waislamu

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu awalalamikia China, Qatar na Jamii ya Waislamu kuwa sababu ya Israel kutengwa

    Netanyahu says Israel 'in isolation', blaming Qatar, China and Muslims in the West Prime minister says Israel will be 'Athens and Super Sparta', as he admits it would need to develop its own arms after global embargoes Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu speaks to members of a...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Waarabu waliona msaada wa kuwapa waislamu wa Africa ni tende na mafuta ya miski?

    Hii ni dharau kubwa Ifike pahali misaada ya namna hiyo ikataliwe! Kule bukinabe jamaa alikataa misaada ya ujenzi wa misikiti akawaambia wajenge shule hospital na viawanda wakauchuna.
  3. Selwa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania wakristo kwa waislamu wote tuingie Mfungo kuombea nchi

    Mimi sio mtu wa siasa sana, wala sio mtu kanisa sana. Nimeona wachungaji wengi wakinena kuombea nchi hadi kanisa katoliki wamefunga novena kuombea haki na amani na kwa kweli nilikua naona maigizo tu. Naipenda nchi yangu, na hata kama nilikua naitetea mno serikali hii ya huyu mama nikiamini...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Je, Azam FC ni timu ya Waislamu tu? Mbona uongozi umekaa kidini

    ISLAMIC FOOTBALL CLUB
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Majumba marefu huko Gaza yanaporomoshwa na nashambulizi ya IDF!!

    Majengo marefu huko Gaza leo hii yameangamizwa baada ya uchunguzi kuonyesha yana kamera Zinaowasaidia magaid wa hamas kuyashambulia majeshi ya Israel. Baada ya janja ya magaidi wa hamas kujulikana majengo hayo yameangamizwa bila huruma Sio lazima kupenda picha za uharibifu. Lakini kile ambacho...
  6. Engager

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislamu. Kivipi Nguruwe ni haramu kwenu ingali Ngamia mnakula?

    Mimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4) Mnyama wa kwanza kabisa aliyetajwa kwenye biblia kuwa najisi na hafai kuliwa wala mzoga wake kuguswa ni...
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu na Waumini wa Dini nyinginezo zote tuwe na Umoja na Upendo, Matendo maovu aliyofanyiwa Sheikh Njuki yasijirudie tena

    Ndugu zangu Waislamu na Waumini wa Dini nyinginezo zote tuwe na Umoja na Upendo, Matendo maovu aliyofanyiwa Sheikh Njuki yasijirudie tena Nguzo kuu ya kudhihirisha wema na utu pamoja na ukomavu wa binadamu ni Msamaha, Upendo na Mshikamano Kamwe yeyote yule asifanye uovu wa kumtendea mwenzake...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwanazuoni wa Kiislam kutoka Palestine: "Mwenyezi Mungu anawaruhusu wanaume Waislamu kuwabaka wanawake wasio Waislamu ili kuwadhalilisha"

  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hapo Kabla Waislamu na Mtume walikuwa wanaswali wakielekea Uyahudini (Yerusalem) Mpaka aliposhusha Aya

    Awali, Waislamu walikuwa wakiswali wakielekea Bayt al-Maqdis (Jerusalem). Baadaye, Qur’ān ikateremsha amri ya kubadilisha Qibla kuelekea Kaaba: Baadaye allah aliona wanaswali wakiangalia Mbinguni na yeye hayupo huko, akaona wana angalia Jerusalem kwa Mungu wa Kiyahudi. Muhammad akapata wahyi...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Uasili wa vazi la kanzu linalovaliwa na Waislamu wengi duniani

    Haya ni sehemu ya maelezo muhimu ya uasili wa uvaaji wa vazi la Kanzu. 👇
  11. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanasheherekea nini leo?

