wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mnafiki ishi naye Kinafiki: Ni wakati wa kumrudisha Kagere na Boko Simba

    Hawa ma forward walioletwa wameshindwa kuendana na kasi ya kikosi chetu. Tunawataka viongozi wetu msimu ujao wawarejeshe Kagere na Boko ili kuchukua makombe. Huu ni ushauri wa kitaalamu, Benchikha atanielewa vizuri kuliko popoma. Kihasibu ndugu Jobe na Fredi ni hasara sindio OKW BOBAN SUNZU
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tutakuja kujuta tukimpuuza Mzee Warioba. Tumsikilize wakati bado yupo

    Huyu ni Mzee ambaye alikuwepo tangu wakati wa Nyerere. Kikubwa bado yuko fit na anaweza kujibu maswali. Siku hizi wanasiasa wanajiona wanajua sana kila kitu kuongea kishabiki na kuweka kiki. Lakini ukimuona huyu mzee ambaye kaona mengi anahofia kwasababu anaongea kwa uzoefu na data sio ushabiki...
  3. JamiiForums Tanzania Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

    Kwa hali hii, tutafika? Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara...
  4. JamiiForums Tanzania Madam samia: Huu si wakati muafaka kufanya uchaguzi

    Ukipenda unaweza kuchukua ushauri huu, huu si wakati muafaka wa kufanya uchaguzi kabla katiba haijakaa sawa, moja ya jambo muhimu miiko ya kulinda tunu na uchumi wa Taifa bado inahitaji maboresho vinginevyo kila mmoja atakayeingia ataanzisha yake na kulipa muzigo Taifa kama unavyohangaika hivi...
  5. JamiiForums Tanzania Sijaona viongozi wa Serikali wakiizungumzia Rufiji kama ilivyotokea sehemu nyingine zilizopata majanga

    Habari JF Kama ilivyo Kichwa Cha habari hapo Juu Roho inauma sana Sijaona Hata kiongozi mmoja mwenye nyazifa kubwa Kuizungumzia Rufiji, wakati huu mapango wa mafuriko kama kule Bwana la nyerere walifungulia maji ili kunusuri Kuta kubaomoka,vipi mbona Hakuna hata hamamatsu yoyote Kuhusu watu Wa...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine, wanaosema "Mungu wabariki Wazungu" wako sahihi

    Hope angelikuwa wapi leo kama asingeonwa na Mzungu kutoka Denmark? Ilitokea huko Nigeria mwaka 2016. Mzungu kutoka Denmark alimwokota mtoto wa kiume mitaani aliyekondeana sana kwa kukosa huduma muhimu. Si kwamba huyo mtoto hakuwa na wazazi wa damu, bali alitelekezwa kutokana na shinikizo la...
  7. JamiiForums Tanzania KWELI Kubana pumzi wakati wa tendo la kujamiiana kunamfanya mwanaume achelewe kufika mshindo

    Wakuu, Nimesikia sikia sehemu kuwa wakati wa tendo pale mwanaume akiwa anabana pumzi stamina inakua inaongezeka na anaweza kudumu kwa muda mrefu zaidi. Kuna mwenye amewahi kushuhudia hili au kuna maelezo ya kisayansi yanayothibitisha hili? Mimi naona nilipigwa kamba tu hapa! Kwenu wataalam...
  8. JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa taarifa wakati wa uchaguzi unaweza kuathiri masuala ya kijinsia (Wanawake)

    Upotoshaji wa taarifa wakati wa uchaguzi unaweza kuathiri masuala ya kijinsia kwa njia kadhaa: Kueneza Habari Potofu Kuhusu Wagombea wa Kike: Wakati mwingine, habari potofu zinaweza kutolewa kuhusu wagombea wa kike ili kuwaharibia sifa zao au kuwadhalilisha. Hii inaweza kujumuisha kusambaza...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya usb 2.0 imepitwa na wakati, wafanyabiashara wetu wametugeuza kuwa dampo la kupigia pesa, jitahidi ununue bidhaa za usb 3.0 na kuendelea

    ni juzi hapa niliweka post ya kununua hard disc kuigeuza iwe external lakini speed yake ya kuhamisha mafaili ilikuwa ndogo sana, wadau wakanipa elimu ndio nikagundua tatizo lipo kwenye kasha / case ya harddisk ni usb 2.0. wafanyabiashara wameshazoea mteja akienda dukani anaulizia bidhaa flan...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Malu Stonch (Nuhu) afariki Dunia. Alikuwa akitumbuiza jukwaani

