Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 19 Aprili 2025, amezindua gari la kubebea wagonjwa (ambulance) lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya. Uzinduzi huo unalenga...
Kuna familia ipo jirani na Mimi,ni familia duni Kwa kweli, mke na mume walikuwa watu wa vibarua vibarua TU
Sasa limetokea tatizo Baba amepata stroke, mwili umepooza ni mwaka wa nne huu , akiwa hapo hapo kitandani akapata tena shida ya macho na Sasa macho hayaoni mke ndo anamuuguza Kwa maisha...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa wito kwa madaktari na wauguzi kote nchini kuwa na utu wanapowahudumia wagonjwa, hususan wale wanaoshindwa kulipia gharama za matibabu kwa wakati.
Akizungumza bungeni leo Alhamisi Aprili 17, 2025 wakati wa kipindi cha...
Akijibu swali la nyongeza kutoka kwa Mbunge Joseph Michael Mkundi Bungeni leo Aprili 14, 2025 aliyehoji “Takwimu zinaonesha Wagonjwa wengi wa Saratani waliopo katika Taasisi ya Ocean Road wanatokea Kanda ya Ziwa, kwa nini Serikali isiboreshe Hospitali ya Rufaa ya Bugando Kitengo cha Saratani ili...
Kwa waliocheza Mpira kama Mimi na tunajua pia Kuuchambua mtakubaliana nami kwa 100% kuwa kwa Timu ile ya Al Masry na kwa ule Uchezaji wao wa Kimkakati hata wakija Dar es Salaam hiyo Wiki ijayo bado wana uhakika wa kupata Goli 1 na hapa namaanisha kuwa kama Simba SC itashinda Goli 3 basi Wao...
Katika hali ya kusikitisha, leo tumeshuhudia matatizo makubwa yanayotokana na kukosekana kwa huduma za afya nchini. Bima ya Afya makao makuu inapaswa kutoa kinga kwa wagonjwa, lakini ukweli ni kwamba hali ni tofauti kabisa.
Wagonjwa wanakabiliwa na changamoto kubwa: hakuna mtandao, huduma...
BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 950 MILIONI KWA MATIBABU YA WAGONJWA WA MGUU KIFUNDO
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amefanikisha uchangishaji wa shilingi milioni 950 kwa ajili ya matibabu ya watoto wapatao 400 wanaougua ugonjwa wa mguu kifundo.
Kiasi...
Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
WAGONJWA 6,847 WATIBIWA HOSPITALI YA WILAYA HANDENI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema wagonjwa wapatao 6,846 wamepata huduma za Afya Katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni tangu ilipokamilika na kuanza kutoa huduma.
Waziri...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema kuwa hospitali zote za umma na binafsi zinapaswa kuwahudumia wajawazito na wagonjwa wa dharura bila masharti ya malipo ya awali.
Ametoa kauli hiyo bungeni Ijumaa, Januari 31, 2025, akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.Daniel Chongolo, amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Momba iliyopo katika Kata ya Chitete, akibainisha kuwa licha ya kasoro ndogo zilizojitokeza, majengo yaliyojengwa ni mazuri na yanaonesha matumizi mazuri ya rasilimali. Alisema hayo wakati wa...
Ndugu wa wagonjwa wenye wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshauriwa wanapowatembelea wagonjwa wao kuwapelekea vyakula vyenye kuongeza damu kutokana na mahitaji makubwa ya damu ili kukabiliana na upungufu wa damu mwilini...
Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
Nawasalimu waungana wote
Kuna Jambo nilikuwa nataka tujadili kidogo, nimeshalishuhudia zaidi ya mara 5 katika maeneo na mikoa tofauti.
Unakuta Vijana mtaani wote wanajua kuwa demu Fulani na Fulani Wana HIV positive na ukiwauliza Wana kumbia taarifa zote tumezipata kwa dokta Fulani, yaani kila...
Mimi ni Mwananchi ambaye nimekuwa nikipata huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Magharibi, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja (Hospitali ya Ijitimai) kuna kero ambayo imekuwa ikinisumbua muda mrefu na ninaamini inasumbua watu wengi pia.
Nimekuwa nikifika kituoni hapo kupata huduma ya Ugonjwa wa...
Wasalaam.
Tunapouanza mwaka mpya wa 2025,ninafahamu kuwa Kuna watu wengi wanaendelea kupambania afya zao,wengine wako mahospitali,wengine kwa waganga wa kienyeji na wengine walishakata tamaa wako majumbani kusubiri hatma ya siku za kutwaliwa kwao. Kama ndugu zangu wa hapa duniani,ninawatia moyo...
Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera.
Hiki kituo kilijengwa mahususi kwaajili ya kurahisisha huduma za afya kwa wakazi wa kijiji hicho na...
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata Bw. Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa Muhimbili Mloganzila kwa cheo cha Afisa Muuguzi.
Baada ya mahojiano Bw. Julius amekiri kuiba simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.