wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Wakati Mahakama na Bunge nchini Tanzania zikiwekwa mfukoni na CCM, huko nchini Kenya Mahakama kuu imezuia Polisi wa nchi hio kutumwa nchini Haiti.

    Mahakama kuu ya Kenya angalau imeonesha uhuru wa kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa na serikali katika kufanya maamuzi yake tofauti kabisa na hali iliopo kwa jirani yake Tanzania kwa kuzuia kwa muda kutumwa kwa maafisa wa polisi nchini Haiti kufuatia pingamizi/ombi lililowasilishwa na chama cha...
  2. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Netanyahu kujiuzulu, sio kupanga vita. Anasubiri nini?

    Kitu kilchotokea Israel ni kibaya zaidi katika historia ya nchi hiyo.Na yote ni kutokana na siasa za ubabe wa Benjamin Netanyahu. Siasa zake hizo imekuwa sababu ya kuwakasirisha zaidi wapalestina ambao sasa wameamua kujitoa muhanga kupambana badala ya kulia lia na kuomba kuhurumiwa. Wananchi...
  3. JamiiForums Tanzania Usiogope kuvunja miiko kama unaona imeshapitwa na wakati: Abe na NBA dhidi ya watu weusi

    Ni miaka ya nyuma sana, Wazungu walikaa chini na kugundua michezo mbalimbali ambayo ingewafanya kuinjoi maisha, kutengeneza pesa na kupata vitu vingine, hapo ndipo walipogundua mchezo wa kikapu (Basketball). Ulikuwa mchezo mzuri tu, haukuwa ukipendwa sana, walikuwa wanacheza Wazungu tu...
  4. JamiiForums Tanzania Wao wakishinda magoli ya offside na nyie shindeni pia ya hivyo hivyo. Mambo ya kulalamika wakati wewe umeshindwa kutumia nafasi hayana maana

    Kitendo cha mashabiki wa Yanga kuanza kulalamikia bao la John Boko kuwa alikuwa offside naona ni kupotezeana muda tu, Boko kafanya home work yake iliyomfanya awe uwanjani na kaikamilisha na refa karuhusu kuwa ni goli halali makekele ya nini? Ukiona mwenzako anatumia mbinu za kimafia kushinda...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini tumeamua kurejea Dar saa 7 za usiku kutokea tulikofungwa na Ihefu FC jana, wakati awali tulipanga kurejea 'Kimadaha' saa 4 asubuhi leo?

    Sasa na wale Waandishi wa Habari na Mashabiki wenu mliokuwa mmewaandaa (kwa Kuwalipa kama kawaida yenu) mkiamini kuwa Jana mngevunja mwiko pale Highland Estates Mbarali mmewapa au mtawapa majibu gani? Hatutakatai kuwa katika Mpira Kufungwa ni Jambo la Kawaida ila GENTAMYCINE na Wadau wengine wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tunduli Lissu kurejea wakati wowote kuanzia kesho Oktoba 6, 2023

    Msomi Tundu Lissu anatarajiwa kurejea nchi wakati wowote ili aweze kuendelea na ziara zake mikoani ambazo ndio amekuwa akizutumia kama chanzo kikuu cha mapato yanayotokana na michango ya wananchi wanaohudhuria mikutano yake. Imekuwa ni tabia ya huyu msomi kukusanya hii michango na kurejea...
  7. JamiiForums Tanzania Watu 604 wapimwa Moyo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani

    Watu 604 Wamepata huduma za upimaji na matibabu ya moyo wakati wa maadhimisho ya siku ya moyo duniani yaliyofanyika katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group iliyopo Temeke jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni jijini Dar...
  8. JamiiForums Tanzania Mbeya ina watu jasiri na wenye uthubutu. Ni wakati wa kuanzisha chama cha siasa kuongeza upinzani

    1. Mwabukusi 2. Mdude 3. Anangisye 4. Jwani Mwaikusa 5. Dkt. Ulimboka 6. Mwangosi Bonus Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya Mtaji wa kisiasa wanao, 2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
  9. JamiiForums Tanzania Ukraine Kusafirisha Ngano Kwenda China Na Misri Wakati Meli Tano Zikiingia "Black Sea"

    Mytake:Hichi kitendo cha Ukraine kusafirisha ngano bila kuogopa vitisho vya Urusi ina maana sasa rasmi Putin anapuuzwa hata na marafiki zake wa karibu kama China 🤔 ..... https://m.jpost.com/international/article-761179
  10. JamiiForums Tanzania Fiston Mayele ameshindwa kufunga goli hata 1 wakati timu yake ikiua goli 6 juzi

