Kuna mambo yanaumiza Sana, wanatangaza tender, mnaomba tena mnalipia, unapewa KAZI unaambiwa ukaanze KAZI.
Unakopa, unafanya KAZI zao, wanakuja wanakagua, wanakwambia maandalizi ya Interim payment certificate (IPc), unaenda unasaini ili ulipwe uendelee na KAZI iliyobaki.
Subutuuu hakuna hata...