wajawazito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    PostGE2025 Wasira anadai mauaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na waliuawa hadi watoto na wajawazito

    Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito. kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama mbali na hayo mauwaji yaliyo fanyika hayakulenga wahalifu bali watoto na wanawake ambao hawakuwa...
  2. Heparin

    SI KWELI Folic Acid si salama kwa Wajawazito, wanashauriwa waache kuitumia

    Nimekutana na hii video ya mtu mmoja ambaye ni Fitness trainer, anashauri wanawake wajawazito wasitumie Folic Acid maana itawaletea matatizo kwa baadae. Nimeogopa sana aisee. Ujumbe huu ni sahihi kweli?
  3. BigTall

    DOKEZO Kujifungua kwa upasuaji Muhimbili ni anasa kwa wajawazito? Gharama ni ghali

    Kama tunavyojua, mara kadhaa tumekuwa tukiwasikia baadhi ya wanasiasa wakidai kuwa wajawazito wanajifungua bure. Kauli hizi zimekuwa zikizua mijadala mikubwa kuhusu uhalisia wake, hasa ikizingatiwa kuwa bado kuna gharama mbalimbali zinazotozwa kwa maelezo kuwa ni michango ya huduma. Hata hivyo...
  4. Pdidy

    KERO Barabara ya Saranga, Kibamba ni mbovu sana na kero kwa mwananchi. Mamlaka saidieni kurekebisha miundombinu

    Kwanza niwape pole wana saranga Kibamba. Mungu awasaidie mfike mbingun bila maswali. Leo nilienda kumchukua mke wa bro anakaribia kujifungua akae karibu na home yeye yuko huko Congo Ile barabara nilipita mwaka jana hakika niliandika humu nani mbunge wa Kibamba, njia inasikitisha sana wapendwa...
  5. E

    Wizara ya itoe muongozo kama huduma kwa wamama wajawazito ni bure au ni malipo

    Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nawaslaimu raia wenzangu.Waziri wa afya mchengerwa tunaomba majibu juu ya huduma kwa awajawazito mkoa wa Kigoma GUNGU hospitali ya kikungu. Hivi huduma ya kujifungua ni bure au? kwani nimepeleka mke wangu kujifungua kwa bahati mbaya hakufanikiwa...
  6. Carlos The Jackal

    GE2025 Suala la Bima ya Afya Watoto, Wazee na Wajawazito ni uongo wa wazi! Ikiwa hadi sasa Watoto, Wajawazito na Wazee wanalipishwa, la Bima ataliweza?

    Ndio sababu kaliita MFUMO WA MAJARIBIO!!. Ipo hivi wakuu, Ile sera yake Watoto chini ya miaka mitano, Wajawazito na Wazee, wasilipie matibabu na blaa blaa. Vipimo wanavyopimwa watoto chini ya miaka mitano Bure ni Malaria, Mkojo, Haja Kubwa, HIV. Vipimo wanavyopimwa Wajawazito na Wazee Bure...
  7. Roving Journalist

    Utafiti – ZANZIBAR: Asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo la Afya ya Akili

    Wizara ya Afya Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imefanya utafiti wa Afya ya Akili kwa Wanawake Wajawazito uliofanywa na kubaini kuwa asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo la Afya ya Akili, huku asilimia 26 ya waliokwisha jifungua pia wakikutwa na changamoto hiyo...
  8. Roving Journalist

    Spika abariki majibu ya Dkt. Mollel kuhusu huduma bure kwa Wajawazito

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, ametoa muongozo akieleza kuridhishwa na majibu ya Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, kufuatia maswali ya nyongeza yaliyoulizwa na Mbunge wa Nanyumbu, George Mwenisongole, kuhusu utekelezaji wa Sera ya Afya ya Mwaka...
  9. S

    Mpina aivaa Serikali wajawazito na watoto kutozwa fedha za matibabu, Serikali yajibu

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amehoji kuhusu watoa huduma za afya katika hospitali za serikali kuwatoza fedha wanawake wajawazito na watoto chini ya miaka mitano, kinyume cha sheria na kuhoji waliruhusiwa na nani kufanya hayo? Swali hilo limejibiwa na Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel...
  10. Just Pray

    NHIF Geita yatoa vifaa vya kujifungulia kwa mama wajawazito

    Serikali inakamilisha Utaratibu wa Kaya zisizokuwa na uwezo kupatiwa Bima za Afya za NHIF ambazo zitalipiwa na Serikali ili Kaya hizo ziweze kuwa na Bima hizo sambamba na kuondoa changamoto na Malalamiko ya wananchi kutoka katika Kaya hizo. Hayo yameelezwa na Meneja Mfuko wa Taifa wa Bima ya...
  11. mimi mtakatifu

