wageni

Wageni Airport (ICAO: FZNS) is an airport serving the city of Beni, in the North Kivu Province of the Democratic Republic of the Congo. The airport is in the northeast section of the city.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kuna sehemu ukienda ofisi nzima haina hata mtu mmoja mzawa, kazi zote zinachukuliwa na wageni wa mbali, hii sio sawa, kuwepo na affirmative action

    Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu. Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa moja, kazi zote zimechukuliwa na wageni wa sehemu za mbali, wazawa hawana chochote. Sababu inaweza...
  2. Takwimu za Wizara zinaonesha kati ya Januari - Julai 2025 Wageni waliotembela Tanzania ni Watu Milioni 1.27

    Kwenye nchi yenye kilele cha Mlima Kilimanjaro hadi nyasi za hifadhi ya Serengeti mpaka kwenye fukwe za Zanzibar – Tanzania, hizi ni takwimu za Wageni waliotembela Tanzania ndani ya kipindi cha Januari 2025 hadi Julai 2025 ambapo jumla yao ni Watu Milioni 1.27, takwimu hizi ni kwa mujibu wa...
  3. Malema ajiunga kwenye vuguvugu la kufukuza wageni Afrika Kusini

    Mwanasiasa mtata wa Afrika Kusini, ambaye siku zote alikua anatetea umoja wa Afrika, abadilisha gia angani na kusema kila mtu kwao. Japo kiukweli huwa siwaelewi mnaokwenda kwenye nchi za watu na kuzaliana huko, inapaswa kila mtu ajue siku raslimali zikipungua, wajukuu na vitukuu kwenye nchi yao...
  4. Afrika Mashariki utata kazi kwa wageni na wazawa

  5. Wafanyabiashara ndogondogo wa Kenya wacharuka baada ya Tanzania kuzuia wageni kufanya biashara ndogondogo

    Binafsi nashindwa kuelewa huu mcharuko wa wakenya baada ya tamko la serikali ya Tanzania. Kwa maneno haya ya wakenya naona kama waliokuwa na jambo lao moyoni kabla ya tamko la serikali yetu juu ya wageni kufanya biashara ndogo ndogo.
  6. Kwa maoni yangu naona hili tangazo la shughuli wasizotakiwa wageni kufanya halijakaa sawa kidiplomasia

    Ukiingia mtandaoni utaona pages nyingi za nchi jirani zilizoko SADC na EAC haziongelei kwa uzuri hili tangazo la Jafo. Kwa majirani zetu ni ngumu kujua kama walengwa wakuu ni wachina. Watu wengi wameona kama limekaa kibaguzi. Mimi ninashauri badala ya kuleta matangazo haya yaliyokaa kisiasa ni...
  7. Je, kiuhalisia Tanzania ni taifa la kibaguzi dhidi ya wageni wanaokuja nchini kufanya kazi na biashara?

    Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili. Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
  8. Aina za biashara zilizopigwa marufuku kwa wageni wasio raia

    Uuzaji wa bidhaa kwa jumla na rejareja (isipokuwa supermarket, maduka ya bidhaa maalum, na vituo vya jumla vya wazalishaji wa ndani). Uhamishaji wa fedha kwa njia ya simu (mobile money). Matengenezo ya simu na vifaa vya kielektroniki. Biashara ya saluni (isipokuwa kwenye hoteli au kwa shughuli...
  9. Je, unajua? Kama huna pesa ya kununua mikate, ukipata wageni kumi nyumbani kwako, unaweza kuwalisha slesi moja ya mkate – wakala wote na kushiba!

    Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza kuwalisha wageni kumi nyumbani kwako kwa slesi au kipande kimoja tu cha mkate, wakala na kushiba...
  10. Heshima kwa wageni kuendelea kuwepo eneo la tukio

    Wanandoa nchini Filipino wamewashangaza watu wengi ulimwenguni baada ya kuendesha shughuli za harusi yao katika kanisa ambalo limejaa maji kutokana na dhoruba na mafuriko. Bwana Newlyweds Jade Rick na Jamaica kiss - wanaeleza Maamuzi hayo kwao ni kama kujitoa sadaka katika jambo Lao, lakini...
  11. Nyumba za kulala wageni Kurasini ni Changamoto sana

    Wadau siku ya pili hii natafuta nyumba ya kulala wageni eneo la Kurasini ni shida. Sijafanikiwa kuna wageni wangu wanataka fikia huku shughul zao zipo ukanda huu. Gharama ya chumba iwe tsh 40,000 mpka 60,000 kwa siku. kuwe sehemu tulivu na yenye chakula (hotel) kusiwe na fujo.. Nahitaji...
  12. W

    Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050

    Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
  13. M

    Ni maeneo gani mazuri Kwa wageni kutembelea jijini dar?

    Wapendwa wana jf mara yangu ya mwisho kutembelea jijini dar ilikuwa 2013, baada ya kustaafu ningependa kwenda kuosha macho na kurelax kidogo baada ya ajira kukoma. Je nitembelee maeneo yapi na niandae bajeti ipi? Ningependa kukaa wiki nzima
  14. Serikali Yaweka Bima ya Lazima kwa Wageni Wanaoingia Tanzania Bara

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Sheria ya Bima, Sura ya 394, imeanzisha bima ya usafiri wa lazima kwa wageni wanaoingia Tanzania Bara kwa ada ya bima inayolingana na Shilingi za Kitanzania sawa na Dola za Marekani 44. Lengo la bima hii ni kugharamia dharura za kitabibu, kupotea kwa...
  15. Tahadhari za kuchukua uingiapo nyumba za wageni

    Ukiingia nyumba ya wageni yeyote na popote fanya yafuatayo kwa usalama wako: 1️⃣Kagua uvunguni kwa umakini usije kutana na kamera, kichwa cha mtu-matunguri au msukule. 2️⃣Toa shuka kitandani, kagua godoro, chaga na mto wa kulalia ili kuepuka kulalia mikojo, vinyesi au hirizi kwene...
  16. Naibu Spika, Zungu: Baadhi ya wageni wasitambulishwe bungeni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imependekeza kufanyika maboresho ya muda wa kutambulisha wageni waalikwa bungeni ambapo imetaja watakaotambulishwa ni wageni wa kitaifa, kimataifa pamoja na wageni waliotoa mchango kwa Taifa pekee. Hayo yamesemwa leo Juni 11, 2025 bungeni Jijini...
  17. H

    Kwanini kila dhuluma dhidi ya watanganyika inasimamiwa na watawala wageni?

    Tanganyika na Zanzibar zilungana nusu, na kutengeneza Tanzania. Ni muungano nusu kwa sababu Zanzibar iligoma kuingia kwenye muungano kamili, iliendelea kuwa na Serikali yake, na inajitambulisha kama ni nchi, na tena yenye mipaka yake. Hoja muhimu hapa, ni kwa nini kila dhuluma kubwa dhidi ya...
  18. BUNGENI: Wageni watia usingizi wa pono, mijadala haina mvuto

    Gazeti la leo Daily News pg2, kuna picha inaelezea kinaga ubaga hali ya mijadala Bungeni-HALINA MVUTO! Wageni nimehesabu katika picha, wengine wamelala, mmoja kaja na shuka kabisa toka nyumbani. Mwingine yuko busy na simu. Wawili wanasogoa. Heko Bunge letu takatifu.
  19. Kwa jinsi Taifa hili lilivyojaa vilaza bila amsha amsha za vijana wa Kenya wale wanaharakati wageni wangepotezwa mazima kama Mdude .

    Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri. Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele. Wangewapoteza milele wanaharakati wageni...
  20. Wachina watoka machozi ya damu-TRUMP Azuia Havard Kudahili wageni

    Wachina wanalia machozi sasa Trump mjanja sana sana sana, huyu jamaa anakupiga engo zote kama kitenesi wachina pesa ipo wanakimbilia Havard kusoma kisha wanaleta uchina Amerika, sasa mwamba kasema Wanafunzi wote wa kigeni walio Havard wahamishiwe kwingine kabla visa zao hazijaexpire na wamepewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…