Kuna huyu Lema ambae amekuwa na tabia ya ovyo haswa pale ambapo anaona hapati sapoti aliyokuwa anataka apate.
Ni ukweli ulio wazi kuwa anayo elimu ndogo sana baada ya kushindwa kujiendeleza kielimu pale alipofeli kidato cha nne b,hata hivyo kwa elimu yake hiyo ndogo hastahili kuwa na ujinga wa...