waislamu

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Je upo ushahidi Nyerere aliwasaliti Waislamu, Je yapo makubaliano yeyote ya maandishi waliyoingia baina yao kabla ya uhuru

    Wenye ilimu karibuni
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Vichekesho vya Afrika: Waislamu wote wanadai Iran itashinda, Wakristo wanadai Israel itashinda.

    Wa Afrika mmerogwa na nani? Mmeshindwa kubaini wasio julikana wanaowateka na kuwaangamiza ndugu zenu mnakaa kusimuliana hekaya ambazo hata haziwahusu. Kama haitoshi miaka nenda rudi ndugu zenu wa Congo wanaishi kama digidigi lakini hakuna anayejali. Natamani kuwaita kenge weusi nyie sema JF...
  3. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mikoa au wilaya ambayo waislamu ni wengi kuna ustaarabu mwingi sana? No vibaka,wizi,mauaji n.k

    Nimejiuliza sana Aisee sijui kwanini mikoa Mingi ambayo waislamu ni wengi imestaarabika sana kuzidi ile mikoa ambayo ni dini nyingine ndiyo wengi? Mikoa mingi ambayo waislamu ni wengi kuna vitendo vichache au hamna vya vibaka,wizi,ujambazi l,mauaji ya wanandoa au ndugu hamna kabisa Aisee na watu...
  4. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini waislamu wengi ndiyo wajanja wa nchi hii?

    Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa...
  5. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini waislamu wengi ndiyo wajanja wa nchi hii?

    Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa...
  6. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kwani waislamu ndiyo wenye hatimiliki ya mpira wa Tanzania?

    Waislamu ndiyo wenye hatimiliki wa mpira wa Tanzania? Mbona wakristo ni wachache kwenye vile vyombo vinavyoongoza mpira kwenye nchi hii kwa maana TFF aisee na hizi timu mbili za kariakoo Simba na Yanga viongozi wake wengi au karibu wote ni waislamu Kwenye uchaguzi huu wa TFF watia nia wa...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Je, Waislamu wana Allah wangapi?

    KUMBE WAISLAM MNA ALLAH WATATU " WAISLAM NYIE MNA MA-ALLAH WANGAPI? Hebu rejea kwenye Kuran kwanza: Suratul Anbiyaa 91. Na mwanamke aliye linda uke wake, na TUKAmpulizia katika roho YETU, na TUKAmfanya yeye na mwanawe kuwa ni Ishara kwa walimwengu. Ndugu zanguni, Allah ameanza vituko vyake...
  8. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kassim Mafuta awaasa Waislamu kuilinda amani ya Nchi

    Sheikh Kassim Mafuta awaasa waislamu kuilinda amani ya nchi. Waislamu nchini wameaswa kuilinda amani ya nchi na kuwakataa wale wote wanaohamasisha fikra za uvunjifu wa amani kwa sababu na visingizio vyovyote sawasawa watu hao watakuwa viongozi wa dini au viongozi wa kisiasa. Hayo yamebainishwa...
  9. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Waislamu washauriwa kufuga nguruwe ili kujikwamua kiuchumi

    Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako...
  10. Tanganian

    JamiiForums Tanzania Je , wakristo wakafundishwa chuki dhidi ya waislamu wote bila ya kutambua?

    Habari wajameni, Nimekuwa nikijiuliza swali hili wala sipati jibu : kwa kawaida anapotokea shekhe katoa msimamo wake binafsi katika maswala ya kijamii bila hata ya kunukuu kwenye vitabu vya dini basi watatukanwa waislamu Dunia nzima ..Mbona maaskofu wanatamka ujinga kama Mwamposa ,kuna Hananja...
  11. tpaul

    JamiiForums Tanzania Waislamu na Wakatoliki mko wapi Askofu Gwajima ananyanyaswa?

