Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).
Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC.
Nitarudi na...
Wote tunajua. Chaguo la mgombea mwenza lilikuwa Dk Hussein Miwnyi. Lakini baada yachaguao lake Bernard Membe kupigwa chini, akalazimisha mtu wake yaani Samia apitishwe kuwa mgombea mwenza ili kumbana hata kumshughulikia Magufuli kama walivyofanikiwa kumuondoa. Hayo tuyaache. Kikwete kashinda...
Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu
Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili
Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k.
wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
china
cuba
hai
hofu
kujiandaa
kutoka
kwasababu
marekani
muungano
nchi
nyerere
sababu
shinikizo
uhuru
uhuru wa zanzibar
urusi
ushawishi
vita
waingereza
wakati
wamarekani
wenzake
zanzibar
Anachokiongea huyu Muhsin Ussi ni upumbavu mtupu kwa wakati huu tuliopo. Hii haimsaidii Rais Samia zaidi ya kuongeza hasira kwa wananchi. Yeye Muhsin anavyosema atashughulika na watakaomkwamisha Rais ni kwa kutumia mamlaka yapi aliyo nayo? Yeye ni chombo cha dola? Muhsin ajue hata wanaCCM wengi...
Tanzania ina historia ndefu ya ushirikiano wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo kupitia mashirika yenye misingi ya kijumuiya na kidini. Mbali na mchango wa makanisa binafsi katika jamii, kuwepo kwa mashirika kama Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC)...
TAFAKURI YA TAFAKARI YA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA (TEC)
ILILOTOLEWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15 TAREHE 2025
Mwandishi,
H.M Mponda (Msema Kweli)
MA, Digital International Relations & Diplomacy
Mtanzania Mzalendo.
Utangulizi.
Ndugu Watanzania wenzangu, panapotokea jambo zito katika taifa ni...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, aliwahi kuzungumza kuhusu maridhiano akibainisha kuwa wanasiasa wanaotawala wanataka tuwe na upendo na turidhiane. Hata hivyo, aliongeza kuwa wakati huo huo, waliofanya uhalifu waziwazi badala ya kuchukuliwa hatua, wanapandishwa vyeo. Maneno haya...
Wapo wapi "Mystic figures" wa Kitanzania wakati huu?. Yapo wapi mafundisho na mafunzo ya kujitambua badala ya kutambulishwa? Wapo wapi watu watakaosaidia wasijua kusudi la uwepo wao kulijua kusudi hilo kama anavyofanya Sdhguru India?. Je tuna tayari wa kuwasikiliza?
Wapo wapi watu watakaofunua...
Sote ni mashahidi maandamano ya Oct 29 yamesababisha vifo vya raia wengi na police. Sote tuna majonzi. Kwann Bado activist wanataka tuandamane December 9 ilhali wanajua kwa vyovyote vile serikali haiwezi kupinduliwa kirahisi. Yaani mnataka kupindua serikali lakini kufa hamtaki. Kama mnataka...
Za ndani kabisa, zinasema sura ya mzee Warioba na ile ya mama hazisomani, hivyo mzee kapigwa detention.
Ndiyo maana mzee huyu haonekani katika shughuli na hafla zote za serikali.
Tarehe 9 .12 tukamboe huyu mzee wetu.
Rais Samia amesema ataunda tume ya maridhiano na upatanishi na kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba baada ya kujua kiini cha vurugu kwenye uchaguzi mkuu.
Wakati mauaji ya Tiananmen ya Juni 4, 1989, yalipokuwa yakitokea nchini China, nilikuwa Darasa la Sita katika Shule ya Msingi ya Kigoma. Sikuiona kwenye TV kama wengine kwa sababu hatukuwa na TV nyumbani. Nilisoma kuihusu baadaye sana, na nimesoma tena makala kuihusu katika siku 10 zilizopita...
Kwa yaliotokea iwe funzo kwa wote wanaopenda kuharibu miundo mbinu kwa malengo ya kiasasa, ni upumbavu kuchoma miundo mbinu ambayo unaitumia wewe mwenyewe
Sikuandika kitu mara baada ya uchaguzi japo nilishuhudia kilichotokea. Kuna makosa kadhaa ambayo CCM wanayafanya ili ku-justify yaliyotokea niwaambie vijana wa CCM Mkae kimya maana mnajiharibia katika siasa za kimataifa. Na ninaamini wengi mnapenda kuja baadae kufanya siasa za kimataifa ili...
https://youtu.be/B1QPlZM3_og?si=GqpjmHKa1Z6nkMB6
Wameanza kutajana wao wenyewe na kutoa Siri walizodhania ni siri;
Shirika la habari la Ufaransa (AFP) limeongea na baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya serikali ya Samia na CCM na kufichua Siri kuwa, maelfu miili ya halaiki ya waliouwawa...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka watumishi wa umma katika wilaya hiyo kuendelea kutoa huduma kwa wananchi licha ya changamoto zilizojitokeza baada ya baadhi ya ofisi zao kuharibiwa.
Akizungumza wakati wa kufanya tathmini ya maeneo yaliyoharibiwa, Mpogolo alisema kuwa Serikali...
Tulia Ackson hatakiwi tena kuongoza IPU wakati kashidwa Tanzania!
https://www.ipu.org/about-ipu/structure-and-governance/president
Tuandike barua atolewe huko na kuacha unafiki
Watoto wetu waliokua wanapambania kesho yao dhidi ya mfumo kandamizi mmewapa kesi za uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya gari ya kifahari sawa sisi tunaendelea kuona mwisho wenu utakuaje hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho