wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Feisal kutoheshimu maamuzi ya TFF anaendelea kufanya makosa ya kiufundi yatakayomgharimu wakati Yanga wakiendelea kumlipa mshahara kama mtego

    Baada ya Fesal kuangukia pua tena kwenye Review ya hukumu iliyotolewa kati yake dhidi ya mwajiri wake klabu ya Young Africans sasa twende Moja kwa moja kwenye mada. Klabu ya Yanga inaendelea kumlipa Feisal mshahara kama mtego wa kiufundi utakaokuja kumgharimu baadaye kama hatotaka kutumia...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA wakati wenzenu wanaunga mkono juhudi mliwatukana kuwa wamenunuliwa. Je, leo hii nanyi mmetolewa kwa mkopo?

    Hili liko wazi, CHADEMA iko katika harakati za kumpitisha Mgombea wa CCM kiulaini mwaka 2025. Chadema nao wameamua kuunga mkono juhudi kwa staili nyingine , na hawataki kusikia la muadhini wala la mnadi swala. Naam nimemsiki Sugu juzi, nilishamsikia Mbowe aliyetoka kuwekwa jela na Mtawala...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Sakata la Fei toto imekuwaje lipo TFF wakati lilipelekwa CAS, FIFA?

    Kesi ya Fei Toto ilianzia TFF ambapo upande wa Fei haikuridhika na maamuzi ya TFF na ukaenda kukata rufaa mahakama ya kimataifa ya michezo (CAS) Iweje leo nasikia tena lipo TFF?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia alienda Arusha 01/03/2023 wakati Lema anaingia nchini? Mapokezi haya makubwa kwa Lema yanatoa picha gani Kwa chama tawala?

    Kwenda kwa Rais Arusha leo ni asset au liability kwenye uwanja wa siasa? Kama ni liability washauri wake walishindwa kuona madhara haya? Kama ni asset, kivipi? Kwa ukubwa wa msafara wa Lema, hakuna umuhimu. Rais akatembelea Arusha kikazi azungumze na wananchi hivi karibuni kuonesha kukubalika...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini usikubali kukutana na rafiki zake wakati bado unamtongoza

    Ni muhimu kujua mapema kama mwanamke anakutaka au la. Utalijua hilo kutokana na tabia anazoonesha kuashiria amevutiwa na wewe au la. Kupata namba yake ni jambo la kawaida, lakini sio kiashiria kuwa mwanamke ndo amekukubali. Unapoongea naye kazi yako ni kumpima je amevutiwa na wewe kiasi gani...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Anayekunyima wakati wa uchumba atakunyima hata ukimuoa

    Msome mchumba wako vema kabla hamjafunga ndoa. Kama unanyimwa unyumba ama pesa wakati wa uchumba kwasabb zozote zile, basi ukae ukijua kuwa utanyimwa hata kwenye ndoa kwasabb zinazofanana na hizo. Kazi kwako. Endelea kulea uzembe huku ukijifariji kuwa utaisha mkiingia kwenye ndoa.
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini waamini wanazidi kukonda na wachungaji wananenepeana tu halafu hawatoagi sadaka wakati wana pesa mpaka?

    Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao. Huu nao ni ukoloni mambo Leo kanisani yaani waamini...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kupeleka hoja ya kuwa na serikali ya Tanganyika

    Kutokana na hali na upepo wa kisiasa, natumaini kwa wabunge wa Tanganyika huu ni Muda muafaka wa kupeleka hoja ya kubadili katiba na kuanzisha serikali ya Tanganyika na kuanzisha vifungu vya kulinda maliasili za watanganyika . That said, Rais JM Kikwete apewe muda wa kuongoza serikali ya...
  9. JamiiForums Tanzania Nyie warembo, kwa nini huwa mnajiweka kwa bei ghali wakati uhalisia unajijua?

    Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu wa maisha yake anaujua mwenyewe. Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa...
  10. JamiiForums Tanzania NMC wakati wa Mwalimu Nyerere ilikuwa na malengo zaidi ya malengo!