    Wakuu naingia moja moja kwenye mada bila kuwachosha. Nawashangaa sana Wakatoliki na Waislamu kwa kukaa kimya hadi sasa huku askofu Gwajima akinyanyaswa bila wao kukemea wala kutoa tamko lolote kuhusu serikali kufunga Kanisa la Ufufuo na Uzima kihuni na bila kufuata utaratibu. Walichokifanya...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hiki walichofanya Saudi Arabia ni tusi kubwa kwao na kwa waislamu wote duniani

    Tuliposikia kuwa ujumbe mzito wa Saudi Arabia umekwenda Iran kuonana na akina AyatoLllah,tulifurahi na kupata tamaa kwamba sasa waislamu wameanza kuwa wamoja hasa ukijua mataifa hayo mawili kila moja lina nafasi yake kubwa katika ulimwengu wa kiislamu kidini,kisiasa na kiuchumi. Ujumbe huo...
  13. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Mada za majini yanafugwa na waislamu ni Afrika tu, nimetazama horror movies nyingi za USA sijawahi ona jini lina jina la kiarabu

    Kama mfatiliaji WA movies za kizungu hasa za kutisha utakubaliana namm kwamba huu mtazamo WA majini yanafugwa na waislamu upo Africa tu kwenye wajinga wengi wafia dini lakini uko Kwa wazungu majini ni viumbe kama viumbe wengine havihusian na dini yeyote Ile. Kuna horror movies nying sana ambazo...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Waislamu ni Walalamishi, wanafiq na wapo Disorganized

    Huyu muda si muda ataanza pigwa mawe au atapatwa na kitu.
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Video: Sheikh Mwaipopo awaombe Radhi Waislamu. Ameanza kukengeuka au anatumika? Hii ni Kebehi kwa Waislamu

    Haya maneno ya kusema Waislamu hawapo organized na ni wanafiki si sawa. Tena anaongea Sheikh Mkubwa kama huyu na Maarufu Duniani. Maana yake nini? Webabu Ritz Adiosamigo gTurn adriz huyu Sheikh avuliwe usheikh wake au apongezwe. Maan anaanza kujisahau na kuonesha rangi yake halisi.
  16. Trainee

    JamiiForums Tanzania Wale mabingwa wa kutukana waislamu na uislamu naomba mkuje pande hii mnisaidie jambo hili

    Kuna watu humu wanawatusi sana waislamu na uislamu wao. Wanawashutumu mambo mazito mazito. Sasa mimi naomba tufanye hivi... Madrasa tunazijua vizuri mitaani na wengine tunazifikia mpaka kuweza kujua hata mafundisho yatolewayo humo. Misikiti kadhalika ni hivyo hivyo Naomba hao watu, kwa moyo...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna sheikh mmoja huko Kenya Izudin baada ya sakata la Kenya na Tanzania anasema wanaharakati waache ila anajisahau kudai haki za Palestina

    Hata Idd Amin alitaka haki kwa kuwafanya wajinga waislamu. Huyu anakwambia wanaharakati wanamakosa ila hapo hapo ndio mtu wa kwanza kulalamika palestina na waislamu wanaonewa. Alitaka wanaharakati majini au
  18. hamis77

    JamiiForums Tanzania Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin Wana muhujumu Ibrahim Traore

    Waislamu ni rahisi kutumika kwa maslahi ya wakuu Ona sasa Traore ambaye ni muislamu mwenzao wanamshambulia. Juzi magaidi wa Alqaida ambao wanaundwa na kabila la Tuareg waliua wanajeshi 90 wa Burkinafaso. Jana wameua tena wanajeshi 200 wa Burkinafaso. Wanajiita Jama’a Nusrat ul-Islam wa...
  19. hamis77

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kishki: waislamu ni wanafiki wakubwa

    Sheikh Kishki amewachana Waislamu hasa masheikh kwa unafiki wao Anasema kazi yao ni kusubiri maskofu waseme jambo nao waingilie kupambana na maskofu. Kwamba masheikh ni wanafiki badala ya wao kuungana dhidi ya dhuluma wanayofanyiwa waislamu badala yake wanaingilia harakati za maskofu kutetea...
  20. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanamiliki asilimia 55 ya utajiri wa dunia huku waislamu wakiwa na 5.8, wahindu 3.3, wayahudi 1.1 na wengineo 34.8

Back
Top Bottom