wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekupenda hatakuomba pesa kila wakati

    Simple Research ushawahi kuwa na pisi inayokuelewa to the maximum compared na pisi unayoilewa wewe when it's comes to money Mwanamke anayekupenda hawezi kuwa msumbufu wa kupiga vizinga na kama atakupiga kizinga basi jua kweli amekwama you need to support her. Mwanamke anayekupenda yupo tayari...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Jiandaeni Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV Nzito Na Ndefu Ya Paul Makonda. Mtapata Kumjua kwa Undani Zaidi

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV nzito na ndefu ya Mheshimiwa Paul Christian Makonda mtia nia ya Ubunge Arusha Mjini kupitia CCM 2025. Ambapo nitawaeleza kwa kina juu ya Paul Makonda ni nani hasa. Amefanya nini mpaka alipofikia hapo. Amepitia wapi na wapi kiuongozi...
  3. JamiiForums Tanzania Aliyepigwa risasi ya kichwa na polisi wakati wa maandamano ya juni 17, Kenya Ubongo umekufa

    Dah.. Boniface Kariuki, yule muuza barakoa, aliyepigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya Juni 17, 2025. Kulingana na msemaji wa familia, Emily Wanjira, madaktari katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta wamesema kuwa ubongo wa Kariuki umekufa (brain death), ingawa viungo vyake...
  4. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maarifa ni chanzo cha upotevu wa pesa wakati wa ujenzi

    UKOSEFU WA MAARIFA NI CHANZO CHA UPOTEVU WA PESA WAKATI WA UJENZI. Faida za kununua full package ya Ramani Kabla ya Kuanza Ujenzi. 1. Unakuwa na uhakika na Nyumba ya Ndoto Yako itakavyokuwa. 2. Fundi hatoikosea Nyumba ikiwa anajua kuitafsiri Ramani na Kama hajui Iwapo ukiwa umenunua Kwangu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Madhira Yanayowakabili CHADEMA Wakati Huu Yote Yamepangwa Kiufundi

    Ule mpango uliokuwa umemnasa Mbowe, na kwa pamoja CHADEMA ulipo vurugika kwa mteja kupoteza raslimali muhimu iliyokuwa imapangwa aiwasilishe na kujisalimisha kwa Samia na Genge lake; ilibidi haraka haraka mafundi watengeneze mitego ya kuikwamisha CHADEMA Mpya, chini ya uongozi mpya haraka...
  6. JamiiForums Tanzania Misukosuko tunayopitia wakati wa kutafuta ajira

    Utangulizi Katika nchi ya Tanzania, ndoto za vijana hujengwa vyuoni na kubomolewa polepole wanapokutana na changamoto halisi za kutafuta ajira. Wengine wanatoka vijijini wakiwa wamebebewa matumaini na familia, wengine wamelelewa mjini lakini wote wanakutana chuoni wakiwa na hamasa na kiu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi tofauti ni volume tu

    Huu ni utafiti wangu binafsi naomba mwenye pingamizi aje kwa comment. Asanteni Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi tofauti ni volume tu
  8. JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilidhania ongezeko la visirani kwa wadada ni kutokana na mabadiliko ya nyakati ila nilikosea. Ni kutokana udhaifu wa vidume wa kisasa

    Vijana wanababaishwa sana na wadada kwa sasa. Hata michepuko sasa eti inapelekesha boya hadi inanunulia malaya gari. Sio baba zao, sio boyfriend zao, sio wame zao kwa hawa wadada wa kileo. Wote chaliiii. Msimamo mkali wa mwanaume tangu enzi na wala ndoa hazikuwahi kuvunjika time and time...
  9. JamiiForums Tanzania Wadau niambieni, nitapigaje kura wakati naidai serikali?

    Mimi nafanya kazi za serikali. Nalipa kodi zote, iwe za TRA, NSSF, WCF, OSHA,FIRE, WMA, Weights and Measures, Hali ya Hewa, City Levy, Achana na kodi za maisha kama Fuel Levies, Umeme, Kodi ya Majengo n.k. Wabunge wamepiga kelele kwa niaba yetu lakini ni kama kuongea na jiwe. Wakati huo huo...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati Spika Tulia akisema Hamna Utekaji Wala Upoteaji watu bila Kushuhudia, Rais Samia analiagiza Jeshi la Polisi kuzuia Upoteaji watu !!

