wafariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanandoa wapya wafariki kwa ajali Iringa

    Hizi ajali zinazidi kumaliza watu. Ajali hiyo imetokea Iringa ambapo watu 3 wakiwemo wanandoa ambao wamefunga ndoa siku 4 zilizopita. ====== Noah na Agnes wamefikwa na mauti katika ajali hiyo ikiwa ni siku nne zimepita tangu walipofunga ndoa, Desemba 17, 2022 jijini Arusha. Kamanda wa...
  2. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: 9 wafariki kwa kusombwa na maji wakiwa kwenye Ubatizo, 8 hawajulikani walipo

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Huduma za Usimamizi wa Dharura kutoka Jiji la Johannesburg, waumini 16 kati 33 waliokolewa huku watu 8 wakiwa hawajapatikana hadi sasa Mchungaji aliyekuwa akiendesha Ibada ya Ubatizo huo ni kati ya waliokolewa kutoka eneo hilo pamoja na waumini wengine...
  3. JamiiForums Tanzania Mjamzito adaiwa kuwanywesha sumu wanawe wawili, wafariki dunia

    Watoto wawili wamefariki dunia na mmoja kunusurika kifo, baada ya mama yao mzazi kuwapa sumu ambayo ni dawa aina ya Tiktik ya kuoshea mifugo, kisha na yeye kunywa. Akizungumza leo Jumanne, Novemba 22,2022, Kamada wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Filemon Makungu amesema tukio hilo limetokea Novemba 20...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruaka, Kiambu: Wawili wafariki baada ya jengo la ghorofa 5 kuporomoka

    Watu wawili wamefariki huku mmoja akiokolewa baada ya jengo la ghorofa tano kuanguka eneo la Ruaka kaunti ya Kiambu mapema Alhamisi asubuhi. Jengo hilo liliporomoka saa 3:30 asubuhi na kuporomoka kwenye jengo lililokuwa karibu walimokuwa wamelala wapangaji. Juhudi za uokoaji zinaendelea kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ludewa: Watoto wawili wateketea kwa moto kwenye banda la kuku

    Watoto wawili Meshack Ndimbwa (6) na Agrey Mgimba (2) wamefariki dunia na mmoja kulazwa baada ya kuungua na moto wakiwa wanacheza kwenye banda la kuku kijiji cha Lugarawa Wilayani Ludewa mkoani Njombe. Akizungumza na Mwananchi leo Oktoba 31, Mwenyekiti wa kijiji cha Lugarawa amesema tukio...
  6. JamiiForums Tanzania Congo DR: Watu 11 wafariki kwa kukanyagana kwenye tamasha la Fally Ipupa

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo amesema mkanyagano ulisababisha vifo vya watazamaji tisa na maafisa wawili wa polisi wakati wa tamasha lhilo kwenye uwanja mkubwa zaidi wa michezo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Watu wengi sana walikuwa wameruhusiwa kuingia katika...
  7. JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Watu 151 wafariki kwenye sherehe za Halloween

    Shirika la Zimamoto jijini Seoul limesema idadi kubwa ya waliopoteza ni vijana waliokuwa wakigombea njia kwenye uchochoro mdogo na kusababisha kundi kubwa la watu kuwakanyaga Zaidi ya watu 100 pia wanaripotiwa kujeruhiwa kwenye tukio hilo lililowakutanisha watu takriban 100,000 ikiwa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Tabora: Diwani na mkewe wafariki kwa ajali

    Diwani wa Kata ya Kalola Wilayani Uyui (Tabora ), Sauji Daud na mkewe, Magdalena Richard wamefariki dunia katika ajali ya gari usiku wa kuamkia leo Jumanne Oktoba 25, 2022. Akizungumza na Mwananchi leo, Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo, Said Ntahondi amesema, diwani huyo na mkewe...
  9. JamiiForums Tanzania Iringa: Watoto wawili wafariki nyumba ikiungua moto

    Watoto Rehema Masanga wa miaka 7 na Amos Masanga mwenye miaka 5 wamekutwa wakiwa wamekumbatiana baada kushindwa kujiokoa kutokana na kufungiwa ndani na mama yao. Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mafifi, Rabi Mgata amesema chanzo cha moto ni mshumaa ulioshika Godoro na kuunguza nyumba wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Nigeria: Zaidi ya watu 500 wafariki kutokana na mafuriko

    Mamlaka zimesema idadi hiyo imefikiwa kutokana na mafuriko makubwa kutokea kwa wiki kadhaa hivi karibuni, watu 1,500 wakijeruhiwa na wengine milioni 1.4 wakihama makazi yao. Tangu Julai 2022 taifa hilo limeandamwa na mafuriko sehemu mbalimbali ikiwemo Jiji la Abuja kutokana na mvua nyingi...
  11. JamiiForums Tanzania Indonesia: Watu 129 wafariki uwanjani baada ya mechi ya soka kuvurugika

