waganda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Baada ya Rais Museveni kukataa Wanafunzi wasirudi Shuleni upesi kutokana na UVIKO-19 Waganda wamebuni Mbinu iliyomlazimu afungue Shule

    "Kiukweli kitendo cha Serikali kufunga Shule kwa muda mrefu ili Kuzuia Maambukizi ya UVIKO-19 kwa Wanafunzi wetu ndiyo kimeleta balaa zaidi kwani Wazazi 124 wamebaka Wanafunzi wao wa Kuzaa, Watu wa Kawaida 120 wamebaka Wanafunzi na Waathirika wa UKIMWI 200 wamebaka Wanafunzi hivyo tumeamu...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani: Waganda waandamana kupinga utawala wa muda mrefu wa Rais Museveni

    Waganda waishio Marekani ambao ni wakereketwa wa chama cha NUP kinachoongozwa na Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine wameandamana kuelekea Ofisi za Umoja wa Mataifa(UN), wakipinga utawala wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni Kiongozi wa maandamano hayo aliyekuwa NewYork, Mathias Mpuuga...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Waganda walioko Afghanistan wagoma kurudi kwao

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda, Jenerali Jeje Odongo amesema waganda walioko Afghastan wamegoma kurudi Uganda Jen. Odongo amesema katika waganda walioko Afghanstan ni waganda watatu tu walioko tayari kurudi na wameshaandaliwa utaratibu Wengine wamesema wako salama wataendelea kubaki. Nchi...
Back
Top Bottom