Wengine huamua kuchukua hatua mbalimbali zikiwemo za kichawi.

Kumtoa MTU busha nk
Busha linasababishwa na mbu wa matende. Madaktari tusaidieni jamani
 
Back
Top Bottom