Unaponunua umeme unakatwa Kodi ya Ongezeko la Thamani ambayo ni Asilimia 18 ya pesa uliyotoa, kisha TANESCO wanakukata 1% wanasema ni hela ya EWURA, baada ya hapo . TENA unakatwa 3% eti pesa ya REA.
Je, kwa nini mlaji anaigharimikia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na...