Nikiangalia kwenye kioo,
Sura, Ngozi ilivyo, macho, kifua unaona kabisa you are real blessed.
Ukifika mbele za watu unakuta wanakupa attention tena kama wanaume ndio wanakua hawajiamini kabisa.
It is good feeling to look at yourself and say “ yah, am blessed”