Nimeweka hela kwa wakala nmb, mtandao ukaonyesha uko chini, akanirudishia hela nikasepa, baada ya lisaa napata sms NMB hela imeingia, wakala hatufahamiani, baadae ananipigia anasema ameangalia statement hela imetoka anataka nimrudishie kwa kumtumia maana niko mbali.
Naogopa naweza kumtumia...