    Naskia jamaa yenu huko mambo magumu. Juzi timu yake imeua goli 6 lakini mwamba hata la offside kashindwa kufunga. Vipi kwenye ligi yao kafanikiwa kufunga kweli? Tumuombee jamaa anapitia kipindi kigumu…
  11. JamiiForums Tanzania Kila mtu kwa wakati wake jf wote Tutatoboa. Amin

    Habarini ndugu zangu..! Kizuri kula na Mwenzio, kwa maana hiyo ndio njia pekee ambayo mimi na wewe tunaweza itumia kugusa maisha ya wengi na sote tukatimiza malengo yetu kwa kasi. MAISHA NI MCHEZO WA KUIGIZA Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati sahihi kwa mjamzito kusafiri

    Wakati mzuri wa kusafiri kwa mjamzito ni vizuri kusafiri katikati ya ujauzito (kuanzia wiki 14 ya ujauzito hadi wiki 28). Kwasababu katika wiki hizi, nguvu zilizopotea wakati mimba ikiwa changa hujirudi upya, ugonjwa wa kutapikana, kichefuchefu hukoma na kuisha, pia mjamzito anaweza kuzunguka...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Dkt. Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme

    Kumbukizi ya Dr Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme.. unaniamsha unajua nimelala vipi uhuni huo.
  14. JamiiForums Tanzania Ali Kiba atuambie anaachia Ngoma Mpya lini! Kiki zilishapitwa na Wakati.

  15. JamiiForums Tanzania Rwanda ifikapo 2026 watakuwa na umeme wa nyuklia wa bei nafuu na uhakika. Sisi tunashindwa nini wakati madini ya nyuklia tunayo kibao?

    Jirani zetu Rwanda wameanza ujenzi wa vinu vya kisasa vya nuclear ambavyo ifikapo mwaka 2026 vitakuwa vinazalisha umeme wa uhakika wa bei nafuu. Vinu hivi vitazalisha pia mafuta na bidhaa nyingine. Vitaiwezesha Rwanda kuwauzia umeme nchi jirani kama Tanzania. Sisi tuna madini ya nuclear kibao...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi huu utititili wa makanisa una faida Gani wakati maovu ndo yanazidi kuwa mengi?

    Mi nilikili wingi wa makanisa uendane na kubadilisha tabia za waamini wao. Hebu fikiri hapa dar wizi, udokozi, ujambazi unaongeza daily na watu wanashinda makanisani, au kanisa ni fashion tu. I'm sure hata padre, askofu mchungaji akiipata fursa ya kuiba lazima aitumie kama ilivyokuwa kipindi Cha...
  17. JamiiForums Tanzania Watu wenye furaha ni wale ambao hawana muda kuwaza yaliyopita wala yajayo, wanaishi wakati uliopo kwa kuutendea haki

    In this life baada ya kusoma Kitabu cha The Power of Now by Echhart Tolle nimeelewa kuwa sisi kama binadamu huwa tunajidanganya sana kuhusu kuwaza mambo yajayo na yaliyopita. Honestly, hakuna hata siku moja mtu unaweza ukaamka uka-experience kuhusu future na past ila utaamka na ku-experience...
  18. V

    JamiiForums Tanzania DC Kiteto ni wakati wa kuitisha kikao cha wadau wa kilimo ili kuwaomba radhi

    Kwenye sakata la zao la Mbaazi Kiteto, wakulima na wadau wa kilimo wameumizwa sana na Maamuzi yako yaliyokuwa yamejaa dharau, kiburi na Majivuno. Mara zote ulikataa kusikiliza upande wa Pili wa wadau wa kilimo, wewe ukakumbatia kundi la Madalali. Matokeo yake wakulima waliokuwa na mbaazi zao...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop talkin do act

    Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop just talk with the press nenda eneo la tukio ujue shida ni nini. Hao jamaa ni wahuni
  20. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kulipia king'amuzi wakati umeme hakuna?

    Wakuu habari zenu.Mimi siyo mwanasiasa japo siasa naona inanishindisha giza na kunilaza giza.Ndani ya siku 30 nilizolipitia king'amuzi changu cha AZAM nakadiria kutumia bandle hilo kwa siku 11 tu. Siku zingine umeme hakuna. Sijui wenzangu mnaiona hiyo hasara wanayonipatia TANESCO
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…