    Moja ya tukio baya katika mchezo wa soka limetokea baada ya askari Polisi kurusha mabomu ya machoni kwa mashabiki hali iliyosababisha mkanyakago na watu zaidi ya 180 wakijeruhiwa baada ya timu ya Arema FC kupoteza mchezo dhidi ya Persebaya Surabaya. Baada ya mchezo huo machafuko yalianza na...
  12. JamiiForums Tanzania Wafariki wakimgombania mwanamke

    Mtwara. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamtafuta Hadija Msamati kwa mahojiano akidaiwa kuhusika katika vifo vya wanaume wawili. Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa, Septemba 30, 2022, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema watu wawili wamefairiki dunia...
  13. JamiiForums Tanzania Waliotaka kuiba kwenye ofisi za Betting Dar wafariki dunia

    Vijana wawili waliodaiwa kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge ITV na kutaka kupora fedha wamefariki kutokana na kipigo walichokipata kutoka kwa wananchi. Septemba 27, 2022, saa 3:30 asubuhi vijana hao walifika katika ofisi hiyo kama wateja wanaohitaji huduma na...
  14. JamiiForums Tanzania Wachimbaji madini wawili wafariki kwa kuangukiwa na kifusi Geita

    Wachimbaji wadogo wawili wa familia moja katika Kijiji cha Sabora wilayani Geita wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakichimba madini ya dhahabu. Wachimbaji hao Charles Nyamandodi na Benjamin Nyamandodi wanadaiwa kuingia kwenye shimo la uchimbaji lililoko kwenye leseni...
  15. JamiiForums Tanzania Watoto wanne wa familia moja wafariki kwa ajali ya moto

    Watoto wanne wa familia moja, wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Tukio hilo limetokea majira ya saa 6:30 usiku wa kuamkia leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika makazi ya watu yaliyopo ndani ya eneo la mgodi wa Mwadui, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga...
  16. JamiiForums Tanzania Somalia: Watoto 730 wafariki katika Vituo vya Lishe Januari - Julai 2022

    Mamia ya Watoto wamefariki Dunia katika Vituo vya Lishe Nchini Somalia kuanzia Januari hadi Julai 2022 na idadi inaweza kuongezeka kutokana na mazingira ya lishe kutokuwa mazuri. Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulikia Watoto na Wanawake (UNICEF) zimeeleza hivyo ikiwa ni baada...
  17. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Wanajeshi 200 wafariki Dunia wakiwa mazoezini Sudan Kusini

    Zaidi ya Wanajeshi 200 wamefariki Dunia wakati wa mazoezi wakiwa katika kambi 18 za Sudan Kusini kabla ya kuhitimu mafunzo Makamu wa Rais wa Kwanza, Riek Machar amesema sababu kubwa ni hali hewa,magonjwa kwani hakukuwa na dawa, njaa kwani chakula kilikuwa hakipatikani, ambapo waliofariki...
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Watoto 316 waugua surua, watatu wafariki dunia

    Watoto watatu wamefariki dunia na wengine 316 wamethibitika kuugua ugonjwa wa surua katika kipindi cha mwezi mmoja visiwani Zanzibar. Wilaya ya Magharibi B Unguja inaongoza ikiwa na vifo viwili na zaidi ya watoto 200 wamebainika kuwa na surua. Wilaya ya Magharibi A ina wagonjwa zaidi ya 70 na...
  19. JamiiForums Tanzania Pakistan: Watu takriban 1,033 wafariki kwa mafuriko, 1,527 wajeruhiwa

    Mvua kubwa na mafuriko yamesababisha vifo vya takriban watu 1,033, wakiwemo watoto 348, na wengine 1,527 kujeruhiwa huku jumla ya watu milioni 33 wakiathiriwa na janga hilo tangu katikati ya mwezi Juni Mamlaka ya Kitaifa ya Kukabiliana na Majanga nchini humo (NDMA) imeongeza kuwa watu 119...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watu 14 wafariki baada ya kudaiwa kunywa pombe, wengine wapo hoi

    Watu 14 wamefariki Dunia katika Mji wa Arua Nchini Uganda baada ya kudaiwa kunywa pombe inayodhaniwa kuwa na sumu. Baadhi ya watu wengine wapo hospitalini wakiwa na hali mbaya, Polisi wameeleza vifo saba vilitokea maeneo ya Mvara na Oluko na vingine saba vimetokea Madi Okollo, yote yakiw ani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…