    Nimejikuta leo hii nalikumbuka shirika letu hili pendwa la NMC, nikajisikia vibaya sana, ukizingatia malengo ya NMC, Ilikuwa ni pamoja na kununua mazao mashambani kwa bei isiyo ya kumuumiza mkulima, ku process au kuchakata mazao hayo kama ni unga au la na kuuza bidhaa iliyo kamili, kwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaishi mbele ya wakati

    Ndugu zangu watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa ukimsikiliza vizuri Rais Samia maneno yake, mikakati yake,matendo Yake, kauli zake, mambo aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanyia unaona Ni kiongozi na Ni Rais anayeishi mbele ya wakati tuliopo,Jambo ambalo ni la bahati Sana kwetu...
  12. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanasiasa akutwa na Bilioni 1.16 taslim wakati wa uchaguzi

    Chinyere Igwe ameshikiliwa akituhumiwa kutakatisha fedha hizo ambazo ni Dola 500,000 zilizokutwa kwenye gari lake muda mfupi kabla ya Uchaguzi Mkuu. Polisi wamesema Igwe ni Mwanasiasa wa upinzani wa Chama cha PDP ambaye pia ni Mbunge amekutwa pia na orodha ya majina ya watu ambao alitakiwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kitu kiko Jikoni tayari kinapakuliwa wakati wowote hivyo tuwapigie Simu Waganga wetu wa Kienyeji watuokoe ili tusinyolewe mazima

    Huenda kuna Mtu ama Watanzania tukaenda nae pamoja Kuhamia nchini Burundi na Basi la Esther au tukajikita zaidi na Kilimo cha Mafuta ya Alizeti au Kufuga Kuku Mkoani Singida.
  14. JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba atadroo wakati Yanga atafungwa huko kwenye mechi za Kimataifa

    Simba na Yanga wote wana mechi za kimataifa mwishoni mwa wiki. Utabiri wangu kwakuwa wote wapo ugenini, Simba atadroo na Vipers wakati Yanga atapigwa goli mbili kule Mali.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwenye tukio kwa wakati tambua hili

    Popote ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwa wakati tambua kuna hili. Wapo kwenye mazoezi ya utayari (show off) hivyo chochote watakachokifanya kisikuaminishe kwamba ni kweli Wanakuwa wametumwa kukamilisha mpango kazi maalum katika tukio hill Watakuwa walikuwa wanapita njia...
  16. JamiiForums Tanzania TRA ni wakati sasa mbadilishe Tovuti yenu iwe ya kisasa

    Kusema ukweli tovuti yenu ya kizamani sana. Taasisi kubwa kama yenu hampaswi kuwa na lay out ya tovuti ya kizee hivi.
  17. JamiiForums Tanzania Funika kioo wakati wa kulala usiku

    1. Wachawi ukitumia kioo pale ambapo kitakuwa wazi usiku uchukua sura yako na kuenda kuitumikisha kiuchawi. Kwahiyo usishangae mtaani wakawa wanakunyoshea vidole/kidole wakishemezena ujue yule mmama/baba/kaka/dada mchawi kumbe unatumika kiuchawi na we hujijui kisa kioo kukiacha wazi usiku. 2...
  18. JamiiForums Tanzania ‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

    Wakuu, Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi! Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini! Wana...
  19. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu sitasahau: Niliwacheka sana wanaochapiwa wakati huo huo na mimi kumbe nachapiwa sana kama ngoma

    Salaam tele ziwafikie Kati ya mwaka 2019 au 2020, msanii Stamina ft Roma alitoa wimbo wenye ujumbe wa kusalitiwa na mkewe wa ndoa. Huyo mke akitoka na Ex wake ambae alicheza club ya Simba SC, na baadae nadhani akahamia Namungo FC. Nikiwa nimekaa kwa starehe na raha kabisa na kipenzi changu...
  20. JamiiForums Tanzania Jibu gani baya uliwahi pewa wakati unatongoza hutakaa usahau?

    Me nakumbuka mwaka 2008 niliambiwa kuliko kukupa wewe mbunye yangu bora nikampe mbwa. Nilikaa kimya kwa muda , nikawa Na sura ya upole mno.Sikumjibu kitu ila nikageuka kwa unyonge nikaondoka taratibu huku nikionyesha kuwa Na mawazo. Akanionea huruma akaniambia simama G ........... Nisubiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…