wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anayesifiwa kukicha anao 670,000 pekeyake

    Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anao 670, 000 Wadau hamjamboni nyote? Takwimu zinaongea mayahudi wasithubutu kumchezea muiran hata siku moja kwani wataumia Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Israel has 170,000 active military personnel, along...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini mfumo wa Afya/matibabu Marekani huwa unalalamikiwa sana na raia wao wakati hilo ni taifa tajiri?

    Miaka na miaka sekta ya afya Marekani imekuwa ikilalamikiwa sana kwamba ni ghali sana na inayonyima watu wengi fursa ya matibabu. Hivi karibuni mpaka CEO wa kampuni ya afya alilimwa risasi na kuuwawa na kijana mwenye hasira kali kwa sababu ya kero za bima ya Afya. Inakuaje taifa tajiri lenye...
  3. JamiiForums Tanzania Kipi unafanya ili kujituliza wakati unapitia magumu?

    Sote kuna wakati tunapitia hali au wakati mgumu kimawazo, kihisia na kimwili lakini kila mtu ana njia tofauti za kukabiliana na nyakati hizo. Member mwenzenu akili ime stack, depression na hofu imenijaa, naombeni mnipe mbinu za kukabiliana na hali hii kabla sijafika pabaya because there is riot...
  4. JamiiForums Tanzania Nasikia Gari la 'Actress' sasa yoyote mwenye Leseni anaweza Kuliendesha kwa wakati huu muhimu asiligonge tu

    Yuko busy sana kutengeneza Scenes mbalimbali za Movies zake zijazo ikiwemo ile Kubwa atakayoizindua Oktoba au Novemba.
  5. JamiiForums Tanzania Simulizi bora za wakati wote, za kweli hapa jukwaani

    Aslaam aleykum ! Katika kipindi nilichokuwa humu hawa ni miongoni mwa watu wenyewe visa na mikasa ya kweli na wana vipawa vya kusimulia, Ingekuwa jeshini walikuwa wanapewa nyota na bibi na bwana mabegani,wasimuliaji hawa ni kama ifuatavyo 1 LWANDA MAGERE ,huyu mtu atengwe dunia yake ili tulaza...
  6. JamiiForums Tanzania Yajue mambo mazito yatakayotokea wakati Yesu atakapokuja

    Heshima zenu wakuu. Leo nawaletea mpangilio(timeline) au mtiririko wa mambo mazito sana yatakayotokea Yesu atakapokuja. Maandalizi yanayofanyika nchini Israeli, ya kujenga hekalu la tatu, ni ushahidi wa wazi kuwa Yesu amekaribia kuja...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mwanangu analia sana wakati wa maombi

    habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi. tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima. sijui nini shida. nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Msajili aeleze kitendo cha CCM kukiuka Katiba ya CCM wakati wa kumteua Mgombea Urais

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika. Amesema hayo...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Aina za Taarifa Unazotakiwa Kuwa nazo Wakati wa Kuomba leseni Kundi A

    Tofauti kidogo na leseni Kundi B Uombaji wa leseni Kundi A unahitaji taarifa nyingi zaidi. Kwenye Thread hii nimekuandikia Taarifa zinazohitajika wakati wa kuomba leseni Kundi A. 1. Taarifa Za Directors Hapa utatakiwa uwe na taarifa zote za directors wa Kampuni husika, NIDA namba, tarehe za...
  10. S

    JamiiForums Tanzania BOT acheni majibu ya kisiasa kwa Watanzania; kuna tofauti kati ya uchumi kukua na shilingi kuporomoka, na vyote vinaweza kutokea kwa wakati mmoja

    BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu ya chama tawala na sio wachumi wanaojisifia kuwa na degree za first class za Economics. Jibu la BOT...
  11. JamiiForums Tanzania Katika nyakati ambazo Iran anapaswa awe mpole na afiche kichwa chake basi ni wakati huu wa hatari, maana anapitia majaribu makubwa

    Amani kwenu wakuu Iran kashasoma nyakati yupo kama hayupo na mimi pia namwombea akae kwa kutulia hivyo hivyo, maana wale wababe wa Dunia wana mtafuta kwa nguvu nyingi sana Anapitia majaribu makali sana lakin hana budi kunyenyekea na kutulia na kuutazama msalaba Atulie hivyo hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuachilia nguvu za kiroho ndani mwako wakati unapitia magumu.

