waitara

  1. R

    PostGE2025 Mwita Waitara ala kiapo bungeni tayari kuwatumikia wananchi wa Tarime vijijini

    Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja vya bunge Dodoma, ikiwa ni ishara ya utayari kutumikia wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. GE2025 Mwita Mwikwabe Waitara, mwisho wa enzi

    Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017 Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  3. 4

    Yeriko Nyerere umeamua kua msaliti ndani ya chama chako cha awali ambacho kimekufanya kuwa pale ulipo, jitafakari sana

    Leo sina mengi ,ila imani ya Mungu ikawe juu yenu wanajf kila mmoja kwa imani yake. Yupo huyu Bwana aliekua CHADEMA Yeriko Nyerere. 1.Akome jiita Nyerere , maana kwanza sio mtoto wa Nyerere ,maana ukoo ulisha tamka, akihusishwa na yule mwingingine ambae watu wanamlalamikia ( ajifunze kwa ndugu...
  4. M

    Tetesi: Mwita Waitara aitwa kamati ya maadili CCM Tarime

    Siku ya leo Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mheshimiwa Mwita Mwikwabe Waitara ameitwa kwenye kamati ya madili ya Chama wilaya kuhojiwa juu ya tuhuma zinazomkabili. Miongoni mwa tuhuma hizo ni; 1. Kuandaa na kulipa genge la vijana kumzomea Mwenyekiti wa CCM Wilaya akiwa katika majukumu ya...
  5. M

    Mwita Waitara ayatimba, yeye na wenzake watakiwa kumlipa Eliakim Chacha Maswi Tsh bilioni sita kwa kumdhalilisha

    Mwita Waitara(kushoto) akiwa na Eliakim Maswi Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Ndugu Eliakim Chacha Maswi alifungua kesi dhidi ya Waitara baada ya Waitara kumdharirisha kuwa wakati alikuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Manunuzi PPRA alikuwa pale kwa ajili ya kuiba. Ndugu Maswi alimpa...
  6. Mwita Waitara ageuka Mwalimu wa Kubeti Bungeni, adai masuala ya Kubeti yanasomwa Shuleni, atumia mfano wa Simba na Yanga

    Mbunge wa Tarime vijijini ameibuka na Vijana wanao Beti na kusema somo hilo watu wanasoma kutoka shuleni. Amesema hata yeye amesoma darasani kuhusu mambo ya kubeti huku akitolea mfano na karatasi kubwa bungeni.
  7. Wana Tarime waja na Operatio Tokomeza Waitara Tarime (TOWATA)

    Mbunge wa Tarime, Mh. Waitara ni miongoni mwa wanadamu wanaopitia magumu sana jimboni kwake. Waitara hakubaliki sio na wana CCM wala Wapinzani. Na sasa wameanzisha mpango kazi wa kumuondo ndani ya chama chake asigombee tena ubunge. kwa ushauri huyu pamoja na Gambo watafute kazi nyingine za...
  8. W

    PreGE2025 Mzee Wasira anadai Mwita Waitara alikuwa akiwatumia vijana wa Tarime kufanya fujo

    Wakuu huyu mzee wenu bila kuitaja CHADEMA hasikii raha kabisa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishutumu CHADEMA kwa kile alichodai kuwa chama hicho kimekuwa kikiwatumia vijana wa Tarime kama majeshi ya kukodi kwa ajili ya vurugu katika maeneo...
  9. PreGE2025 Mwita Waitara: Sina mpango wa kuachia Jimbo, ila naweza nisirudi Bungeni serikali isipotatua changamoto Tarime Vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema kuwa hatoweza kurejea Bungeni iwapo Serikali haitachukua hatua za kutatua changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji, miradi ya maji isiyokamilika, na hali ya miundombinu ya barabara jimboni kwake. Hata hivyo, Waitara amesisitiza...
  10. B

    PreGE2025 Tarime: CCM yapewa angalizo kupoteza Jimbo la Tarime DC 2025 ikimsimamisha Waitara

