wakatoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wakatoliki kupitia TEC wametoa nyaraka mbalimbali lakini hazifanyiwi kazi. Je watapiga kura?

    Wakuu,
  2. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Wakristo, waislamu, na wapenda HAKI wote kesho tuungane na Wakatoliki katika SALA NZITO ya kuombea taifa

    Tumsifu Yesu Kristu ...kama ambavyo Mwashamu Baba Askofu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, alitoa tangazo hili lilionea duniani kote kwa Wakatoliki wote na watanzania wote Duniani kote kwamba kutakua na Sala maalum kuombea taifa hili HAKI na AMANI kwa siku tisa mfululizo, Mungu ashuke naona...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki na mafundisho: Simulizi mbalimbali za maisha ya watakatifu

    Mtakatifu MARIA GORETTI Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuwa maskini sana, lakini ilijulikana kwa imani na mshikamano wa kifamilia. Maria alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto sita. Baba yake, Luigi, alifariki akiwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wasabato na wakatoliki kuhusu kuja kwa Yesu

    Katika waraka wa kitabu cha wathesalonike wa pili,sura ya pili msitari wa kwanza hadi wa nne,Paulo anazungumzia tukio linalotangula kuja kwa Yesu . Imesemwa siku hiyo haitakuja hadi yule mwasi ajiinuaye juu ya kila kitu kiitwacho Mungu afunuliwe.Naye ataketi katika hekalu la Bwana. Swali hapa ni...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu wapendwa Wasabato naomba leteni ushahidi kamili kupinga hoja kuwa Roho ya mwanadamu ina yo hali ya kutokufa au inayo hali ya kuishi milele

    Njooni na Ushahidi kamili Maandiko yaani Biblia na siyo maelezo kuthibitisha kuwa ROHO ya mwanadamu Haina hali ya kuishi Milele au Haina hali Kutokufa
  6. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Kesho nasi tumuombee Tundu Lissu apate kibali zaidi kama leo alivyoombewa mheshimiwa

    Nilikuwa nafatilia online uzinduzi wa Hema jipya la Arise and Shine ya mwamposa pale Tanganyika peckers (KAWE) nimeona Siasa imezidi badala ya Kumuabudu Mungu. Kila mtu awe mtumishi au kiongozi alipopanda jukwaani ilikuwa ni kumnadi mama na mwisho wa SIKU BONIFACE MWAMPOSA mwenyewe akaarika Timu...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kwa Takwimu za Jumuiya , Wakatoliki wapo Milioni 24, KKKT mil 12, Madhehebu na dini nyingine sifahamu

    Hii Si Muhimu Sana, Lakini Wakristu wa Madhehebu ya Katoliki na Kkkt kupitia Jumuiya zao , wanazo takwimu za idadi ya waumini wao ,ambazo accuracy ya taarifa zao ni asilimia 94-100. Inaonesha Kwa madhehebu ya Kikristu Kanisa Katoliki ndio linaongoza Kwa idadi ya waumini wengi likiwa na...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako aibuka, awaka serikali kufungia makanisa, asema 'vile mnavyowavumilia wakatoliki na hao muwavumilie vilevile'

    "Nataka niongee na serikali, isitufungiefungie makanisa, mbona katoliki hawafungagi jamani. Mnatuzalilisha mbona hamfungi katoliki. Tumesikia juzi katoliki wametoa waraka mzito wameamuru muwaachilie wafungwa sijui ni na nini, mbona hamuwafungii makanisa yao. Akina Bagonza sijui wanasema maneno...
  9. tpaul

    JamiiForums Tanzania Waislamu na Wakatoliki mko wapi Askofu Gwajima ananyanyaswa?

    Wakuu naingia moja moja kwenye mada bila kuwachosha. Nawashangaa sana Wakatoliki na Waislamu kwa kukaa kimya hadi sasa huku askofu Gwajima akinyanyaswa bila wao kukemea wala kutoa tamko lolote kuhusu serikali kufunga Kanisa la Ufufuo na Uzima kihuni na bila kufuata utaratibu. Walichokifanya...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TEC mbona hamtoi updates za Maendeleo ya Kiafya ya Padre na Mwalimu wangu SAUT (2006-2009) Kitima?

