wagonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hii ni tabia ya hovyo na kindezi: huendi kwenye misiba! Mbona huulizi kwenda kuona wagonjwa au wenye matatizo? Tabia za kichawi hizi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa za mtu mchawi ni pamoja na hiki ninachokieleza hapa. Kazi kuangalia nani kaja kwenye msiba nani hajaja. Nani Kala nani hajala Nani anafanya nini. Kufiwa hujafiwa wewe unapeleka mambo yako ya kichawi kwenye misiba ya watu. Subiri ukifiwa ndio...
  2. JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona". Muulize tena...
  3. JamiiForums Tanzania Zijue sababu zinazowafanya wagonjwa wengi wa bawasiri kutumia dawa nyingi bila mafanikio

    ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO. Pandex(+255 743 549 126) Pandex Herbal Clinic Dar es salaam ILALA BOMA. PANGANI & UTETE STREET Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamume akamatwa baada ya kuvaa kama 'Grim Reaper' (Malaika wa Mauti) na kusimama juu ya paa la hospitali na kuwakodolea macho wagonjwa

    Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 26 anayeitwa Leon Gillespie alikamatwa kwa kuvaa vazi la 'Grim Reaper' na kusimama kwenye paa la Hospitali ya Ysbyty Glan Clwyd huko Wales. Baada ya mahojiano likubali mashtaka mahakamani na kupigwa faini ya pauni 200 (£200) na mahakama ya Llandudno. Tukio hilo...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje niweze kuacha kutamani wanawake, natongoza hadi wagonjwa na ndugu zao

    Wakuu nimeshindwa nimejaribu we nimeshindwa aisee bwana mimi nina tamaa sana ya wanawake kiufupi nina tamaa sana ya mademu kwa mfano nikiwa kwenye kutibu natongoza sana wanawake na kweli nawapata na kuwakula hivyo hivyo kwa ndugu za wagonjwa natongoza kwasababu wengi wanajilengesha sana na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mnaowapenda wagonjwa wasiotibika, kuendelea kupinga hali ambayo tayari wameikubali mnawaongezea msongo wa mawazo, kuwakubali walivyo huwapa utulivu

    Weekend ya leo tulivu, nilikuwa naperuzi kwenye magroup ya psychology nimekuta post nzito sana, nimeitafsiri na kuiweka kwenu wadau kwasabababu haya mambo tumekuwa tukiyatafsiri ndivyo sivyo. Mifano ni mingi, kuna magonjwa na aina ya ulemavu hayana solution hadi sasa kama HIV, majeraha ya uti...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Muuguzi katika Kituo cha afya cha Nyarugusu anawalangua Wagonjwa bei ghali

    Katika Kituo cha Afya Nyarugusu, Geita Vijijini, kuna muuguzi na mtaalamu wa usingizi anayeitwa Fredrik Lugay ambaye anadaiwa kufanya upasuaji kwa wajawazito na wagonjwa wengine, huku akitoza fedha zaidi ya kiwango kilichowekwa na mfumo wa serikali. Inadaiwa kuwa mfumo wa serikali unatoza...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China wanawasaidia wagonjwa kupata nafuu kupitia upasuaji wa uvamizi mdogo

    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Khadija Ali Saleh aliishi na maumivu makali ambayo hatua kwa hatua yaliondoa furaha na ubora wa maisha yake. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 76, mkazi wa Zanzibar, Tanzania, alisumbuliwa mara kwa mara na vipindi vya kiungulia kikali na maumivu kifuani...
  9. H

    JamiiForums Tanzania DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBA

    DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBA Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Alhaj Suleiman Yusuph Mwenda, Jumatano Julai 15, 2026, amekabidhi magari manne (4) ya kubebea wagonjwa (ambulance) kwa ajili ya kuimarisha huduma za afya katika Vituo vya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania NIPIKE NINI LEO ni kitabu bora cha mapishi kutusaidia tunaopata stress na kuwaza cha kupika kila siku, pia kinawafaa wagonjwa wa kisukari, presha,etc

    1. Kitabu hiki ni kizuri kumsaidia mama wa familia kujua cha kupika bila kuumiza kichwa kwa mawazo. Mfano kama ana wageni wa ghafla kinamsaidia kuona cha kupika haraka. Kama anauguza mgonjwa pia wa magonjwa yanayotokana na lishe kama kisukari ama presha kitabu hiki kinamsaidia kujua cha...
  11. JamiiForums Tanzania Hii video sio ya wagonjwa wakiletwa hospital bali ni mateka waliokuwa chini ya magaidi wa fulani kwa siku 67. Waliteswa, kubakwa na kushindishwa njaa