    Mwimbaji nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani. Hali hiyo imetokea katika ukumbi wa Target Mbezi, Beach, Jumamosi usiku wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani anaimba wimbo wa "Hadija". Inaelezwa kuwa wakati anaimba wimbo huyo, Malu Stonch...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kifaaa gani cha bei chini ya laki 2 kinakuza PCB za simu wakati wa kusolder/ kudesolder

    Naomba kujua kifaa hicho kama kinapatikana Tanzania au kwa kuagiza ili niweze kuperfom vizuri Sina budget kubwa kwa mafundi simu mnanielewa.
  12. JamiiForums Tanzania Wakati Makonda anakwenda Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa tunauliza kuhusu CV yake.

    Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda? Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else? Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Faye: Ni wakati sasa Ufaransa kuondoka na kuachana na Afrika

    Katika mitandao ya kijamii nimeona video inayohusishwa na Rais Mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, akikemea Ufaransa kuwa ni wakati wa kuondoka bara la Afrika. Video hiyo inamuonesha Rais Faye akiimbia Ufaransa kuwa "Inakuwa wakati wa Ufaransa kuinua magoti yake kutoka shingoni mwetu na...
  14. JamiiForums Tanzania Aina za wanaume wakati kula chakula na matunda

    Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka na hamu ya chakula inakata hapo hapo. Nini kinachosababisha....1. Kukaa mda mrefu bila kula...
  15. JamiiForums Tanzania Huwa unachelewa kuamka wakati upi; ukiwa na pesa au ukiwa hauna pesa?

    Kwangu mm nikiwa na pesa usingizi huisha SAA 11 ila nikiwa sina hela au ramani ya kazi usingizi mpaka saa 3 asubuhi
  16. JamiiForums Tanzania Simba SC mnalalamika nini Serikali kuipendelea Yanga SC wakati nanyi kutwa mnajipendekeza kwao?

    Tokea mwaka jana GENTAMYCINE nimewaasa sana hapa JamiiForums kwa kuwataka ikataeni Serikali na Misaada yake ya Kinafiki Kwenu kwani wala haiwapendi mmekataa Kunisikia na Kunielewa. Wana Simba SC (baadhi yenu) mlivyo Majuha (Fools) tokea Juzi mnlalamika Kubaguliwa na Serikali kwa kuwasaodoa na...
  17. JamiiForums Tanzania Video ya kuogofya: Jambazi alivyopigwa risasi shingoni wakati alipovamia benki.

    CCTV Crime News Mwisho wa Video ya pili utamuona namna alivyoingia benki kama mlemavu vile. ................ Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini alikufa. Jina ni: Nilton César Silva Aguiar. .... Hapa aliingia Benki kama mlemavu ..... Hili hapa pigo...
  18. JamiiForums Tanzania CAG Kichere, kwanini uwaite wastaafu Mizigo wakati hela yao ndio imesimamisha NHIF kabla kuingia viwavi jeshi kukopeshana?

    Kwako kichele CAG Nimeshangazwa na kusikitishwa na pendekezo la CAG Kichere kuwa wastaafu wanauwekea mzigo mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kuendelea kupokea huduma za mfuko huo huku wakiwa hawachangii. Nimesikitika kwa sababu Kichere na genge lake wanajua tatizo linalousibu mfuko limetokea...
  19. JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi sasa wa kurudishwa kwa mali kale yetu iliyopo Ujerumani

    Habari za majukumu na amini sasa hivi ni wakati sahihi wa kurudishwa kwa Mali kale yetu mifupa ya dinosaur ambaye alipatikana katika safu ya vilima Vya Tendenguru Lindi (1907-1913) ambayo kwa miaka hiyo ilipelekwa ujerumani kwa kuwa hatukuwa na sehemu ya kuhifadhi mifupa hiyo. Sasa hivi kama...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuwakoromea Mawaziri hadi mpokea Mwenge wa Uhuru; kutoka kutumia magari lukuki hadi kwenye gari moja

    Maisha ni mzunguko, unapokuwa mkubwa heshimu watu kwani bila watu uwezi kuwa mtu mkubwa. Unapoaminiwa rizika na kidogo unachopata na kumwachia aliyekuamini akupe kikubwa zaidi Tambua ipo siri kubwa ya kukutanisha na MWENYEKITI wa CCM Arusha Mzee Sabaya ambaye mikono yake inanuka ukatili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…