    Halafu mwambieni huyo Mtu wenu kuwa akiwa anaenda kuwatembelea na kuwapigia Magori Wakatoliki (hasa akiwakosea) asiwe anafanya Siri kwani siku hizi hakuna Siri sawa?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki wanafundishwa utii, unyenyekevu na tafakuri kabla ya kunena, Wasabato hayo hayapo kila muumini anajua na aweza bishana na mchungaji wake!

    Wadau hamjamboni nyote? Huku ndiyo ukweli hata kama unaumiza ila ndiyo ukweli Kanisa Katoliki lafundisha utii na unyenyekevu pamoja na tafakuri ya kina kwa waumini wake wote Hali ni tofauti na huku kwetu kila muumiini anajiona anajua na anayo mamlaka kuhoji au kumuhoji hata mchungaji wake...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wakatoliki wenye ufahamu na hili

    Naweza kujua majukumu ya mkuu wa shirika kwenye jimbo? Mfano mkuu wa shirika la Waagustino ndani ya jimbo B. Na mahusiano au muingiliano wake na askofu wa jimbo hilo B. Mkuu wa Shirika anawajibika vipi kwa askofu?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki nchini Tanzania, hivi mmegundua sasa ni msimamo rasmi wa Kanisa lenu kuwa serikali ya awamu ya sita ni onevu inayominya haki na demokrasia?

    Hivi waumini wa Kanisa la Katoliki nchini mmeshagundua kwamba hadi sasa, kupitia matamko ya viongozi wenu, ni msimamo rasmi wa kanisa kwamba serikali ya awamu ya sita chini ya CCM ni serikali onevu inayominya haki na kukandamiza demokrasia nchini? Kinachotokea sasa nchini kimefananishwa hata...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali ijenge hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando

    Nashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali. Hii imefanyika maeneo kadhaa kwa kuondoa District Designated Hospital za makanisa na kujenga za kwake...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki Tanzania kwa Uwingi na Ushawishi wao wakiamua Samia na CCM yake ianguke Madarakani ni jambo la muda mfupi tu

    Hata CCM na Samia wake wakisema Waungane na Walutheri, Waanglikana, Wasabato, Walokole (TAG) na Waislamu Shia na Simu bado hawatatimia Idadi Kubwa ya Wakatoliki waliopo nchini Tanzania. Na wenye Akili tunajua kuwa Tanzania Kihistoria ipo chini ya Himaya ya Katoliki (Vatican) hasa Kimaamuzi na...
  16. hamis77

    JamiiForums Tanzania Uislamu ni project ya wakatoliki

    Kwa karne nyingi, uhusiano kati ya Ukatoliki na Uislamu umekuwa wa mvutano na wakati mwingine wa ushirikiano wa ajabu. Madai ya aliyekuwa padri wa Kanisa Katoliki, Dr. Alberto Rivera, yameibua mjadala mzito kuhusu chanzo halisi cha Uislamu. Rivera alidai kuwa Vatican ilikuwa na mkono wa moja kwa...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki ni mfano wa kuigwa na imani zote za kidini kwa kujikubali imani yao

    Wakatoliki wao walishajikubali na mambo yao ya imani, huwa hawajitetei sana, hawana maelezo mengi au hawatafuti sayansi kuunga mkono mambo ya imani yao, wao imani yao wameamua kuipokea na kuiishi bila reasoning ya aina yoyote na wanakiri hivyo. Hawana porojo nyingi za kuhalalisha imani yao na...
  18. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi. Rais wa TEC na Askofu...
  19. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki ni watu Intellectual sana : Asante askofu Pisa, Je ni nani anaevuruga amani?

    Tumsikilize Askofu Pisa, moja ya watu wanaojielewa sana hawa. Élimu humfanya mtu kuwa huru. Mchakato wa kumpata kiongozi wa kikatoliki ni Mchakato wa kielimu zaidi… Tunatambua kuwa DINI zote ni man made, ila dhehebu la Catholic Institution makes more sense. Ni nani anaevunja amani ; anaedai...
  20. mdesi

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakatoliki wanashambuliwa na madhehebu mengine?

    Habarini wanajamii.. Mimi ni mkristo wa moja ya madhebu ya kikristo, huwa napenda kuheshimu kila imani ya mtu, hata kama haamini vile namini. Kilichonifanya kuja hapa; ni mashambulizi ya kihasira ya mda mrefu ambayo madhehebu mengine yanafanya dhidi ya hili dhehebu la kakatoliki au RC kama...
Back
Top Bottom