    Naona wanafanya chanting toka asubuhi mpaka sasa hivi. Au ni msiba wa yule Sheikh aliyetoka Kuhiji akapata ajali ya gari yeye na mke wake?
  12. hamis77

    JamiiForums Tanzania Waislamu kuweni wavumilivu

    MUISLAMU: USIKALIE MATUSI Ambayo yanakupeleka jehanam Kuukosoa Ukristo mlianza ninyi pale Mnazi mmoja hasa mwaka 1996 ambapo Mazinge alikula kofi zito kwa ahadi yake mwenyewe. Baada ya hapo mkaanza kufunga spika hadi karibu na makanisa. Mkasilimisha Wakristo wasio na ufahamu. Mwaipopo naye...
  13. U

    JamiiForums Tanzania BAKWATA: Maulid Kitaifa yatasomwa siku ya Alhamis 04/09/2025 Korogwe Mjini. Mgeni rasmi ni Rais Samia

    Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania, (BAKWATA), limewatangazia Waislamu na wananchi wote kwa ujumla kwamba Maulid Kitaifa yatasomwa siku ya Alhamis tarehe 04/09/2025 usiku katika uwanja wa Shule ya Msingi Mazoezi Manund, Korogwe Mjini mkoani Tanga. Baraza la Maulid litafanyika siku ya Ijumaa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

    “Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi" "Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Emaus Mwamakula unakosea kutoka na andiko lako la hivyo Facebook,kwamba hao mashekhe ndiyo wamebeba agenda ya waislamu wote? Andiko la hovyo

    JE, WAISLAMU WAMPIGIA KAMPENI SAMIA? Andiko hili la Emaus Mwamakula ni la hovyo kabisa!!!!!! Why amegenerilize? Viongozi wa wote wa Dini ya Kiislamu kutoka nchi nzima [Tanzania Bara?] wamekusanyika muda katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es katika 'Kongamano la Amani Kuelekea...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Musa wa waislamu alitiwa aibu na Allah kwa kukimbia uchi mbele ya watu na kuanikwa kila kitu ili aache kukejeliwa

    Musa wa kwenye uislamu alikua mwoga mwoga ambaye siku zote alijisitiri mwili wote kwa nguo, hadi Waisraeli wakawa wanamsema kuwa ana ukoma au maradhi fulani ya ngozi, sasa ili mungu wa waislamu aonyeshe kweli jamaa hana matatizo ya ngozi, akasubiri siku moja Musa anaoga, alipomaliza na kwenda...
  17. Spectophotometer

    JamiiForums Tanzania Waislamu wameaswa kuendelea kuwaheshimu na kuhifadhi heshima za viongozi wao

    Dar es Salaam – Waislamu wameaswa kuendelea kuwaheshimu na kuhifadhi heshima za viongozi wao katika dini na jamii kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Sheikh Ilyasa Jamaa alipokuwa akihutubia swala ya Ijumaa waumini katika Msikiti wa Markaz Omar ibn al-Khattab uliopo Kariakoo, mkabala na makao...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ndg zetu waislamu kwani Adhana ni lazima?

    Ndg zetu waislamu bila adhna asubuhi hamuwezi kuamka na kuswali au hata Ile mida y mchana kwamba Hadi mkumbushwe miaka na miaka? Yaani hata kuweka alarm ya kuwaamsha kwamba muda wa swalaa umefika mkaswali ni hamna? Mkumbuke hata Ile lugha mnayotumia wengi wetu ni sawa na kelele tu maana...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

    Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine. Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto. Nimekuja lodge...
  20. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Wakristo, waislamu, na wapenda HAKI wote kesho tuungane na Wakatoliki katika SALA NZITO ya kuombea taifa

    Tumsifu Yesu Kristu ...kama ambavyo Mwashamu Baba Askofu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, alitoa tangazo hili lilionea duniani kote kwa Wakatoliki wote na watanzania wote Duniani kote kwamba kutakua na Sala maalum kuombea taifa hili HAKI na AMANI kwa siku tisa mfululizo, Mungu ashuke naona...
Back
Top Bottom