Kwa Nini Waziri Mkuu Lazima Awe Karibu na Wananchi? Mtazamo wa Kikatiba
Anaandika Thomas Joel Kibwana, Mchambuzi wa Siasa
Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya wabunge na wanasiasa wa upinzani wamejitokeza kuhoji mantiki ya ziara za Waziri Mkuu zinazolenga kusikiliza na kutatua kero...