    Mwanadamu ana nguvu mbili ya ndani na ya nje . Mwanadamu ameumbwa akiwa kamili au kwa mfano wa Mungu, uungu u ndani mwake,hivyo haitaji nguvu toka nje ili aweze kujiendesha labda tu kwa asiyeelewa jinsi ya uuungu ndani mwake unafanyaje kazi,kila kitu kimo ndani mwako uhitaji mganga,nabii wala...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kuwepo kwa A-LEVEL na vyuo vya kati kwa wakati mmoja .

    Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10...
  14. JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya mayai kuvunjika wakati yanachemshwa. Na je ni njia ipi niitumie ili kuzuia yasivunjike?

    Kila ninapochemsha mayai 10 at least mawili au matatu huwa nakuta yamevunjika na yameingia maji. Wataalam naomba mnijuze sababu ni ipi inayofanya yavunjike na pia nitumie mbinu ipi ili kuepuka yasivunjike. Nawasili
  15. JamiiForums Tanzania Arikana Chihombori-Quao asema Viongozi wa Afrika wamejivika Mavazi ya Umasikini kwa kutegemea USAID, wakati rasimali za nchi zipo mikononi mwao

    Arikana Chihombori-Quao, balozi wa zamani wa Umoja wa Afrika nchini Marekani. Ngoja nikwambie, tunahitaji kuangalia kinachoendelea huko Burkina Faso, Niger na Mali. Rais Traoré amesimama kidete. Anasema rasilimali za asili za Burkina Faso ni mali ya watu wa Burkina Faso. Niger nao wanafanya...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wajiriwa wasiruhusiwe kugombea ktk chaguzi za kisiasa

    Habarini, Ni kitu cha kushangaza sana unamkuta daktari,mwalimu,injinia,wafanyabiasharan k walio katika ajira zao serikalini au binafsi na wanaukwasi wa kutosha kwenda kugombea majimboni kwa lengo la kutaka tena ulaji. Sasa kuna watu wamesomea sayansi ya siasa na hawana ajira mijini na vijijini...
  17. JamiiForums Tanzania Houthi warusha kombora la balistiki huko Israel wakati waisrael wenye ndugu mateka wakielekea gaza Ili wachukuliwe mateka au wauawe na jeshi lao

    Usiku wa kuamkia leo ving'ora vilisikika ndani ya Israel kuashiria ujio wa kombora hasimu, wateule hao wa mchongo walioonekana kuhaha kutafuta pahala salama pa kujificha. Hata hivyo IDF ilidai kulitungua kombora hilo wakati houthi walidai lilipiga shabaha yake huko jangwa la Negev Wakati huohuo...
  18. JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia yanazidi kutusogelea wakati Hamas waliozingirwa wakipigana peke yao dhidi ya Marekani na Israel

    Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote. Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu huanza kukudharau unapopitia wakati mgumu maishani, na unapaswa kufanya nini ili kuvuka hali hiyo?

    Ni kama vile heshima na uhusiano wa watu hubadilika unapopitia changamoto kama kupoteza kazi, matatizo ya kifamilia, au hali ngumu ya kifedha. Watu waliokuwa karibu nawe ghafla wanapotea au wanakutazama tofauti. Kwa nini unadhani hili hutokea? Ni asili ya binadamu, au ni kwamba watu wengi...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mavunde aagiza Mradi wa Kabanga Nickel kutekelezwa kwa wakati

    WAZIRI MAVUNDE AAGIZA MRADI WA KABANGA NICKEL KUTEKELEZWA KWA WAKATI Serikali kupitia Wizara ya Madini imeiagiza Kampuni ya ya uchimbaji wa Madini ya Tembo Nickel Corporation LTD kuhakikisha inatekeleza kwa wakati mradi wa Kabanga Nickel Project ambao unalenga uchimbaji wa Madini ya Nikeli na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…