    Sasa huyu ndio Rais wa Mabunge !! Huyu ndio Mbunge, Msomi wa Sheria !! Wakati analinajisi Bunge tukufu, Jana Ndani ya Bunge hilohilo Rais Samia akaliagiza Jeshi la Polisi kudhibiti Upoteaji watu!!. Tanzania imefikia hatua ya Kila MTU mwenye Mamlaka anakua Chawa Kwa ajili tu ya Hakikisho...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Alichokisema Lissu wakati anaondolewa kizimbani leo. Asema "Hawatuwezi"

    Wakuu, Yaani Lissu pamoja na kukaa gerezani siku zote hizo lakini ana nuru na anazidi kuwapa wanachama anawaongoza matumaini Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lissu anaondolewa kizimbani
  12. JamiiForums Tanzania Israel imefanya pigo kubwa katika sehemu nyeti za IRGC.Akiwa amelegea, sasa ni wakati wa wana Iran wamrudishe simba wa uajemi katika bendera yao.

    UTAPELI WA ITIKADI KALI: IRAN YA UKWELI: Majenerali chali Nyuklia chali Mifumo ya kifedha chali Mitambo ya silaha chali Wanasayansi wa nyuklia chali Trust ya wananchi chalii
  13. JamiiForums Tanzania Natamani mh. Rais ayatamke haya wakati anavunja bunge, na ipitishwe kama utaratibu halali.

    Mbunge wa Jimbo fulani lenye wapiga kura 350,ambayo ndiyo jumla ya wapiga kura wake, wenye vitambulisho vya kupigia kura halali, endapo hawataridhishwa na utendaji wa Mbunge wao basi Watakuwa na nguvu ya petition kwa kutumia vitambulisho vyao vya kura kumngoa Mbunge huyo, endapo wananchi hao...
  14. JamiiForums Tanzania Wakati Kenya wana Gen Z, Tanzania tuna Gen Ziro

    Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu. Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi. Pili, wanajitambua wakati sisi. hatujitambui wala kutambua wengine. Tatu, Wakenya wanajua wanachotaka kama...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yawanasa na kuwaweka mbaroni wairan.700 kwa kushirikiana na Mossad wakati wa mapigano ya siku 12 na Israel

    Iran arrested 700 people accused of wartime ties with Israel, state-affiliated media says By Reuters and ToI Staff Today, 7:30 am Share 1 Iran has arrested 700 people accused of ties with Israel during the 12-day conflict, the state-affiliated Nournews reports. Iran has executed a number of...
  16. JamiiForums Tanzania Iran yatoa Masharti, wakati Trump akidai kusitishwa kwa mapigano

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Seyed Abbas Araghchi, ameweka ujumbe hivi karibuni kwenye mtandao wa X akisema kwamba ikiwa Israel itaacha "uchokozi usio halali" Iran "haina nia ya kuendelea kujibu". Araghchi alisema Israel lazima isitishe mapigano ifikapo 04:00 saa za eneo, ambayo imepita...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wanaharakati kufungua kesi dhidi ya serikali juu ya kukamata mali zake kwa utekelezaji wa hukumu

    Habarini, Hili limekuwa janga kubwa wananchi wanaidai serikali halafu serikali haijali pamoja na waanchi kushinda kesi mahakamani. Viongozi wa serikali wanafuja pesa za serikali kwakununua maV8,posho,nk wakati wanadaiwa na wananchi. Hii haiingii akilini kabisa linapaswa kupingwa mahakamani vikali.
  18. JamiiForums Tanzania Ndani ya miezi takribani 19, Israel imepigana vita na nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Wakati Israel ina watu 9,523,978 tu

    Tangu shambulizi la Hamas kule Israel October 7, 2023. Israel imepigana vita na takribani nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Nchi ni: 1. Palestine yenye jumla ya watu 5,589,623 2. Lebanon 5,848,354 3. Iran 92,417,681. Wakati Israel yenyewe Ina jumla ya watu 9,513,978. Yaani ni sawa...
  19. JamiiForums Tanzania Ifike wakati jeshi la polisi Tanzania lione aibu

    Haya ndiyo matumizi mabaya ya mitandao?👇👇
  20. JamiiForums Tanzania Je, tupo kwenye dakika za lala salama unabii wote wa biblia umeshatimia ?

    Kulingana na unabii kulikuwa na falme nne katika danieli 7 zilizotabiriwa kuwa baada ya hizo ufalme watapewa watakatifu na ndipo mwisho wa dunia. wafalme hao waliotabiriwa ni babeli, umedi na uhajemi, uyunani na rumi. je, tawala hizi zina uthibitisho na ushahidi wa kihistoria nje ya biblia ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…