    Kada ya CCM Tarime mkoa wa Mara Zakayo Wangwe aelezea kwa kina hali ya siasa Tarime na changamoto iliyopo ikiwa mbunge wa CCM Waitara atapitishwa kugombea 2025 Kada Zakayo Wangwe amesema kuwa kuna makundi ya CCM Halisi na CCM wakuja ya Waitara yanayokinzana na kumlaunu mbunge Waitara ndiye...
  11. Waitara awataka Upinzani wahamie CCM

    Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama. "Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku unazungumza kwa uhuru walioko nje wamechelewa kuja, unamuona Profesa Kitila sasa hivi ni Waziri, Silinde...
  12. Tunapofunga mwaka ingekuwa vizuri kama afande waitara na samuel kiboye wangepatana

    Kuna vurugu CCM Mara ambazo zinasababishwa na watu kukitafuta kiti cha ubunge cha 2025. Kwa hiyo inatokea hali kwamba watu wanatukana,pia hawasiti kushambuliana kwa silaha. Ni jambo baya. Kama alivyokuwa anasema Mhe.Kiboye,"Sisi wore ni CCM,kwa nini tunagombana.?" Nawaomba hawa watu watanzue...
  13. Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  14. R

    Waitara: Wote waliothibitika kuiba fedha za serikali wanyongwe!

    Msikile Waitara akitema cheche hapa Asema watanzania wengi wanaisha maisha ya ufukara sana kiasi cha kushindwa hata kuwalipia ada watoto wao na kwenda kuomba msaada wa kufanikishiwa jambo hilo, akisema watumishi wa umma wote wanasomeshwa na watanzania na wana elimu ya kutosha, na kwamba...
  15. Bodaboda mnanimaliza, hata IGP Wambura hawawezi

    Hii nimeona leo mitaa ya Bunju! Bodaboda kwa sasa jijini Dar ni donda lisilo na dawa. Hata akiiona hali hii IGP Wambura atatamani arudi kozi ya utrafiki CCP, Moshi
  16. K

    Kauli ya Naibu Spika kwa Waitara siyo ya kiungwana

    Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini". Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika. Unapokuwa Bungeni unatakiwa...
  17. Tanzania imekuwa na Wakuu wa Majeshi wengi kwanini waliopewa Magari na Rais ni Waitara na Mboma tu?

    Najiandaa kwenda Msibani ( Mazikoni ) Kijijini Busegwe Mkoani Mara ( Musoma ) kumzika Mzee Mkono na nitapita Kumsalimia na Babu yangu Mzee David Bugozi Musuguri ( Mkuu wa Majeshi Mstaafu ) hivyo naomba nikifika Kwake Butiama nikute nae kapewa Land Cruiser LC 300 Jipya kama walilopewa CDF...
  18. K

    Aliyemtukana Mwita Waitara atumbuliwa Ukuu wa Mkoa Mara

    Mhe. Rais nimekushukuru kwa kumtumbua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Binadamu tunatakiwa tuwe na utu, upendo, mshikamano na weledi katika utendaji kazi za umma. Mhusika aliyetumbuliwa ajifunze kwa matamshi yake na afahamu kuwa watu wa Mara ni waungwana, wapenda watu na siyo wanafiki. Karibu...
  19. Huku kulialia kwa Waitara ni 'Presha' za Uchaguzi Mkuu 2025

    Mjadala umeibuka kuhusu tabia ya Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara kulia kila anapopata changamoto za utatuzi wa kero zake za kibunge, ambapo baadhi ya wanasaikolojia na wataalamu wa sayansi ya siasa; wakitilia shaka mtindo huo. Hata hivyo, akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 10, 2023...
  20. Waitara ahamasisha wananchi kuigomea serikali Wilayani Tarime

    Waitara akihutubia mkutano wa hadhara Wilayani Tarime ameonekana akizungumza kwa jazba huku akiwaeleza Wanachi mambo mbalimbali. Akiwa katika mkutano huo Waitara alisema: "Muda wa kubembelezana sasa umeisha, siku ile mliniona nalia nilikuwa natoa sumu. Siku ile ningekuwa hapa leo tungekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…