Imekuwa kawaida kuwa Bunge likishavunjwa Waheshimiwa Mawaziri wanakuwa ni wananchi wa kawaida mpaka hapo Serikali mpya itakapoundwa tena. Serikali mpya inapoundwa basi Mhe. Rais anateua tena Mawaziri wake katika Baraza lake.
Bunge likiishavunjwa wanaosimamia Mawizara mpaka Serikali mpya...
Nakumbuka msiba wa baba wa Taifa ndiyo ulikuwa msiba wa kwanza kuleta huzuni kwa Taifa la Tanzania,msiba wa pili ni wa Rais wetu kipendwa Magufuri,naamini pazia la huzuni ya kweli lilifungwa kwa wale wanaojiita waheshimiwa,kama hawatabadilika basi wasubirie zomeazomea kutoka kwa watanzania na...
Wapiga kura tuchague viongozi watakaotutumikia kwa kuweka fursa za kutuwezesha sio sanaa na maigizo wakati wakiwa kwenye viyoyozi hawafanyi hivo,kura Yako ni ya thamani kwa MAENDELEO yako
2025 tukatae hadaaa ya namna yeyote
Uzembe wako na tamaa Yako ndio maumivu Yako,usipokee rushwa kwa hadaa...
Huhitaji utajiri Wa pesa kuelewa maisha ya mwingine Bali upendo ndio daraja pekee la kuokoa maisha ya mwezako anayepitia nyakati Ngumu.
Nimetazama filamu ya Straw kutoka Tyler Perry nimeona picha ya ndani wanayopitia single mothers tuache kuwakebehi kwa lolote hasa pale ambapo huwezi kumpa...
Hawa ni baadhi ya waheshimiwa wa G-55 wakiwa wanapanga miakakati mizito namna ya kushinda majimbo waliyotia nia.
Kwa karibu hapa namuona mrembo Sirgada na mzee wa jimbo la Kawe mheshimiwa Kileo. Kule namuona mzee wa jimbo la Mwanga mheshimiwa Mchome na waheshimiwa wengine.
Mambo ni mengi muda...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kawaida picha huzungumza zaidi kuliko hata Mdomo wenyewe.
Pichani ni waheshimiwa viongozi wetu mbalimbali wakati huo wakiwa Mjengoni pamoja wakituwakilisha sisi watanzania.
Je wewe Umejifunza nini kutokea katika picha hii?
Mimi nimejifunza kuwa Mheshimiwa Joseph...
Jana nimeshangazwa na kukutana na mheshimiwa wa taifa ambalo limeshakubali kubadilika kutoka kuwa kanisa akiimba injili ya rehema na baraka kwa kutimiza miaka mingi.
Waheshimiwa wanaogopa kukutana na Mungu siku wakifa hii pia ni sifa ya mnyama
Waheshimiwa wanamtukuza joel lwaga na moni...
Heshima ni neno la kawaida tu la kiswahili, lililotakona na neno la Kiarabu kuonyesha hadhi anayopewa mtu kama alama ya kuthaminiwa kwake. NI namna ya kumwonyeha mtu huyo kwamba utu wake una thamani, hasa kwa jinsi anavyoshughulika kuhusu watu wengine, kutia ndani matendo na kauli zake.
Kwa...
Naona kama Neno Mheshimiwa linatumika vibaya jamani! Sijisikii vizuri ninaposikia mheshimiwa Mkuu WA mkoa, au Mkuu WA wilaya, mheshimiwa mkurugenzi, daktari, mheshimiwa mchungaji, mheshimiwa she, mheshimiwa Afande!
Zamani tuliambiwa watu wanastahili kuitwa Waheshimiwa ni viongozi...
Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali.
Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya.
Nimerudi hapa jukwaani nataka kupata majibu juu ya swali langu hili...
Heshima sana wanajamvi.
Rostam Aziz majuzi alitufungua kwamba Mahakimu,Majaji wetu unaweza kuwapigia simu wakatoa uhamuzi usio wa haki.
Ni kweli Rostam aliomba msamahaa lakini pamoja na kuomba msamaha hakuondoi hali halisi kwamba mahakama zetu zimekuwa zikitoa uamuzi wa hovyo hovyo.
Wakati...
Waheshimiwa nahitaji msaada kwenye hili, hivi inakuwaje mtu hauuzi kabisa dukani kwako kwa siku karibia 20 yani kila siku patupu tatizo linakua ni nini?
Binafsi nimefungua frame nauza mitumba ya kike(gauni) lakini niliuza siku 5 za kwanza tu ila sasa hivi mambo magumu mzigo ni kama umechacha...
Mkataba wa Mbarawa umebainika kuwepo dosari kubwa za saini kwa pande zote mbili Tanzania na Dubai. Swali je waheshimiwa wabunge hili nalo hamkufanikiwa kuliona?
Usuli
Mheshimiwa Rais Samia, Tanzania kama Taifa huru linayo haki ya kutowajibika kwa Taifa jingine lolote duniani, na haki hii ndiyo inaitwa "sovereignty" kwa Kiingereza. Hivyo, katika maneno 700 pekee, najadili Mapatano kati ya Serikali za Tanzania na Dubai kwa kugusia yafuatayo: utangulizi...
Kumekucha tena wanajukwaa la JF,
Msakatoke mwenzenu nimejaliwa siku mpya tena pamoja na familia yangu. Ntakua mchoyo wa shukrani bila kusema: Asante Muumba kwa siha njema na faragha. Amma baadu, bada ya utangulizi na shukrani.
Siku ni mpya. Nmeamka na maumivu ya deni la mangi shop. Watoto...
Dar Es Salaam, Mwanza, Mbeya na Arusha haya ndiyo majiji yetu pendwa hapa nchini na kuna (Dodoma) na (Tanga) haya huwa kama siyaelewi hivi.
Dar Es Salaam kuna Magufuli Bus Terminal, Mwanza kuna kituo Matata sana soon kinafunguliwa, Mbeya pia kipo kizuri hata hayo majiji mawili nayo as dodoma...
Wiki hii tumeshudia bungeni wabunge na mawaziri wakiringishiana viwango vya elimu wengine wakitamba na PHD zao kwamba ni za darasani sio za kupewa na wengine wakiambiwa hawana elimu ni waganga wa kienyeji.
Ni muhimu Spika wa Bunge kuruhusu uhakiki wa vyeti vya elimu kwa wabunge ili kujua ukweli...
Binafsi niseme tu hawa waheshimiwa Tx-Moshi, Mzee Gurumo, Mbwembwe, Mzee Mabera, Mahina, Momba na wengine ambao sikuwataja na bendi zao walifanya kazi kubwa kwani mziki wao bado unaishi kwa kuelimisha umma wa watanzania na kuburudisha. Walikuwa na umahili katika fani zao.
Binafsi licha ya kuwa...
Wakati nikitafakari viongozi wa kiafrika dhidi ya miradi inayowahusu wananchi wa kawaida huko mtaani, kwa mfano miradi kwa sehemu mbalimbali huko mikoani, utasikia choo au bafu limetumia 230 milions.
Hapa kwenye kipande hiki cha sinema hii nimeshangaa wanawahi kumuokoa huyo mama na hata baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.