Ni muda muafaka kupeleka hoja ya kuwa na serikali ya Tanganyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni muda muafaka kupeleka hoja ya kuwa na serikali ya Tanganyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shadow, Jan 29, 2010.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kutokana na hali na upepo wa kisiasa, natumaini kwa wabunge wa ‘Tanganyika’ huu ni Muda muafaka wa kupeleka hoja ya kubadili katiba na kuanzisha serikali ya Tanganyika na kuanzisha vifungu vya kulinda maliasili za watanganyika . That said, Rais JM Kikwete apewe muda wa kuongoza serikali ya Muungano [URT] kwa muda wa miaka miwili kusimamia mchakato wa kuanzisha Katiba mpya ya Tanzania ambayo itakuwa na maudhui ya kuanzisha Federal State.Uchaguzi wa mwaka huu usogezwe mbele hadi 2012. Hii imekaaje?
   
Loading...