waganda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuondoka Nchini kesho kuelekea Uganda kushiriki katika Sherehe za Uapisho wa Yoweli Museveni

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa siku ya Kesho kuondoka Nchini kuelekea Nchini Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Uapisho wa Mheshimiwa Yoweli Kaguta Museveni Ambaye ameongoza Taifa Hili...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Uganda: Mbona hatuoni Waganda wakichoma, kuharibu miundo mbinu na kuiba mali za watu baada ya matokeo?

    Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku. Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao? Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Waganda waitaka No reform No election ya CHADEMA

    Maelfu ya waganda wanaomuunga mkono mgombea wa chama Uganda National Uñity platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu kama Bobi Wine, wameanza kuhamasishana kugomea Uchaguzi wa nchi hiyo mwakani. Waganda hao wanaona ni bora kuiga Kampeni ya No reform No election ya CHADEMA. CHADEMA...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuliwasaidia Waganda kumuangasha Dikteta Idd Amini. Je ni zamu ya Wakenya kuwakomboa kutoka kwa Museveni?

    Historia Huwa inajirudia Baada ya Dikteta Museven na mwanae kuishiwa hoja za kisiasa anataka atengeneze tatizo la nje Ili wanachi waondoe focus kwenye changamoto za utawala wake wa ovyo. LEngo ni kutaka kuwaonyesha wananchi wake kwamba yeye ndo mzalendo Kwa kudai madai ya mfalme ujuha au...
  5. M

    JamiiForums Tanzania ushindi wa vita ya Kagera hauna thamani tena kama ni kweli waganda tuliowahi kuwapiga vitani na wenye visasi walipewa nafasi kumwaga damu

    ni kosa kubwa sana kumleta adui uliewahi kumtwanga aje kusimamia ulinzi hata kwa siku 1 tu, Ni kosa kubwa sana.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

    Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
  7. JamiiForums Tanzania TFF mmeruhusu siasa za CCM kwa Mkapa, leo msiwaonee CHADEMA

    Uwanja wa Mkapa kwa muda mrefu Sana umekuwa ni kama jukwaa la CCM la kufanyia siasa zake wakati wa mechi za Mpira wa miguu. Imekuwa ni kawaida Kwa Wana CCM kuingia uwanjani hapo na mabango ya chama Chao au hata wakati mwingine wakiwa wamevaa sare za chama Chao. Hayo yote yakiendelea huku TFF...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo waafrika wenzetu wanavyotuona ama hawa waganda wamekuza tu!?

    Kuna hii "Clip" hapo chini ambayo imeigizwa na wale watoto wa Uganda walioigiza jaribio la kuuawa Kwa Donald Trump wa Marekani. Clip hiyo inaonesha utofauti uliopo kati ya wasudan wakiandamana na watanzania wakiandamana. Kwa upande wa Sudan inaonesha hata waandamanaji wakipigwa risasi...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya na Waganda wanapiga hela sana Somalia. Tupeane mchongo, mnawezaje hiyo nchi?

    Wakenya walio Somalia wanatuma wastani $500,000 kwa siku, noma sana yaani mlifikaje huko na mnavumiliaje hayo mabomu, nchi yenye misuko suko ya kidini. ========= Somalia has emerged as a new source of remittances for Kenya and Uganda, accounting for $180 million and $21.9 million respectively...
  10. JamiiForums Tanzania Pambano: Nchi gani iko juu kwa wanawake wenye mpindo mzuri ama miili mizuri yenye makalio ya viwango kati ya Wanyarwanda na Waganda?

    Katika hili pambano mimi binafsi kusema ule ukweli nikiangalia ukanda wa maziwa makuu hapa Afrika Mashariki, kwa ujumla inapokuja swala la shepu hasa mpindo mzuri wa makalio ama Matrakoo Wanyarwanda hadi sasa wanaongoza kwa mbali sana, japo hawajazagaa sana huko Dubai na Arabuni ila hawa viumbe...
  11. JamiiForums Tanzania Duniani Wanawake Waganda wanaongoza kwa kuwa na Mizigo au Matrakoo Asilia. Zunguka popote, hawa viumbe wamejaaliwa

    Panapo fursa yoyote ya kusema ukweli ni vema tuseme, wanawake Waganda ndio vinara wa kuwa na matako mazuri kweli kweli, Sina mengine kuhusu nyashi au mizingo hao wanawake Waganda hawana mpinzani popote pale duniani. Uganda is the most kabinalized country among women in the world...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Wachangiaji wa Jukwaa la JF English ONLY FORUM ni Wakenya, Waganda,. Wanyarwanda na Watanzania ni wa Kuhesabika?

    Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
  13. JamiiForums Tanzania Waganda ilipogundua Taifa lao lina mafuta walichukua vijana wao wakakimbizwa ughaibuni kwenda kujifunza kuhusu uzalishaji wa mafuta

    Uganda ilipogundua Taifa lao lina mafuta walichukua vijana wao wakakimbizwa ughaibuni kwenda kujifunza kuhusu uzalishaji wa mafuta. Hivi navyokwambia mradi wa mafuta wa Uganda unasimamiwa na vijana waliosomeshwa na Uganda. Cha ajabu mradi wa mafuta wa Uganda unaajiri hadi watanzania. Mradi wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mchina apokea mkong'oto kutoka kwa waganda ndani ya Ethiopian Airlines ikiwa angani kwa kushukiwa kuwaibia pesa

    Sijui kweli aliiba ama wanamsingizia wamuibie?
  15. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni asema Waganda ni wazembe wa kutupwa

    Asema anaongoza watu wazembe sana, wana mvua ya kutosha hivyo hauhitaji kujituma Uganda ili upate msosi, wengi wapo wapo tu siku ziende...... Japo binafsi nimefanya kazi na Waganda, huwa wanajituma ila kuna kaukweli kuhusu hilo la mvua, mataifa ya Kiafrika yasiyokua na majanga ya ukame yanaishi...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jenerali Muhoozi: Hakuna wa kunipiga marufuku kwa chochote

    Ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku chache tangu Rais Museveni ambaye ni baba yake kumuombea msamaha na kumtaka ajiondoe Twitter kutokana na kauli zake za kuliteka Jiji la Nairobi Akijibu mahojiano aliyofanya Rais Museveni na kituo cha TV cha KTN, Jenerali Muhozi kupitia Twitter ameandika...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ugandans lose Sh60 billion in football Ponzi scheme

    East Africa News Ugandans lose Sh60 billion in football Ponzi scheme ======= Summary The BLQ scam leaves behind hundreds of Ugandans who had recently become millionaires. The supposed wealth vanished in a matter of hours as they looked on helplessly. The last message BLQ Football Club...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati wenzetu wanang'aka kuhusu vita DRC, Waganda tayari wameanza kuchangamkia fursa, Wakenya tusichelewe

    Wafanya biashara wa Uganda wamehojiwa wengi wameanza jitihada za kuchangamkia soko la DRC na fursa zilizopo, hii ni baada ya DRC kuwa mwanachama ndani ya EAC. Wakenya tusichelewe, bahari Hindi na Atlantic zimeunganishwa, tupambane.... Naomba pia serikali zetu zirahisishe suala la vyeti kama...
  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Milipuko Miwili ya Mabomu yatokea Jijini Kampala

    Salaam Wakuu, Leo Milipuko Miwili ya mabomu imetokea jijini Kampala. Wabunge watawanyia kuokoa maisha. Wabunge wa bunge la Uganda wakiwa nje ya jengo baada ya Mlipuko kutokea Jijini Kampala. Kila mtu anaokoa maisha yake
  20. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Baada ya Rais Museveni kukataa Wanafunzi wasirudi Shuleni upesi kutokana na UVIKO-19 Waganda wamebuni Mbinu iliyomlazimu afungue Shule

    "Kiukweli kitendo cha Serikali kufunga Shule kwa muda mrefu ili Kuzuia Maambukizi ya UVIKO-19 kwa Wanafunzi wetu ndiyo kimeleta balaa zaidi kwani Wazazi 124 wamebaka Wanafunzi wao wa Kuzaa, Watu wa Kawaida 120 wamebaka Wanafunzi na Waathirika wa UKIMWI 200 wamebaka Wanafunzi hivyo tumeamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…