Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.
Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.
Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.
Malawi...
Napenda kuwatahadharisha wadau wote kuwa muwe makini zaidi mkiwa barabarani hasa kwenye foleni jijini Dar kwani kuna kundi la vijana zaidi ya 30 maarufu kama 'KIBOKO MSHELI' wanaovamia magari wakiwa na mapanga,nondo na visu kwa lengo la kupora chochote ulichonacho na halikadhalika wanaua ama...
Kuna Story nimeikumbuka ya miaka Saba iliyopita.. Ngoja niihadithie kidogo iwepo hapa kama ukumbusho wa safari yangu mm na huyu Dada ex wangu popote alipo.
Anaitwa Teddy, nilikutana naye 2013 kanisani liitwalo KANISA LA YESU TANGA,( GLORY LAND CHURCH TANGA) Siku moja nilishinda naye ofcn...
Black Rhino ambaye ni mdogo wa Profesa Jay amezungumzia kuhusu maendeleo ya kaka yake ambaye amelazwa Muhimbili.
Joseph Haule au Jay ambaye ni mwanasiasa na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, alikuwa yuko sawa, alienda Bukoba akafanya shoo fresh tu na kudrive kurudi Dar na kuendelea na mishe...
Mpira ni mchezo wa kihuni utake usitake.
Siku mtoto wa mjini Zachary Hans Pope anafariki nikajua ubingwa basi tena.
Mpira unataka wahuni na watoto wa mjini wenye uwezo wa kupora mchezaji anayetaka kusajiliwa na mahasimu kibabe, sasa Simba imekuwa ya kuporwa wachezaji airport kweli, bila...
Inawezekana kabisa washauri na actors mbalimbali ndani ya Serikali kwa sasa ni waamini wa mikopo. They might have good sweeter arguments for now.
Lakini wazalendo wa kweli tutabaki na msimamo wetu.
Ni upuuzi kutegemea walami kutuneemesha watanzania. Hii ni fallacy.
Jingalao atasimama daima...
Tumewasikiliza wahuni wale hawakujibu hoja ya Ndugai, Wala mama hajajibu hoja. Alichofanya ni kuongezea matusi mengine.
Washauri wa Ndugai wangemwambia akae kimya Wala asimtafute mama azungumze naye faragha.
Wahuni wengine watakuwa wanaendelea kumtenga mama na Ndugai. Hii tabia ya kusikiliza...
From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu?
Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine...
Wote wamepewa fedha sawa kwa darasa moja (Mil 20). Ninavyosikia (Sina uhakika), vifaa vya ujenzi (Nondo, bati, Cement) DSM ni nafuu zaidi kulinganisha na mahali kama Bukombe kutokana na umbali kutoka viwandani. Lakini nikiangalia viwango vya madarasa katika picha hapa chini inaonesha kabisa...
Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya.
Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali.
Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi...
Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.
Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa...
Utasikia 'rea kuna utapeli mwingi ukome mara moja. Kazi hazikamiliki vifaa vinaibiwa. Kampuni hizo zisipewe tena kazi' 😂😂. Usanii mtupu akisema hivyo ndio imetoka.
Wananchi wanahitaji mawaziri wenye uchungu wanachukua hatua. Kwanza kutolea maelezo kinagaubanga mapungufu na hatua za papo kwa...
Kitu kimoja nina hakika ni kwamba wahuni hawatashinda lakini kitu kimoja nina imani kubwa sana ni kwamba ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee ndio kina uwezo wa kitaasisi na kidhamira wa kukabiliana na wahuni. Kazi ni kwetu wana CCM.
#ujamaaniimani
#kaziinaendelea
#kataawahuni...
Heshima kwenu wakuu.
Natumai ndani ya JF tuna watu smart & peace kabisa, sasa ningependa tutambuane please.
Kama wewe ni muhuni mwenzetu hebu dondosha signature hapa chini mkuu.
Nawasilisha.
Kwa sasa kumekuwa na vita kali ya maneno, dhihaka, majigambo, vitisho na kebehi mbalimbali baina ya makundi mawili ndani ya CCM, kundi moja likiunga mkono utawala uliopita wa Magufuli (huku likikosoa vikali utawala wa sasa wa Samia) dhidi ya kundi linalounga mkono utawala wa sasa wa Samia (huku...
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Maneno ya Bulembo!
Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye.
Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi.
Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi...
Friends and Enemies,
Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen..
Katika maisha epuka sana kujiona kuwa upo juu ya wanadam wenzako na kuwadharau hususan unapopata mamlaka juu yao,au ukwasi kuzid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.