Indonesia: Watu 129 wafariki uwanjani baada ya mechi ya soka kuvurugika

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Moja ya tukio baya katika mchezo wa soka limetokea baada ya askari Polisi kurusha mabomu ya machoni kwa mashabiki hali iliyosababisha mkanyakago na watu zaidi ya 180 wakijeruhiwa baada ya timu ya Arema FC kupoteza mchezo dhidi ya Persebaya Surabaya.

Baada ya mchezo huo machafuko yalianza na mashabiki kuwashambulia maafisa wa usalama na kuharibu magari, ikidaiwa kuwa askari wawili pia wamefariki.

FIFA imesema matumizi ya mabomu ya machozi hayakutakiwa kutumika. Chama cha Soka cha Indonesia (PSSI) kimesema kinafanya uchunguzi.

Aidha, imebainika tiketi 42,000 ziliuzwa kwa ajili ya mchezo huo katika Uwanja wa Kanjuruhan unaoingiza watu 38,000.


===================-

Indonesia: More than 120 dead in football stampede

At least 129 people have died in a stampede at an Indonesian football match, officials say, in one of the world's worst stadium disasters.

The stampede happened after police tear-gassed rioting supporters.

About 180 were injured in the crush after Arema FC lost to bitter rivals Persebaya Surabaya in East Java.

Police then fired tear gas, leading to a crowd stampede and cases of suffocation, said Nico Afinta, police chief in East Java.

"It had gotten anarchic. They started attacking officers, they damaged cars," he said, adding that two police officers were among the dead.

"We would like to convey that... not all of them were anarchic. Only about 3,000 who entered the pitch," he said.

Fleeing fans "went out to one point at the exit. Then there was a build-up, in the process of accumulation there was shortness of breath, lack of oxygen", he added.

Videos on social media show fans clambering over fences to escape. Separate videos appear to show lifeless bodies on the floor.

Fifa, the world's governing football body, states that no "crowd control gas" should be carried or used by stewards or police at matches.

The Indonesian football association (PSSI) said it had launched an investigation, adding that the incident had "tarnished the face of Indonesian football".

Violence at football matches is not new in Indonesia, and Arema FC and Persebaya Surabaya are long-time rivals.

Persebaya Surabaya fans were banned from buying tickets for the game because of fears of clashes.

But Chief Security Minister Mahfud MD posted on Instagram that 42,000 tickets had been sold for the match at the Kanjuruhan stadium, which has a capacity of 38,000.

President Widodo called for this to be the "last soccer tragedy in the nation" after ordering that all Liga 1 games should be paused pending an investigation.

The stampede is the latest in a long line of disasters at stadiums.

In 1964, a total of 320 people were killed and more than 1,000 injured during a stampede at a Peru-Argentina Olympic qualifier in Lima.

In the UK, 97 Liverpool fans were crushed to death in 1989 at the Hillsborough Stadium in Sheffield.

Source: BBC
 
Picsart_22-10-02_08-55-45-831.jpg
 
Hawa ndio wale wale wanaowahi kusimama na kwenda mlangoni ndege inapotua. Tulia kwenye kiti subiri papoe ndio uelekee mlangoni.
 
Huwa nashangaa mtu anaenda na familia yake uwanjani kuangalia mpira tena ana watoto wadogo kabisa
 
Wazungu wametuharibia mpira kwa betting zao,
Iko siku hapa kuna timu inabebwa sana patakuja kunuka pia
 
Back
Top Bottom