waislamu

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. kyagata

    Sisi Wakristo huwa ni wachoyo sana kwenye sikukuu zetu ukilinganisha na Waislamu

    Kwema wakuu? Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu. Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi, tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian. Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia...
  2. L

    Waislamu wenyeji na wageni nchini China wakaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Ramadhan ni mwezi wa Baraka kwa Waislamu wote duniani. Katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhan, Waislamu wanafunga na kusali ili kuomba msamaha kwa Mungu wafutiwe dhambi zao. Kawaida kila mwislamu duniani anajiandaa mapema kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Waislamu wa China nao...
  3. safuher

    Uislamu haujakataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani, siungi mkono wasio waislamu kuzuiwa kula mchana

    Habarini za kutwa nyote. Naomba niseme kwamba katika dini yetu ya uislamu hakuna pahala mtume kamkataza asiyekuwa muislamu kula mchana wa ramadhani. Na wala hakuna pahala qurani imekataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani. Na wala hakuna sehemu wakati wa mtume imeonesha kwamba...
  4. Kiboko ya Jiwe

    Kuna Dada anauza uji soko la Stereo, leo kapigwa marufuku kwa kuwa ni msimu wa Ramadhani

    Habari! Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani. Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke. Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa...
  5. I

    Kwa waislamu wenzangu, naombeni mnisaidie hukumu ya kusema uongo

    Naam uzi huu naulenga kwa waislamu wenzangu. Je kwa anaefahamu, ipi ni hukumu ya kusema uongo, mtu afanye nini kujitakasa na dhambi iyo baada ya kua ameshaitenda na hawezi badilisha matokeo ya uongo huo?
  6. BAKIIF Islamic

    Kwetu sisi waislamu, tunaamini umasikini ni dalili ya kiama

    Inafahamika kuwa umasikini ni ukosefu wa chakula, makazi, mavazi, huduma za afya na mahitaji mengine ya msingi kwa sababu ya kipato duni. Licha ya fursa zinazopatikana kutokana na maendeleo ya teknolojia, umasikini hivi leo ni moja kati ya matatizo makubwa kabisa yanayoukabili ulimwengu. Katika...
  7. LIKUD

    Sababu za kimaandiko kwanini baadhi ya waislamu wanao miliki nyumba Magomeni Na Ilala huwa hawapangishi wakiristu ( Hasa Hasa walokole)

    Nimetaja Magomeni Na Ilala kwa Sababu almost 90 percent of my extended family live there. Awali ya yote naomba Ku declare interest. I am a Muslim but an open minded one . Am a kind of Muslim who can listen to Jim Reeves or Boney M bila wasiwasi wowote. Na HII ni Kwa Sababu licha ya...
  8. Linguistic

    Viapo vya Mawaziri ambao ni Waislamu ni batili kisheria

    Wakuu Habari ya Wakati. Katika Kesi ya Hamis Jongo&41 other vs. AG na TRA Jaji Wa Mahakama Kuu (Mgonya J Anazungumzia na Muislam Kushuudia (Affirmation) na Mkiristo Kuapa(oath) Jaji kwenye maamuzi yake alisema Kwamba Kwenye Kiapo Chochote Kile Muislam Hapashwi Kusema Naapa (oath) Ila atasema...
  9. Mama Debora

    Waislamu wanatubeba sana!!

    They dominate and represent Tanzania in many aspects of life: 1. Football 70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players. [UPDATE from DeepPond]: Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa. Yanga inadhaminiwa na GSM. Simba inadhaminiwa na Mo. Not to mention the likes...
  10. YEHODAYA

    Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  11. T

    Mahusiano ya kidugu ya Watanzania: Kanisa la kwanza Tanzania lilitolewa kiwanja na Waislamu

    Sio tu Tanzania, ni kanisa la kwanza Afrika Mashariki. HOLY GHOST CHURCH KANISA KATOLIKI BAGAMOYO, TANZANIA LILIJENGWA 1872 Wakiongozwa na Sultan Majidd binafsi, Waislamu wa Bagamoyo waliwagawia kiwanja Wakristo wajenga kanisa mwaka 1868. Lilijengwa na wamishenari wa Kifaransa na kukamilika...
  12. Komeo Lachuma

    #COVID19 Sheikh Farid Mussa aibuka na Msimamo wa Waislamu Juu ya Chanjo na Imani ya Kiislamu

    Hapa nazidi kuchanganyikiwa. Natizama, nasikiliza nasema hiiii. Wanatimiza matakwa ya kikatiba. But wito wangu ni kuwa sawa ni matakwa ya kikatiba na Imani yao lakini nendeni mkachanjwe wadau. Nendeni please. Msije mkafa mkatuacha tumebaki wachache.
  13. Miss Zomboko

    Lamu: Viongozi Wataka Wanawake Waislamu Wapigwe marufuku Kupanda Bodaboda

    Wanadai wanawake Waislamu hukiuka sheria za dini hiyo wakati wanaabiri bodaboda kwa sababu baadhi ya sehemu za mwili wao ambazo ni siri hubaki wazi. Viongozi hao walisema shera ya dini hiyo hairuhusu mwanamke kukaribiana na mwanamume ambaye si mume wake. Wazee na vijana wa Kisomali walikuwa...
  14. Chief Wingia

    Hakika Waislamu wana gharama na taratibu rahisi sana katika masuala ya ndoa

    Asalamu alaykum wanajukwaa pendwa la MMU natumai wote mubuheri wa afya. Awali ya yote niwape hongera za dhati Waislam kwa utaratibu mzuri kuanzia kwenye posa yaani kuchumbia, ndoa na sherehe ya ndoa. Nimeshuhudia haya kwa majirani, marafiki, jamaa na wafanyakazi wenzangu. Tukianza na...
Back
Top Bottom