    Watekwa wakiwa kanisani na pastor wao aliuliwa huku wao wakichukuliwa mateka.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa dawa ya chemo Muhimbili kwa wagonjwa wa kulazwa

    Nina ndugu ambaye anapata matibabu pale hajaweza kupata matibabu sasa wiki ya tatu,mamlaka zirekebishe hii dosari wagonjwa wanateseka
  13. JamiiForums Tanzania Huu ugonjwa bado unaogopeka na wagonjwa bado wananyanyapaliwa

    Jana katika tembea tembea zangu nikakutana na mmama anatembea kwa miguu, tukiwa umbali wa meter kama 100 hivi yule mmama alidondosha kitu akaacha kukiokota akawa anaendelea kutembea, kwa mbali naona ishara za watu wakistua nimstue yule mama arudie kitu alichodondosha nami sikuelewa tukapishana...
  14. JamiiForums Tanzania Zijue sababu zinazowafanya wagonjwa wengi kuteseka na Bawasiri

    ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba matibabu ni dawa pekee na jambo hili limepelekea wengi kuteseka na matatzo kwa muda mrefu sana bila...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI Wakenya wakipokea wagonjwa wa ebola kutokea Marekani katika uwanja wa ndege wa Jomo kenyata

    Kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mtandao wa Instagram likidai kuwaonyesha baadhi ya raia wa Kenya wakiwapokea wageni wanaodhaniwa kuwa na ugonjwa wa Ebola. Katika chapisho hilo imeomekana kuwa na jumbe ufuatao” Marekani itaipatia Kenya USD milioni 13.5 [TZS bilioni 35.5] kwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO NHIF: Malipo ya Ziada Kwa Wagonjwa wa Bima Kamanga?

    Hospital ya KAMANGA Nyegezi Mwanza kitengo cha Upasuaji kunafuka rushwa ya matibabu hasa kwa wagonjwa wa BIMA, Baada ya mke wangu kusumbuliwa na tatizo la tumbo la muda mrefu, hospitali ya KAMANGA walitujulisha anahitaji upasuaji. Daktari wa upasuaji Dr Hillary alitujulisha matibabu yake...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Babu Tale: Muhimbili kuna changamoto ya magari ya Wagonjwa, kuna ushahidi yapo mawili tu

    Akichangia hoja Bungeni leo, Mei 12 MbungeTaletae amesema kuwa Licha ya wagonjwa kuwa wengi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ina magari mawili tu ya kubeba wagonjwa.
  18. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Wagonjwa wa ICU watibiwe kwanza, fedha itafuata baadaye

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema hayo Mei 4, 2026 alipokuwa mkoani Mwanza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “Jua Namba Zako”. Waziri Mchengerwa amesisitiza kuwa Taifa lina uwezo wa kujenga mfumo imara wa afya unaodumu kwa muda mrefu, huku ushirikiano ukiwa ndio msingi mkuu wa mafanikio...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini vifo vya wagonjwa wengine havichunguzwi na Wizara kwa uzembe kama ilivyo kwa vifo vya wajawazito?

    Je ni kweli thamani ya binadamu inabadilika kulingana na wakati?? Nimeuguza mtu wangu wa karibu Hospital kubwa tuu pale Mwanza. Alifariki kwa uzembe wa watoa huduma kutorejesha oxygen baada ya mgonjwa kujigeuza kichwa bila kujua(alikua unconscious) Kwani thamani ya binadamu inabadilika? Ikiwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Hospitali ya Wilaya ya Ubungo haiwaruhusu wagonjwa kuingia na simu kwa baadhi ya wodi, Je, ndiyo Sheria inataka hivyo?

    Naomba tuwasilishe changamoto ya Hospital ya Wilaya ya Ubungo kutowaruhusu wagonjwa kuingia na simu wodini (wodi ya wazazi na emergency kwa watoto). Hii ni hatari sana kwani ni kumnyima mgonjwa haki ya kuwasiliana na ndugu zake, na endapo akapata changamoto yoyote kabla ya ndugu kumtembelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…