    Usafiri wa mwendokasi kwa sasa ni roho mkononi. Vituo vya kupakia abiria ni hatarishi kwa walemavu, wajawazito, watoto, wazee na wagonjwa

    Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
  12. K

    Rais Samia Aleta Mapinduzi Katika Kupunguza Vifo Vya Wajawazito Tanzania, Afrika Yajifunza

    Tanzania inazidi kuwa mfano wa kuigwa barani Afrika kutokana na jitihada zake za kupunguza vifo vya wajawazito. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ameweka kipaumbele katika kuboresha sekta ya afya, hatua ambayo imesababisha kupungua kwa vifo vya wajawazito...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Kalambo kwa kushirikina na TRA yatoa vitenge 200 kwa wajawazito

    Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhi msaada wa vitenge 200 kwa wanawake wajawazito katika Hosptali ya Wilaya ya Kalambo na vituo vya kutolea huduma za afya kama sehemu ya kurejesha faida kwa wananchi. Mkuu wa Wilaya...
  14. Wazolee

    CHADEMA sijui mnafeli wapi? Mnashindwa Nini kununua vifaa vya wajawazito na kuwagawia akina mama bure

    CHADEMA mnafeli padogo sana katika harakati zenu za kisiasa mnadhani kwamba mkiikaba serikali ndio mtafanikiwa serikali Inanguvu sana hamuna uwezo wa kushindana nayo Hivi nyinyi ni wanasiasa gani ambao hamjui kiboko ya serikali ni wananchi tena ni wale wananchi wa Hali ya chini na katika hao...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Heche amchana RC Chalamila, kisa kauli ya mjamzito anayegoma kununua gloves, adai wamejisahu kwasababu ya shibe ya kijinga

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara), John Heche amlipua RC Chalamila kwa kauli yake iliyozua gumzo kuhusu Mama Mjamzito aliyempigia simu na kumweleza changamoto ya ukosefu wa Gloves hospitali. Soma, Pia: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai...
  16. F

    Kuhusu hatma ya RC Chalamila na kauli zake chafu dhidi ya wanawake wajawazito tusubiri ugeni uliopo Dar uondoke

    Sasa sio wakati mzuri mama yupo bize na wageni wanaomiminika Dar kwa ajili ya mkutano wa viongozi wa Africa wa nishati. Baada ya hapo mbivu na mbovu za Chalamila zitajulikana, hasa kuelekea wikiendi.
  17. Wakusoma 12

    Kama mama Samia ameonyesha kwa vitendo kwenye nishati ya kupikia kwanini hawaonei huruma wajawazito wanaotukanwa na wasaidizi wake?

    Ni mambo ya kushangaza kidogo, je tumerogwa? ama tumejiroga? Ni hali ya hatari kwa kweli inakuwaje serikali imetumia pesa nyingi kwenye michezo lakini imeshindwa kununua vifaa vya kujifungilia kina mama? Mkuu wa mkoa wa Dar anaongoza mapambano ya kuwatukana wajawazito kisa tu yeye na familia...
  18. Zanzibar-ASP

    Mjawazito kugharamia tiba: Je kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar ndio msimamo rasmi wa serikali? Serikali itoe kauli.

    Watanzania wamesikia kauli ya mkoa wa Dar, Albert Chalamila kuwa, mjawazito atawajibika kuchangia matibabu na akishindwa aende akajifungulie nyumbani. Japokuwa imetolewa kwa kebehi lakini ni kauli iliyobeba uzito mkubwa ikizingatiwa sera rasmi ya serikali katika sekta ya afya ni mjawazito...
  19. Mkalukungone Mwamba

    Prof Ibrahim Lipumba: Sera ya serikali katika huduma ya Afya ni kuwa wanawake wajawazito watatibiwa bure ni kama danganya toto

    Sera ya serikali katika huduma ya Afya ni kuwa wanawake wajawazito watatibiwa bure ni kama danganya toto. Mfano wa kusikitisha ni wa marehemu Husna Saidi Abdallah aliyejifungua katika Hospitali ya Kivinje, Kilwa. Afya yake ilianza kudhoofika Kwa tatizo la upungufu wa damu na kuvimba miguu...
  20. LoneJr

    Hii ndiyo sababu kwanini wanawake wajawazito hujamba ama kujisikia haja mara kwa mara

    Habari za muda huu wakubwa... Ni jambo la kawaida kabisa kwa wanawake wajawazito kujisikia haja ya kujisaidia choo mara kwa mara. Hii ni kutokana na mabadiliko kadhaa yanayotokea mwilini wakati wa ujauzito: * Homoni: Mabadiliko ya homoni husababisha misuli ya utumbo kufanya kazi kwa kasi...
Back
Top Bottom