wajinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

    kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25 wawili Wanaopata milioni 20 wawili Wanaopata milioni 15 watatu Wanaopata milioni 10 sita Hao wengine...
  2. G

    MO alishatia Bilioni 20 kitambo na bado anaendelea kugharamika kwa mapenzi ya timu, ni wajinga pekee wanahoji nami nawaelimisha kuwatoa ujinga

    mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ? Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida, timu kubwa kama al ahly zinaiheshimu Simba, Simba ni klabu ya 7 kwenye ranking za Afrika, wachezaji wa simba wana soko...
  3. Watendaji wapigaji na wezi wa Mali za Umma ni kioo cha aliyewateua

    Duniani kokote kule haijawahi tokea kiongozi wa nchi awe msafi kama Pamba then akubali kufanya kazi na Panya. Hiawezekani kamwe. Watendaji wapigaji wanawakilisha kisawasawa tabia ya alie wateua. Historia ya Raisi San Abach inaonyesha kwamba hata watendaji wake walikuwa ni wapigaji vibaya mno...
  4. D

    Usidhani wenzio ni wajinga!

  5. Dhana ya "kusaidiana" maisha na mwanamke katika utafutaji ni ya wanaume dhaifu na wajinga sana

    Peace be upon you all, Siku za hivi karibuni kumeibuka dhana ya wanaume kutaka kuoa wao wanasema "kuoana" na wanawake wenye kipato na ajira ili "kusaidiana maisha" Aina hii ya wanaume ni wanaume dhaifu both mentally and physically oooh wait hata spiritually ni dhaifu na magoi goi. Tangu lini...
  6. M

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Habari wadau Binafsi nashangaa sana watu hasa wasomi wenye smartphone wanaoamini story za ushirikina zama hizi Ukweli ni kwamba ukijipa muda wako kujifunza zaidi kuhusu cognitive science and psychology, Human psychology na Science of Emotion ilivyo. watajua ukweli mwingi sana wa ubongo...
  7. L

    Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

    Ndugu zangu Watanzania, Kama mlivyosikia ya kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya mabadiliko...
  8. Kuna baadhi ya Vijana wa Chuo ni wajinga sana

    Kuna rafiki yangu mmoja ambaye si Mtanzania anaishi Marekani, Boston state! Huyu jamaa kiasili ni Msweden ambaye anaishi huko Kwa Joe Biden, mimi na yeye urafiki wetu ulianza miaka mingi kidogo baada ya kukutana mkoani Arusha kwenye ishu moja hivi, kuanzia hapo tukawa kama ndugu!. Sikutaka...
  9. T

    Binadamu na Pesa, Wajinga ndiyo waliwao

    Binadamu Kila kukicha ni kutafuta pesa tu! Uhai autafutwi, kwani kuishi ni bahati tu bali kufa ni lazima, iwe unapenda au haupendi utakufa tu! Hakuna mwenye uhalali wa kuishi milele hapa duniani Kila mtu ni marehemu mtarajiwa. Pesa ndio Kila kitu humu duniani ISIPOKUWA UHAI TU! Hata uwe...
  10. Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

    Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo...
  11. Kundi jingine linalojumuisha watu wajinga ni mashabiki wa mpira wa miguu

    Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana. Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya...
  12. Kama tukiendelea kuamini kwamba huu mgawo wa umeme ni halali basi tutakuwa ni wajinga sana

    Nisikuchoshe Ni Dunia ipi au nchi Gani umewahi kusikia matengenezo ya umeme ya muda mrefu kiasi hiki? Ni wapi umewahi kuona umeme unawaka kila dakika Tano unazima? Kwanini mgawo huu ni mkali kiasi hiki? Kwanini bwawa halikamiliki kwa wakati? Sikuwahi kufikiri kwamba waziri wa nishati ni...
  13. D

    M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
  14. PreGE2025 Ubadhirifu: Huu ni Msafara wa Makonda, baadaye anapanda Punda halafu Wajinga wanamshangilia

    Hebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya, tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga . Kiukweli hii Nchi aliyeipiga Jini ana roho mbaya sana ! yaani kailoga kikatili sana ! Msafara wake ni mara 2 ya msafara...
  15. Uganda: Waziri wa Mambo ya Nje asema Waganda wanaokufa njaa ni wajinga

    Waziri wa masuala ya kigeni nchini Henry Oryem Okello amesema kwamba waganda wanaokufa njaa ni wajinga miezi kadhaa baada ya baadhi ya maeneo kukumbwa na njaa kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, umasikini na ukosefu wa usalama miongoni mwa sababu nyengine. Akizungumza na runinga ya NTV...
  16. Ni taifa moja tu duniani limekuwa na watu wajinga kiasi cha kukubali kutawaliwa na mtawala kutoka nchi nyingine

    Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala. So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi...
  17. Vijana mlio dhulumiwa pesa na TFF gomeni, ikiwezekana chomesheni mechi

    Kuna vukundi vya wahuni wachache wao wakisikia hela wanatetemeka na kugeuka kuwa mashetani. Nimesoma sehemu mbalimbali madogo wakilalamikia kupewa buku 20, msiwe wajinga waonyesheni hamjaenda kunyonyesha watoto maziwa kama wanavyowachukulia. Muwe pamoja, onyesheni umoja kama mnamechi...
  18. Kipindi sijapigwa na maisha, nilidhani kuwa wanaume wanaochapiwa wake zao ni wajinga

    Ndugu zanguni, nataka mjue kuwa kwa sasa napitia kipindi kizito sana. Nimesharudi ofisini mara kadhaa kumuomba boss msamaha ili nirudi kwenye system pasi na mafanikio Nilifanya kosa gani? Wiki mbili nyuma ilikuwa ni siku ya Birthday yangu, hivyo nikaandaa party kubwa sana kwa ofisi na...
  19. F

    Hakuna mganga wa kienyeji mkweli wote ni matapeli, kurogana hakupo, wajinga ndio waliwao

    Habari wadau. Hajua kuna watu wengi wanaamini wapo waganga wa kienyeji wa ukweli. Uhalisia waganga wa kienyeji wote ni matapeli. zama hizi za information era. ukienda kwa mganga wewe ni mjinga https://www.youtube.com/watch?v=3fk5Jq5sHhs&t=361s
  20. Wanambeya, mtakuwa wajinga kutomchagua tena Spika Tulia

    Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU. Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla. Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…