Kuna msamiati mpya umetungwa hususani na watawala wetu wa serikali ya awamu ya 5 kwa kuwaita nchi za wazingu kuwa ni mabeberu, pale wanapotoa "constructive criticism" yenye lengo la kututaka tujirekebishe ili nchi yetu ipate ufanisi wa hali ya juu.
Hata hivyo ajabu ni kuwa wazungu hao hao...
Kutokana uchaguzi huu ulivyokwenda, binafsi naona kuna uwezekano wa asilimia 70 mpaka 80 wa wahisani na mashirika ya fedha ya kimataifa, kusitisha kutoa fedha zao kwa hii serikali unless zinafanyika jitihada kubwa sana za kidiplomasia huku serikali ikilazimika kuji-commit kwa baadhi ya mambo...
Ni Imani yangu walioweka sharti kamati za Bunge: PAC, POAC na LAAC ziongozwe na Wapinzani, walijua umuhimu huo wakiamini wapinzani wana nafasi nzuri zaidi katika kuibana serikali kwenye suala zima la matumizi ya fedha za Umma na zile zinazotolewa na wahisani.
Kwa sababu hiyo, naamini mpaka sasa...
Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa Twitter:
Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.
Mtakosa 2 Trillion...
Huu ndio utabiri wangu kuwa,Lissu akishinda uraisi na kutangazwa mshindi kwa mbinde au vinginevyo, nchi wahisani na wadau wengine wa maendeleo wataongeza misaada na mikopo yao kwa nchi yetu na inaweza kuongezeka hata mara mbili.
Ni imani yangu wanatoa mikopo na misaada kwa sasa kwasababu tu...
Hivi karibuni hili neno limekuwa likitumika kila wakati, na kuna wakati namsikia hata Raisi Magufuli akilitumia - mabeberu. Nimeona kuwa wakati fulani hata vyama vya upinzani wakiambiwa ni marafiki wa mabeberu.
Wakati fulani nimeona kwamba neno mabeberu linaelekezwa kwa mataifa tajiri ya nje...
Wikiendi hii nimerudi Bongo na nimekuja kutembelea Uswahilini kwetu huku Mtaa wa Azimio, Kigogo Luhanga nimepata habari zenye Kiulizo inabidi niulize Wanajamvi humu ndani.
Serikali ya Mtaa ya huku Mtaani imekuwa ikiandikisha wakazi wa hapa ( Wanandoa)/ (Wenza wanaoishi pamoja) na kuwapiga Picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.